mchele

Samuel Mchele Chitalilo (born June 15, 1965) is a former Member of Parliament in the National Assembly of Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. Gari yawaka moto Masumbwe Kahama ikiwa na Mchele

    Gar yawaka Moto Masumbwe Kahama ikiwa na Mchele Hapa Mlalahoi anarudisha mpira kwa kipa. Ng'ombe wa masikini hazai
  2. Mchakato wa biashara ya kupeleka Mchele Kenya na Uganda upoje?

    Niko mkoani Mwanza, nina kama tani 200 za mchele, kwa sasa ninafanya biashara ya kawaida hapa hapa Mwanza Ninahitaji kupanua soko langu na kuanza kusafirisha kupeleka nchi jirani. Ninaomba iwapo yupo mdau ambae ana uzoefu na biashara hiyo anisaidie mchakato mzima kuanzia vibali na namna ya...
  3. WARAIBU WENGI HAWAPENDI HUACHE VILEO

    Waraibu wengi hawapendi kumuona mraibu mwenzao anafanya jitihada za kujitoa katika matumizi ya vilevi kama kuvuta bangi, madawa ya kulevya na kutumia pombe. Ikitokea unafanya jitihada kama kupunguza kuhudhuria maskani au vilabuni au baa wanakuona snitch, kama ulikuwa mlevi ukaanza kunywa juisi...
  4. NATAFUTA MASHINE YA KU GRADE MCHELE

    Kama unafahamu ninapoweza kupata mashine hiyo tafadhali nijulishe, Niko Mwanza, Mawasiliano ni 0656333975
  5. GE2025 CCM Arusha watolea ufafanuzi Diwani aliyedaiwa kuhonga Mchele na Sabuni ili apitishwe "Vikao vinaendelea"

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Arusha kimetoa ufafanuzi kuhusu madai yanayomkabili aliyekuwa Diwani wa Kata ya Mbureni, Faraja Maliaki, ambaye hivi karibuni ilisambaa video kwenye mitandao kijamii inayoonesha baadhi ya wanachama wa CCM kurudisha zawadi alizowapa wakidai kuwa ni rushwa ili...
  6. Wakulima debe la mpunga hutoa kilo ngapi za mchele?

    Wakulima debe la mpunga hutoa kilo ngapi za mchele? Apa nilipo debe la mpunga ni 15,000 nataka kujua hutoa kilo ngapi ili nijue gharama ipo wapi, mchele dukani kilo ni 2,400-2,600
  7. Wakulima debe la mpunga hutoa kilo ngapi za mchele?

    Wakulima debe la mpunga hutoa kilo ngapi za mchele? Apa nilipo debe la mpunga ni 15,000 nataka kujua hutoa kilo ngapi ili nijue gharama ipo wapi, mchele dukani kilo ni 2,400-2,600
  8. KERO Wizi wa Mpunga na Mchele katika mashine za kuchakata mchele maeneo mbali mbali nchini

    Hii ni mada ya kukufumbua macho mkulima. Dhima kuu ya mada hii "Kulinda maslahi binafsi ya mkulima mdogo mdogo" Kufuatia ukuaji wa teknolojia nnchini na duniani! Mkulima sasa amehama katika ile zama ya kutwanga mpunga katika kinu asili na kuenda katika mashine. Ni hatua kubwa na nafuu na...
  9. P

    Bei ya mchele ukanda wa kusini na bei ya kukodisha mashamba ya mpunga

    Habari Wana jf samahani nilikua naulizia bei ya mchele kwa Sasa na bei ya kukodisha mashamba pia ya kulima
  10. PreGE2025 Mbunge Chilo awasaidia wananchi wake Kukuna nazi na Kupeta Mchele

    Mwaka wa uchaguzi na mambo yanazidi kunoga sana. Hakika tutayaona mengi tu! Mbunge kupitia jimbo la Kusini Unguja Ndugu Khamis Hamza Chilo akiwasaidia wananchi wake Kukuna nazi 🥥 na Kupeta Mchele.
  11. Fursa kwa wenye mchele

