Magari yanayosafirisha mchanga au vifusi maeneo ya huku Kibaha hawafuniki kwa turubai wala kusafisha body kuondoa michanga kabla ya kuingia katika lami kama sheria inavyowataka.
Wamekuwa kero hasa ukifuatana naye kwa pikipiki michanga inaingia kwenye macho
Habari wadau? Naomba ushauri kwa wale wenye ufahamu n uzoefu wa hii biashara ya ma-tipper kati ya Howo na Faw zote zikiwa mpya 0km ni ipi bora kuanza nayo kwa mfanyabiashara mpya na ipi pia ukitaka kuuza baada ya kuitumia kwa mwaka mmoja au miwili inakuwa na demand kubwa toka kwa wanunuzi?
Habari wanaJF, je toyota alphard, na toyota harrier zinamudu kupita vizuri barabara zenye mchanga mwingi? hapa nazungumzia ambazo ni 2wd.
Na kama hazimudu je kwa alphard na harrier ambazo ni 4wd consumption ya mafuta ni wastani wa km ngapi kwa lita? Na je kuna alphard au harrier ambayo ni 4wd...
Wakazi wa Majichumvi Mtaa wa Tembomgwaza-Kimanga, wilayani Ilala jijini Dar wamefunua vinywa vyao kulalamikia uchimbaji haramu wa mchanga pembeni ya Mto Luhanga unaofanywa na vijana, hivyo kusababisha mmomonyoko unaohatarisha kuanguka kwa nyumba zao.
Kwa mujibu wa baadhi ya wakazi wa eneo hilo...
Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kueleza kuwa kuna baadhi ya Maafisa wa Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba wamekuwa wakiuza mchanga eneo lililokuwa na makaburi ya Kishenge, Bukoba Mjini licha ya kuwa limetengwa kwa ajili ya uwekezaji, hatua zimechukuliwa na Mamlaka husika.
Kusoma hoja ya Mdau...
Mimi ni mkazi wa Bunju Dogodogo Centre, kero yangu ni malori ya mchanga kuchimba mchanga bondeni karibu na makazi ya watu.
Hali hiyo imekuwa ikihatarisha nyumba za Wakazi kubomoka kwa kupitiwa na bonde linaloendelea kujitokeza.
Serikali ya Mtaa imejaribu kila njia lakini bila mafanikio...
Kwenye Mji wetu wa Bukoba Mkoani Kagera Uongozi wa Mkoa ulitangaza kuhamisha makaburi ya Kishenge ili kujenga kitega uchumi, lakini sasa eneo hilo limegeuka kama ‘dili’ la ushirikiana.
Walitoa makaburi kadhaa kisha watu wakaanza kuchimba mchanga wa makaburini (eneo ni mchanga mtupu). Sasa...
Leo tutahakikisha huathiri maisha ya watu kwa namna yoyote. Wewe uliamua kuachia Ubalozi. Wengine bado tunataka tufanye kazi na tustaafu kwa Manufaa ya familia.
Unalotaka kufanya ni kuharibia watu maisha na harakati. Jipime ndugu yangu. Usidhani hilo jambo lako litaleta mabadiliko. Halitaleta...
Eneo Ni heka moja.. nyuma ya kiwanda cha Lake steel misugusugu kibaha. Lina hati Kwa majina yangu.. bei Ni tsh million Tano maongezi yapo.
0759960687.. karibuni
Mtoto atahiriwe at least at age 4 na kuendelea. Sio chini ya hapo
Aliye upande wa kushoto ni David Reimer, na upande wa kulia ni Brenda Reimer — wote wawili ni mtu mmoja.
Mwaka 1966, baada ya tohara iliyofanyika utotoni kwenda vibaya sana, madaktari walishauri kwamba David afanyiwe upasuaji wa...
Viongozi wa Kata ya Lukobe Kihonda katika Mtaa wa Majengo Mampya Manispaa ya Morogoro wakiwemo Mtendaji na Diwani wamekuwa wakijihusisha na biashara ya mchanga uliopo eneo la Shule ya Juhudi kwa maslahi yao wenyewe binafsi.
Wanafanya matukio hayo katika Shule ambayo ilifungwa kwa muda kutokana...
Kuna watu hung'ang'ania kwamba eti dini ya uislamu ndio ambayo inaendana na sayansi licha ya kuwa na mambo yasiyo kabisa, ikiwemo kudai eti Mohammad kapasua mwezi vipande viwili, mara sijui alipaa na farasi hadi sayari ya mbali.
Sasa hapa nimekutana na hii eti mtoto anapozaliwa, kile kilio cha...
Habari viongozi nina eneo lipo omboza msanga zalala ni eka mbili eneo ni mali yangu halali halina shida yoyote eneo ni tambalale kabisa naitaji million13 kwa eka zote mbili nipigie simu 0794454720
Habari ya leo wanajamii forum ?natumaini tunaendelea kupambana na kuendesha gurudumu liende mbele.
Waswahili wanasema ili usianguke na baiskeli hauna budi kukanyaga pedeli ili isonge mbele na ukiacha kukanyaga lazima udondoke.Hivyo endelea kukanyaga MUNGU WA WOTE Haijalishi kiasi gani tunamkosea...
Habari wana JamiiForums,
Kuna jambo naomba ufahamu kidogo hapa. Ukipita barabara za lami utakuta kuna mchanga umefagiliwa na wasafisha barabara na umewekwa pembezoni mwa barabara (ila ni kwenye lami).
Je, kuchota mchanga huu ni kosa kisheria?
Mfano wa huo mchanga ni kama kwenye picha hapo
Jamani milioni 3 ni pesa ndefu. Sasa inawezaje kuisha kwa malezi ya mwezi mmoja tu ya mtoto mchanga? Mshahara wa house girl, maziwa ya formula na pampas tu ndiyo vinamaliza milioni 3?
Au kuna kipi kinapelekea hiyo gharama kufika au kuzidi hapo?
Kwa uovu na ujahili unaoufanya kwa wapalestina,fimbo ya Mungu inakusuburi,utakufa vibaya na kaburi lako halitajaa mchanga,unaua watoto,wazee,waandishi wa habari,modokta,manesi,wanawake wenye mimba,vikongwe hakika Mungu anakuona siku yako ipo karibu