mchezaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pdidy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KITU PEKEE MESSI ANAWEZA ONDOKA NACHO WCUP N MCHEZAJI BORA/MFUNGAJI BORA VINGINE ATAONA KWA MACHO

    DJ NIPE KWANZA NYIMBO YA SINA UBAYA SINA UBAYA NAE UKWELI HALISI EO TUNAISHIA TAMATI TA MASHIDANO YA WCUP NAJUA WENGI WMECHEPUKA SANA KUSINGIZIA WCUP KBW ZAIDI NDUGU YANGU MESSI KITU PEKEE ANAWEZA ONDKKA NACHO LEO N MFUNGAJI BORA HII N 75% MCHEZAJI BORA 90% UBINGWA ASAHAU KABISA NA KAMA...
  2. February Makamba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nani ni mchezaji bora kwenye timu ya ureno?

    Wakuu kabla ya kuangalia nani ni best player duniani, twende nchi kwa nchi basis. Tuanze na Ureno. Kwangu mimi pale Ureno, Best player kwenye hiyo nchi ni Bruno Fernandez, wewe unadhani ni nani?
  3. NetMaster

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna tetesi ligi kuu yetu wapo wachezaji wa nje wanakunja mpaka milioni 10 kila mwezi. Je, kuna mzawa yeyote anealipwa hata milioni 5 ?

    Kwa wachezaji wa nje wa hapa bongo wapo wanaokunja hadi milioni 10 lakini kwa wazawa wetu kuna utata. Tukija kwa wachezaji wetu wa hapa bongo, kunaweza kuwa na yeyote anaelamba walau dola elf 3 kwa mwezi takribani shilingi za kitanzanha milioni 7 kila mwezi? Kuna tetesi zipo kwamba Feisal...
  4. Chizi Maarifa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chama ni mchezaji konokono hana speed kabisa

    Chama ni mchezaji konokono hana speed kabisa. Hawezi mfikia Kisinda au Aziz Ki kwa mbio. Hawezi kabisa. Mchezaji konokono wa nini sasa? Anatembea tu Uwanjani. TK Master anachomoka kinyama anakimbia kama risasi. Ndo mchezaji bora. Hata Aziz Ki naye ana mbio na nguvu si kama Chama. Konokono na...
  5. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtangazaji kumsifia mchezaji muda wote ni sahihi?

    Mtangazi mmoja wa mechi ya leo kati ya Argentina na Australia, anaonekana kuwa ni shabiki wa Messi na Argentina kwa jumla. Muda mwingi anatumia kumsifia Messi hasa katika kipindi cha kwanza. Kweli Messi ni mchezaji maarufu ila kumsifia kupita kiasi wewe kama mtangazji ni sahihi? Mchezaji...
  6. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Kibongo bongo, Kwa maslahi kiuchumi yupi ana nafuu kati ya mchezaji wa timu ya kawaida ligi kuu au msanii wa levo za kawaida?

    Kipato kiwe kinaingizwa kwa kazi yake tukiachana na kulelewa na mashuga mami, mishe nyeusi za kubeba ngada, mali za baba kwa watoto wa kishua zisihusike. A. Mchezaji wa kawaida kwenye timu ya kawaida, mfano mchezaji awe anaichezea Kagera Sugar, Mtibwa, Mbeya city, Dodoma jiji, n.k. B. Msanii...
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ronaldo wa kombe la dunia kama mchezaji wa ureno anaonekana ni tofauti kabisa na yule Ronaldo wa EPL kama mchezaji wa Man U: Hii imekaaje?

    Pamoja na ukweli kuwa R7 kwa sasa hana kasi yake ile ya zamani lakini Ronaldo wa kwenye kombe la dunia ameonekana kuwa tofauti sana na yule Ronaldo wa EPL kama mchezaji wa Man U. Jana R7 kaibuka man of the match (mchezaji bora kwenye mechi)!!. Mchango wake kwenye mechi ulikuwa mkubwa sana...
  8. LegalGentleman

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Lionel Messi ni mchezaji wa ajabu

    Baadhi ya makocha na wachezaji wa zamani wamemzungumzia Messi Kwa aina tofauti: 𝐌𝐢𝐜𝐡𝐚𝐞𝐥 𝐎𝐰𝐞𝐧: "Sifikirii mtu yeyote anaweza kucheza mchezo wa soka kama vile Messi." 𝐅𝐫𝐚𝐧𝐤 𝐑𝐢𝐛𝐞𝐫𝐲: "Messi ni darasa. Kuna yeye, halafu kuna wengine." 𝐒𝐚𝐦𝐮𝐞𝐥 𝐄𝐭𝐨’𝐨: "Lionel Messi ni Mungu, kama mtu na hata zaidi...
  9. Diversity

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mchezaji Thomas Langu Sweswe alicheza mpira dakika 90 bila kugusa mpira

    Thomas Lungu Sweswe ni mchezaji wa zamani wa Zimbabwe, beki wa kati anadaiwa kushikiria rekodi ya kucheza dakika 90 dhidi ya Keiza Chiefs bila kugusa mpira Soma (hapa).
  10. LIKUD

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu ndiyo mchezaji anayebeba nyota ya mafanikio ya Yanga

