mc pilipili

  1. W

    Polisi: Uchunguzi kifo cha MC Pilipili bado unaendelea

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limeeleza kuwa linaendelea kufanya uchunguzi wa kifo cha aliyekuwa msanii maarufu wa vichekesho na mshereheshaji, Emanuel Mathias, maarufu MC Pilipili kilichotokea mkoani Dodoma. Akizungumza mapema leo Desemba 22,2025 jijini Dodoma, Kamanda wa Polisi mkoani humo...
  2. Balozi Polepole & MC Pilipili wamepotezwa kama 'Kuku wa Kienyeji'

    Hawa jamaa kufumba na kufumba hatutawasikia tena maishani. Hakika hizo ndio Shoti. Jichanganye upasuliwe
  3. Video: Spika Mstaafu, Tulia ajichanganya; amtaja Polepole Badala Ya MC Pilipili Je, Hii ina maana Gani?

    Pitia video hii https://www.instagram.com/reel/DRWg3AgAN-6/?igsh=dTkzMzhlcDE4cHV2
  4. Nyumba za MC Pilipili Dodoma zazua gumzo

    Nyumba 4 kwenye compound moja huko Dodoma Mali ya mwendazake MC Pilipili zimetia fora kwa nakshi na mazingira zilipo (Swaswa). Kazi na utu
  5. Mpoki: Nilitarajia waliomuua MC Pilipili wangekuwa wameshakamatwa

    Msanii maarufu wa vichekesho, Mpoki, ameilaumu Jeshi la Polisi akishangazwa na kutokamatwa kwa watuhumiwa wa mauaji ya MC Pilipili hadi sasa. Akihoji kwa masikitiko, alisema: "Wakati nasikiliza ile ripoti nilitegemea kwamba tunapomzika leo, tayari watuhumiwa wangekuwa rumande. Siingilii kazi ya...
  6. Malisa: Wahusika wa kifo cha Mc Pilipili awajakamatwa hadi leo, lakini viongozi wa upinzani mnawatrack hadi sebuleni kwao na kuwakamata?

    Mbona sijaelewa. Yaani watu walimpigia simu msaidizi wa Pilipili (Hassan) wakaomba wakutane naye. Alipokutana nao walikuwa watatu kwenye gari ndogo nyeupe na Pilipili akiwa majeruhi. Kisha wakamkabidhi na kuondoka. Yaani Hassan akakabidhiwa boss wake akiwa majeruhi na hao watu wakaondoka bila...
  7. Utata kifo cha MC Pilipili: Wauaji hawajajulikana. Polisi wasema alishambuliwa, uchunguzi unaendelea

    Wakati Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma likithibitisha kushambuliwa kabla ya kifo cha aliyekuwa mchekeshaji na mshereheshaji, Emmanuel Mathias maarufu MC Pilipili, suala la kuwatambua waliomshambulia, limebaki kuwa giza nene. MC Pilipili aliyekuwa mkazi wa Swaswa Jijini Dodoma, alifariki dunia...
  8. Polisi: MC Pilipili alifariki dunia kwa kipigo. Mwili ulikuwa na majeraha

    Nani kamuua mchekeshaji maarufu nchini Tanzania, Emmanuel Mathias, maarufu MC Pilipili pengine ndio swali linalogonga vichwa vya wengi kwa sasa. Nani amehusika kwenye mauaji yake na kwa nini amefikia hatua hiyo. Swali hilo linatokana na taarifa ya Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma kuthibitisha...
  9. R

    MC Pilipili: Swali gumu moja

    Huyu ni kijana CELEBRITY, Star (Nyota), Mtu "mkubwa", Influencer and many other celebrity titles. SWALI: INA MAANA ALIKUWA PEKE YAKE NJIANI KUJA DODOMA BILA WALINZI?
  10. Msemaji wa familia: MC Pilipili alipata mateso kabla hajafariki

    Msemaji wa familia ya marehemu Emmanuel Mathias maarufu 'MC Pilipili', Paschal Maingu amesema taarifa aliyoipata kutoka kwa ndugu inasema marehemu amefariki kwa mateso na mwili wake umekutwa na majeraha. "Mdogo wao wa mwisho aliniambia kapata mateso kabla hajafariki ndio maana mpaka sasa hivi...
  11. Dada wa MC Pilipili aweka bayana 'Mwili wa MC ulikutwa na majeraha mgongoni' Polisi yasema inaendelea na uchunguzi

