Inashangaza sana Azam/UTV ambacho inawezekana kikawa ni kituo kikubwa cha kitanzania kwa habari za kimataifa za Kiswahili nchini kumtumia mchambuzi mmoja tu wakati wote kijana aitwaye Rahby ambaye ni mnazi mkubwa wa Iran na Ayatollah na ni anti-west wa kutupwa.
Tunaelewa kuchambua siasa za...
Huyu mchambuzi ana media nzuri na mpaka Azam wanamtumia na BBC.
Ila swala la IRAN kama mda mwengine unaona ni la nchi yake kutaka kutoa dukuduku lake.
Ila umefikisha ujumbe japo kama makonda kupewa uwaziri ,Ndugu yetu tumekusoma sasa.
Kutaja wachambuzi list hapa tz niwengi sana yani unaona kabisa uchambuzi wao ubalance yani kuonesha hisia zao zipo wapi kwenye saisa,mlengo gani,kuwa upande gani.
Katika siku ambayo nilimuona huyu mchambuzi ni shabiki wa waarabu fatilia uchambuzi wa sudani kule kwa bashiri RSF.Fatilia uchambuzi...
Mchambuzi wa masuala ya Siasa Deus Kibamba amesema kwa mazingira ya sasa, ni ngumu kupata mchunguzi wa ndani atakayeaminika na pande zote, isipokuwa ni busara pande zote zikaridhia kupata mchunguzi huru kutoka nje ya nchi huku akirejelea hotuba ya Rais Samia siku chache zilizopita akieleza...
Mchambuzi wa masuala ya siasa na uchumi, Simba Mwinyi, amesema maandamano yoyote yenye tija ni lazima yabebe ajenda maalum na yafanyike kwa kufuata utaratibu wa kisheria, ikiwemo kupata kibali kutoka mamlaka husika kabla ya kufanyika kwake.
Akizungumza katika Mjadala Maalum wa Jambo TV leo...
Akizungumza kwenye kipindi cha Malumbano ya Hoja cha ITV, Said Miraj ambaye ni mchambuzi wa siasa za Tanzania alisema
"Mara hii katika mbio hizi za kuwania kutafuta kura vyama vimekomaa, unakuta chama tangu ianze kampeni chama ambacho hukukitizamia kishatembea saizi mikoa zaidi ya 17, Wilaya...
Gari V8 moja ni kipato cha mtu mmoja kwa miaka 30 kama kilivyowekwa kwenye mpango wa 2050 at a rate of 1.6 milioni Tsh per month
HATUTAFIKA POPOTE , NI KUJIDANGANYA
Kuna mchambuzi mmoja wa kimataifa UTV/Azam huwa wanapenda sana kumuweka achambue siasa za kimataifa, huwa anavaa sana kisela, jeans za ajabu ajabu na tisheti, ukimuangalia hakai kama mchambuzi wa kimataifa kabisa. Ni vyema Azam TV ikiwa kama brand kubwa Africa ijitahidi hata kumnunulia angalau...
Kuna wakati kunatakiwa kuzuia hawa wanahabari kujua mahojiano na wanataka kuwahoji.
Yani huyu Dudu baya kila jambo yeye kawa mchambuzi mpaka maisha ambayo hakisikia Lucas Mwashambwa kachanganyikiwa kesho dudu kahojiwa.
Wanaompa Airtime ni kwamba hawana content za kutengeneza.
Huyu jamaa anapenda sana uchambuzi lakini ukimfuatilia utagundua hakujaaliwa kwa kazi hiyo ndio maana chambuzi zake zote ni ASSUMPTIONS and WISHFUL THINKING.
Unapopenda fani fulani ni vema kujitathimini kama unaendana na hiyo fani au laa. Ni kama jinsi Harmonize anavyopambana kucheza...
Vikwazo vinaathiri Urusi kwa njia mbalimbali, hasa katika nyanja za kiuchumi, kiteknolojia, kifedha, na kisiasa. Hapa ni baadhi ya athari kuu:
1. Athari za Kiuchumi
Kuporomoka kwa thamani ya ruble: Vikwazo vya kimataifa, hasa baada ya uvamizi wa Ukraine mwaka 2022, vilisababisha ruble kushuka...
1. Hivi Yanga SC ingekuwa inaongoza Alama kati ya Sita (6) au Saba (7) hizi Kelele zao za Bodi ya Ligi tungezisikia leo?
2. Bodi ya Ligi ambayo Yanga SC ilikuwa Bingwa kwa Misimu Mitatu mfululizo leo ghafla inaweza kuwa mbovu?
3. Wamesema na kutwa Wanatudanganya wameenda CAS je, wanaweza...
"Yanga SC wanawalalamikia Bodi ya Ligi kuhairisha Mechi ya Yanga na Simba mbona na Wao hawalalamikii Makoma wenye Ndoo wao kuzuia Simba SC kuingia Uwanjani kufanya Mazoezi ya mwisho ni jambo la Kikanuni na wale Wahusika wote wanajulikana na walipewa Baraka zote na Uongozi wa Yanga SC? Naomba tu...
Mchambuzi mahiri Hans Rafael ameomba kuvunja mkataba wake na Crown FM 👑, hatua inayozua maswali kwa mashabiki wa uchambuzi wa michezo.
Taarifa nilizozipata kutoka kwa chanzo changu cha uhakika zinaeleza kuwa Hans amepewa ofa nono na Azam Media, jambo lililomsukuma kuomba kuondoka Crown FM...
Haiwezekani kila uwapo Kipindini Wewe 95% ya Majadiliano yako / Uwasilishaji wako ni kuisema tu vibaya Simba SC ila Yanga SC ambao Mdhamini wao anakulipa Kisiri huku Rais wa Klabu hiyo akiwa ni Rafiki yako kutokana na Kujipendekeza Kwako Kwake wala huisemi.
Umejaa tu Unafiki, Wivu na Chuki kwa...
"Kama kweli mmepeleka Basi lenu Bunju, basi hata wale Wahuni wa juzi Uwanjani kwa Mkapa mliwatuma nyie" Oscar Oscar.
Huenda Oscar Oscar nae kausahu ule Uchambuzi kuwa Wapumbavu na Vibaka wengi Kariakoo wanatoka huko huko.
Viongozi wa Singida lazima waende peponi,hamna watu wana upendo wa mshumaa kuliko hawa katika soka kokote pale duniani,ukitaka mchezaji wanakupa ukitaka kocha wanakupa ushindwe wewe tu
Kwema.
Mimi binafsi napenda sana kusikiliza nyimbo za KIKONGO bolingo sebene nk sasa zamani cloud walikuwa na Ben kinyaiya jamaa alikuwa anaendesha kipindi safi safi sikumbuki jina la kipindi ila ilikuwa inadili na nyumba za Congo na hapa nyumbani kiufupi jamaa alikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.