sisi watumishi wa Hospital ya mji kondoa tuna lazimishwa kuchangia mchango wa mwenge shilingi 5,000/= kwa kila mtumishi kutoka kwa Mganga Mfawidhi wa Hospital ya Mji Kondoa.
Mfano, Tarehe 07/05/2026 tumepewa posho za masaa ya ziada ila wametukata kwa lazima mchango wa mwenge tulipo uliza...