    Katika ulimwengu wa roho kinachotofautisha kati ya wanyama na mimea ni kitu kimoja tu nacho ni "Ini". Ndiyo, ini ndiyo kitu pekee kinachotofautisha kati ya wanyama na mimea (katika ulimwengu wa roho). Maana yake ni kwamba, kama kuna kiumbe ambacho kwa muonekano wa nje kina sifa zote za kuwekwa...
  11. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yanga yamkatia Rufaa CAF mchezaji wa Al Hilal, wadai alikuwa na Kadi 3

    Hii sasa ndiyo inaweza kuwapeleka makundi vinginevyo Jumapili hadi kufikia saa nne kamili usiku itakuwa ni kilio kikubwa kwa wana Jangwani. Watu watapigwa kama ngoma na Waarabu weusi.
  12. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila mchezaji wa timu ya Taifa Ujerumani kulipwa Tsh. Milioni 909.5 wakishinda Kombe la Dunia

    Chama cha Soka (DFB) kimetoa ahadi hiyo leo ikiwa ni takriban siku 55 zimesalia kuanza kwa michuano ya Kombe la Dunia huko Qatar. Kwa mujibu wa DFB wachezaji wa Timu ya Taifa wakifanikiwa Kufuzu kwa hatua ya makundi, kila mchezaji atapewa Tsh. Milioni 113 na wakifanikiw kuingia katika nane bora...
  13. Mchochezi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchezaji gani wa zamani ambaye hukuwahi kumshuhudia akicheza lakini unaambiwa balaa lake lilikuwa kubwa🔥

    Mimi binafsi sijawahi kumuona marehemu Hamis Tobias Gaga akicheza lakini naambiwa balaa lake lilikuwa kubwa sana. Naambiwa alikuwa anapiga sana mawe. Alikuwa anapiga magoli flani hivi ya kipekee. Je, wewe ni mchezaji gani hujamuona zama zake lakini story za mtaani zinasema alikuwa moto sana
  14. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Cristiano Ronaldo aongoza orodha ya wachezaji wenye gharama na ushawishi duniani

    Wakati Kombe la Dunia likibakiza miezi miwili kuanza, tayari inaonekana nyota wa Ureno na Manchester United Cristiano Ronaldo ataingia kwenye michuano hiyo akiwa mchezaji mwenye nguvu zaidi duniani kwa kuzingatia ushawishi wake kwenye mitandao ya kijamii. Ronaldo amewapiku mastaa wengine kama...
  15. JanguKamaJangu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ecuador hatarini kuondolewa kwenye World Cup 2022 kwa tuhuma za kudanganya Uraia wa mchezaji

    Ecuador ipo hatarini kuondolewa katika Kombe la Dunia 2022 kutokana na utata wa nyaraka za mchezaji wao, Byron Castillo, ikiwemo hati ya kusafiria ambapo inadaiwa beki huyo ni raia wa Colombia. Uchunguzi wa awali umebaini kuna cheti cha kuzaliwa kinachoonesha Castillo alizaliwa Colombia, lakini...
  16. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chagua mchezaji mmoja toka kila mstari

    Kila mstari kutoka kushoto kwenda kulia chagua mchezaji mmoja tu. Twende kazi..
  17. Chizi Maarifa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu Mchezaji Hafai, na Ataenda Motoni kwa Dhambi hii. Subirini tu muone

    Clatous Chotas Chama. Jamani huyu mchezaji ni muongo, ni muongo sijapata kuona. Muongo sana. Na uongo ni dhambi ambayo katika amri kumi ipo. Usiseme Uongo. . Chama anaweza kukudanganya kuwa anaenda mbele kumbe haendi. Anarudi nyuma. Anaweza kukudanganya kuwa anapiga kumbe hapigi. Anaweza...
  18. Allen Kilewella

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Fei Toto ni mchezaji wa kigeni, Yanga ilifuata kanuni?

    Feisal Salum Mchezaji wa Yanga leo nimegundua kumbe alikuwa anacheza kwenye Ligi ya Nchi ya Zanzibar ambayo pia ni mwanachama wa CAF. Kwa mujibu wa Kanuni za CAF mchezaji anapotoka Ligi ya nchi moja kwenda ligi ya nchi nyingine, hutakiwa kuwa na uhamisho wa Kamataifa kwa mchezaji kama huyo...
  19. technically

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chama ni mchezaji wa game ndogo

    Chama anasifiwa kuwa Bora lakini ukifatilia kwa umakini ni mchezaji wa game ndogo hasa za ligi akiwa Lupaso na vijitimu kutoka Malawi na Zambia Ukimleta kwenye game kubwa za njoo nije anapoteana kabisa. Refer Dabi za dsm au Simba vs Tp Mazembe au Game ya Simba na Kaiza au pirates alipoteana...
  20. sky soldier

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Singida Big Stars yakamilisha usajili wa mchezaji kutoka Argentina

    Tozo tunazochapwa ndizo zinafanya hii kazi ? klabu ya Singida Big stars inayomilikiwa na Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba imeweka rekodi Tanzania kwa kuwa klabu ya (1) kusajili mchezaji kutoka Argentina Anaitwa Miguel Alejandro Escobar, ana umri wa miaka (27) tu ni kiungo mshambuliaji Bila...
Back
Top Bottom