Hii Juice ya ukwaju ni ukwaju kweli au ni mchanganyiko

bulabo

JF-Expert Member
Aug 20, 2015
620
759
Hi wanabodi
Napenda kujua hii juice ya ukwaju ni ukwaji kweli au tunakunywa mchanganyiko tu. Na hii maziwa ya asas nayo siku nimeyanywa siku ya pili niliyaacha wazi nikakuta yameharibika inakuwa ni maziwa au dawa ndo zimejaa huko...maana maziwa ya mtaani aisee yanamaji balaa
 
Wewe tumia tu bila ulazima,hivyo vitu wanatengenezewa wale ambao hawana access ya maziwa halisi au ukwaju halisi,lakini baadhi ya wadau,ambao wengi wao wana access na maziwa halisi au ukwaju halisi,wanavamia nakufanya manunuzi.Pole yao.

Nakusihi utumie ukwaju halisi ambao hauna preservatives na maziwa halisi pia ili kuepukana na madhara tarajiwa.
 
..Kama hayakudhuru wewe tumia tu, mama lishe wengine hutia @#$%€&$#& kwenye msosi ili uwe mtamu zaidi....
 
Wewe tumia tu bila ulazima,hivyo vitu wanatengenezewa wale ambao hawana access ya maziwa halisi au ukwaju halisi,lakini baadhi ya wadau,ambao wengi wao wana access na maziwa halisi au ukwaju halisi,wanavamia nakufanya manunuzi.Pole yao.

Nakusihi utumie ukwaju halisi ambao hauna preservatives na maziwa halisi pia ili kuepukana na madhara tarajiwa.
Mimi kinachonisikitisha ni vijana wauza ukwaju kutembea wamepinda migongo nyuma Hapo tunazalisha walemavu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TFDA ndio wenye majibu ila wengine ni wapiga ramli kama Dr William Mtanzania wa USA.
 
Back
Top Bottom