    Fursa kwa Wenye Mchele Una mchele lakini huna soko la kuuza? Au labda una mchele uliopata hitilafu kidogo na hujui wapi pa kuupeleka? Usihangaike tena! Tunakaribisha wakulima, wauzaji, na wasambazaji wa mchele — hata ule usio na soko kwa sasa. Tunatoa fursa salama na ya uhakika kuuza mchele...
  12. Wameliamsha Dude. Gwajima asjibiwe ili akasirike amwage Mchele kwenye kuku wengi

    Ameahidi atarudi anasubiria wamjibu. Na kasema atarudi mara nyingi tu. Yaani watakavyozidi mshambulia ndo atakavyozidi kuwapasua. Wana CCM wengi smart huwa hawapendi ugomvi na Gwajima. Wanamfahamu huwa anaingia deep sana. So watu wanajipanga watoke vipi.
  13. Muhtasari wa Kiama Dakika kwa Dakika: Yatakayojiri Vita ya Nyuklia Kati ya Umoja wa Nchi za Ulaya na Urusi Juu ya Mgogoro wa Ukraine

    Je, umewahi kufikiri dunia inaweza kufutwa kwa dakika ishirini tu? Je, maisha yote tuliyoyajenga – shule, familia, ndoto – yakaisha kwa sauti moja ya kishindo? Huu si utani. Si sinema ya Hollywood. Ni uhalisia unaovizia mwanadamu kwa kivuli cha siasa na teknolojia. Rais wa Urusi, Vladimir...
  14. Naomba kujua gharama ya kusafirisha tani (1000kgs)ya mchele kutoka Mbeya kwenda Kampala(Uganda)

    Habari wadau, Wakubwa shikamoni, wengine habari zenu! Naomba kujua gharama ya kusafirisha tani( 1000kgs) ya mchele kutoka Mbeya kwenda Kampala. Na pia kama kuna mtu anafanya hii biashara genuinely na anatafuta soko nchini Uganda, tunaweza kuzungumza na kushauriana. Asanteni.
  15. Mchele mnaomwaga kwa Lissu si wa kuokota bila kuchomwa – This ain’t no street rookie!

    hizi blaa blaa zenu za kubambikiza kesi kila mkiwa na stress za kisiasa zimechoka. You tryna play with Tundu Lissu like he's some village boy? Hell nah, this dude got legal smoke kuliko nusu ya system yenu combined. Huyu jamaa alikula books hadi aka-outsmart watu kwenye meza za kimataifa...
  16. Malawi yazuia unga na mchele kutoka Tanzania, Serikali yaitaka nchi hiyo kufungua masoko, yatishia kuzuia bidhaa za kilimo za Malawi

    Waziri wa kilimo Hussein Bashe kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X. ==== Salaam Ndugu zangu Watanzania,Serikali imepokea taarifa kuwa Serikali ya Malawi imezuia kuingia kwa mazao ya kilimo kutoka Tanzania, yakiwemo unga, mchele, tangawizi, ndizi, na mahindi. Hatua hii imeathiri moja kwa moja...
  17. D

    Mchele safi unauzwa!!

    Kama Kuna mdau yupo dar anahitaji Mchele mzuri kutoka Mororogo anicheki.Mchele upo Dar maeneo ya masaki Kuna kilo zaidi ya 300 ..Bei ni makubaliano karibuni( Au piga 0756203792)
  18. D

    Nauza Mchele mzuri na Maharage kutoka Mbeya kwa bei nafuu

    Wakuu kwema! Nina mchele mzuri wa kutosha pamoja na maharage ya njano Mchele Jumla 2400 tsh kuazia kilo 100 Rejareja 2700 tsh Maharage Jumla 3000tsh kuazia kilo 100 Rejareja ni 3400 tsh Wenye maduka ya rejareja pia tueasiliane Location nipo Tabata Majichumvi (kwa mkuwa) Nakuletea popote...
  19. M

    Wali bila maharage ni uharibifu wa mchele

    Jionee mwenyewe👇
  20. Mkate wa mchele au wakumimina

    Hellow simba pole leo mlikuwa mnakomaa kiume na tumejua kuwa bila marefa hamtoboi 😂 Turudi class Kwanza andaa mchele wako vizuri chambua kama unaweza kuloweka loweka mimi sikuloweka kwasababu nilikuwa na haraka zangu binafsi Hapo nilikuwa nimeweka mchele sukari hamira na irick ya unga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…