Dogo ana mchepuko wake umenizoea sana, mpaka imefikia hatua una wivu na mimi. Yaani usiponiona siku 2 unalalamika hatari.
Nilimkuta na rafiki yake mmoja nikamwambia namtaka anifanyie mpango wa namba, akakubali lakini hakuwahi nambia chochote na kama alipotezea. Juzi nulisafiri kikazi, wakati...