    Dada wa marehemu mchekeshaji na mshereheshaji maarufu nchini, Emmanuel Mathias maarufu kama MC Pilipili, aliyefariki dunia Novemba 16, 2025 jijini Dodoma, amesema kuwa siku ya jana baada ya familia kupata taarifa za kifo chake walishindwa kufika hospitalini kutokana na kuwa na majukumu mengi...
  12. Kumbukizi MC Pilipili: Muda mwingi niliokuwa napost niko sawa, sikuwa sawa

    Wakuu, Hivi ni nini hasa kilikuwa kinamsumbua MC Pilipili? Nimeona kwa hii video akiwa anazungumzia kipindi ambacho hakuwa sawa na alikuwa anapitia msongo wa mawazo. Ni kuachwa na mkewe tu ndo kulisababisha yeye kupata msongo wa mawazo au kuna kingine Nifah nakusalim
  13. TANZIA Mchekeshaji maarufu MC Pilipili afariki dunia

    Taarifa zilizotufiukia hivi punde katika chumba chetu cha habari, zinaeleza kuwa mchekeshaji na mshereheshaji maarufu nchini Tanzania, Emmanuel Mathias almaarufu MC Pilipili, amefariki dunia ghafla mchana leo, Novemba 16, 2025. Taarifa zinaeleza kuwa, MC Pilipili alisafiri kuelekea jijini...
  14. Huyu mchungaji nae soon atalia kama MC Pilipili

    Huyo mchungaji anaitwa Leonard Nombo Kaamua kujilipua kwa kuoa pisi kali. Eti kinajimwambafai kabisa kuwa kimewazidi kete wanaume wengine. Mimi yangu macho na masikio tu.
  15. GE2025 Mc Pilipili ajitosa udiwani kata ya Tambukareli

    Msanii na mchekeshaji maarufu nchini, MC Pilipili, ameonyesha dhamira ya kutumikia wananchi kwa vitendo baada ya kuchukua na kurejesha fomu ya kuwania nafasi ya Udiwani katika Kata ya Tambukareli, Jimbo la Mtumba, jijini Dodoma kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia...
  16. Jionee Hapa! Utata kiapo cha MC Pilipili akifungishwa Ndoa na Mena Kanisani, "Kwa shida na raha" aliikataa Madhabahuni

    MC Pilipili alizua maswali mengi wakati wa sherehe yake ya ndoa na Mena Kanisani Juni 29, 2019 alipokataa sehemu ya kiapo cha ndoa kilichohusisha maneno "kwa shida na raha" madhabahuni. Kukataa kiapo muhimu katika muktadha wa ndoa ya Kikristo, ambacho kinasisitiza uvumilivu katika changamoto za...
  17. C

    MC Pilipili anatrend baada ya kuachana na mkewe (kataa ndoa)

    ninayoandika hapa simsingizii mtu bali natoa habari zangu kwenye vyanzo vya uhakika. sasa hivi mc pilipili ana trend baada ya kutangaza kuachana na mwanamke wake na kwenda mbali zaidi kusema ana tamaa huyo mwanamke. kwa wasiomjua mc pilipili hakukurupuka hadi kufikia hatua ya kuwa msanii...
  18. Mc Pilipili: Vijana wezangu tutafute wanawake wasio na tamaa!

    Mc na Mchungaji pilipili ameweka wazi kuwa alijichanganya na kuoa mwanamke aliyejaa tamaa ya maisha ya juu hivyo anajuta sana na kutoa ushauri kuwa vijana kuwa makini wanapochagua wanawake wa kuoa kuepuka kuoa wanawake wenye tamaa ya mali na maisha ya gharama!
  19. Wagonjwa anaowaposti MC Pilipili ni sahihi kuchangiwa, si Prof. Jay

    Nilishawahi kusema, nanitazidi kusema kuwa ngozi nyeusi ina laana, ukishazaliwa mweusi basi huna tofauti na waliomwasi Mungu. Maana yangu ni hii hapa achane kupaniki Nina hoja zangu kubwa za msingi. MC Pilipili huwa anajitolea kuwafata wagonjwa kwenye mikoa ya mbali kwa gharama zake mwenyewe...
  20. MC Pilipili afungua Kanisa

    Mshereheshaji wa Harusi na mtia nia ya ubunge kwenye uchaguzi wa 2020 kupitia CCM, MC Pilipili amezindua kanisa linaloitwa LOVE CHURCH. Uzinduzi huo Kabambe umefanyika kwenye hotel ya Kebby's Iliyoko Sinza, DSM, na kuhudhuriwa na waimbaji kadhaa wa nyimbo za injili, huku watu wakiombewa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…