mchanganyiko

  1. JamiiForums Tanzania Mawazo mchanganyiko juu ya kuongeza ajira kwa vijana

    Nchi nyingi duniani zinakabiliwa na janga la ukosefu wa ajira kwa vijana,mfano nchi ya Nigeria ambayo nusu ya watu wake ni vijana wenye umri kati ya miaka 15-35 inakabiliwa na ukosefu wa ajira ya zaidi ya vijana 11.1 milioni. Halikadhalika nchi za Afrika ya Kusini, Kenya, Uganda na zingine...
  2. JamiiForums Tanzania Matofali ya mchanganyiko wa udongo na mchanga yakiokwa huwa ni imara sana kuna ukweli?

    Mchanganyiko wa udongo na mchanga hutoa matofali bora sana. Matofali haya huboreshwa kwa kukiwa. Ili kupata matokeo bora matofali haya huwa ni madogo ili kurahisisha uokaji. Abstract Soil-cement bricks were produced using local clay brick waste (CBW) and soft sludge (SS) from fiber-cement...
  3. JamiiForums Tanzania Huu mchanganyiko wa kuboost kinga dhidi ya UVIKO-19 kuna una kazi nyingine kwa wenye ndoa

    Juzi koo lilikereketa sana, kama kawaida kuchukua tahadhari nikasema wacha nikachanganye mavitu nijidunge pema. Nikaoda kwa mke gengeni alete 1. Malimao 2. Tangawizi 3. Kitunguu saumu 4. Pilipili mbuzi Nikaviandaa nikablend vyote, nikachukua maji ya moto nikatia chumvi kidogo nikazimua ule...
  4. JamiiForums Tanzania Mawazo mchanganyiko juu ya namna ya kukabili changamoto ya ajira kwa vijana

    Nchi nyingi duniani zinakabiliwa na janga la ukosefu wa ajira kwa vijana, mfano nchi ya Nigeria ambayo nusu ya watu wake ni vijana wenye umri kati ya miaka 15-35 inakabiliwa na ukosefu wa ajira ya zaidi ya vijana 11.1 milioni. Halikadhalika nchi za Afrika ya Kusini, Kenya, Uganda na zingine...
  5. JamiiForums Tanzania Kufikia mwaka 2400, kutakuwa hakuna wazungu na waafrika, bali rangi zingine mchanganyiko

    Kufuatia Waafrika na Wazungu Kuzaliana na kupata watoto mchanganyiko basi upo uwezekano kufikia mwaka 2400 wasiwepo Waafrika na wazungu Bali kizazi mchanganyiko kufuatia baba kuwa mzungu na mama mwafrika au kinyume chake. Sasa hivi ukienda Marekani si ajabu kukuta watoto mixer na imekuwa ndoto...
  6. JamiiForums Tanzania Kujifukiza kiholela kutaleta athari kubwa baada ya Covid 19: Wizara ya Afya itupe mwongozo wa mchanganyiko sahihi haraka

    Kwenye kipindi hiki cha covid 19 kumekuweko na shuhuda na maelezo mbalimbali kuhusu aina za michanganyiko ya viungo, majani au mitishamba ya kutumia kwa kunywa au kujifukiza na wakati mwingine maelezo yamekuwa yakipishana. Michanganyiko ambayo imekuwa ikitajwa sana na wengi inajumuisha vitu kama...
  7. JamiiForums Tanzania Soup ya mchanganyiko wa nyama ya ng’ombe, figo na maini

    Mahitaji Nyama ya ng’ombe 1/2 kilo Maini 1/2 kilo Figo 1/2 kilo Vitunguu viwili vikubwa Pilipili hoho tatu Pilipili kali unazoweza kula Limao Chumvi Uduvi kikombe cha chai Jinsi ya kupika Osha nyama kata kata weka pembeni figo osha kata kata weka pembeni na maini hivyo hivyo Weka sufuria...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Hii Juice ya ukwaju ni ukwaju kweli au ni mchanganyiko

    Hi wanabodi Napenda kujua hii juice ya ukwaju ni ukwaji kweli au tunakunywa mchanganyiko tu. Na hii maziwa ya asas nayo siku nimeyanywa siku ya pili niliyaacha wazi nikakuta yameharibika inakuwa ni maziwa au dawa ndo zimejaa huko...maana maziwa ya mtaani aisee yanamaji balaa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…