mbweni

Mbweni, Dar es Salaam is an administrative ward in the Kinondoni district of the Dar es Salaam Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,475.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    Barabara ya Mbweni kwenda Boko Magengeni imefungwa!

    Ndugu wadau, Ningependa wananchi wafahamu kuwa barabara muhimu inayotoka Mbweni Kijijini kupitia Malindi , masaiti hadi Boko Magengeni imefungwa ! Hii ni barabara muhimu sana hasa kwa wakazi wa Mbweni kijijini na wengineo wa njiani. Cha ajabu haieleweki kwa nini imefungwa ! Ikumbukwe kuwa...
  2. Brojust

    Shaloom Africa enterprises tunakuletea bungalow lipo Mbweni JKT kwa mil 685

    Maelezo ya Nyumba: Nyumba kubwa sana na ina sehemu ya parking kubwa sana. Nyumba ipo mbweni JKT. Nyumba na eneo la wazi ukubwa wa SQM 2201. Nyumba ina mortgage Mwanga Bank kiasi cha MiL 300 so tunaenda kufanya process zote bank ili uchukue Nyumba na hati zake. Kuiona nyumba no nakupeleka na...
  3. Brojust

    Hii baa ya Maikoz Mbweni, usipokuja na gari jeusi la tinted hadi wahudunu wanakuona kama kachumbali tu

    Yaani kuna sura zao tayari washakariri, ukija tu uko simple na gari yako ya kawaida au ukija tuu na mguu wanakuchukulia poa. Mmiliki kama upo humu jamiiforum ebu fanya semina tena na wahudumu wako, una sehemu nzuri sana, una jiko zuri sana ila tayari wahudumu wako wanaambizana kwamba yule ana...
  4. The last don

    Nauza kiwanja chenye hati mbweni teta

    Habari wakuu nauza kiwanja chenye hati ( SURVEYED PLOT) MBWENI MPIJI (Block No 09,Plot 139) UKUBWA WA KIWANJA SQM 820 KUNA BANDA KUBWA LA VYUMBA VINNE LENYE WAPANGAJI BEI: 110M MAWASILIANO:0621973591 Kwa video na picha zaidi nichek Whatsap. Nb: Kiwanja hakina udalali nauza mwenyewe ila dalali...
  5. bizzle for shizzle

    Apartment for sale, Tsh. 1.5 Bilion

    APARTMENT FOR SALES 𝖨𝖪𝖮 ~ 𝖣𝖠𝖱 𝖤𝖲 𝖲𝖠𝖫𝖠𝖠𝖬𝖳𝗓 𝖬𝖠𝖧𝖠LI - MBWENI MPIJI PRICE - 1.5 BILION MAONGEZI YAPO ____________________ UKUBWA KIWANJA CHAKE ~ SQM 1200 UMILIKI ~ INA HATI ( TITLE DEED ) ________________ APARTMENT ZA KISASA Z𝖤𝖭𝖸𝖤 ; ____________ 𝖵𝗒𝗎𝗆𝖻𝖺 𝖵𝗂tatu zipo mbili Vyumba viwili zipo mbili...
  6. Camilo Cienfuegos

    Huku Mbweni hii mijengo ni ya Watanzania wenzetu?

    Huku kuna mijumba ya hela nyingi sana. Hawa wamiliki ni Wabongo wenzetu? Hizi hela wanapata wapi? Kunaa gari niliwahi kuliona nyuma limeandikwa “Popote Ulaya tatizo Pesa” Visit Mbweni
  7. Superbug

    Nini kimempata dada aliyeshambuliwa na nyuki? Alipona?

    Kuna video inatrend mitandaoni ya msichana akishambuliwa na nyuki Mbweni huku jamaa wakiwa ndani ya gari ya chumba wanarekodi. Kwa mlioiona na kujua hatma yake tunaomba mtujuze nini ilikuwa hatma ya yule dada?
  8. E

    House4Sale Nyumba zinauzwa maeneo mbalimbali

    Nyumba inauzwa kibaha maili moja loliondo Ina Vyumba 2 kimoja master Jiko,public toilet, sebule Umeme upo,eneo lina 20 kwa 20 Umiliki Mkataba wa Mauziano ya serikali za Mtaa Nimailimoja loliondo pikipiki sh. 2000 Bei mln 19 maongezi yapo kidogo 0675 065906
  9. Pdidy

    1300 sq mtr mil 150 mbweni masite

    Kiwanja kinauxwa anaehitaji cont 0689 456855 atakupa maellekezo usinsahau mkimalizana
  10. Bosspraise

    Plot4Sale House4Sale Plot, House for sale

    PLOT FOR SALE MBWENI Plot safi kabisa hii hapa Inauzwa Iko Mbweni mpiji inagusa lami Ni sqm 1000 📌🗒Ina Hati safi kabisa 📌Ni pazuri sanaa Kuna nyumba pia kama unavyoiona kwenye picha hapo 📌Plot inataka milion 150 maongez kidogo NB; ZINGATIA PLOT INAGUSA BARABARA KUBWA YA LAMI, PATAFAA SANAA...
  11. Newcastle1234

    Nahitaji kiwanja Mbweni, bajeti Mil. 60

    Just Whatsapp. NO CALLS
  12. B

    House4Rent Nyumba inapangishwa Mbweni JKT

    Nyumba inapangishwa mbweni jkt …laki nane kwa mwez. Kwa atakaehitaji anichek pm
  13. Robert Heriel Mtibeli

    Hivi huku Mbweni wanaishi Watanzania? Haya majengo sio poa

    Habari za Sabato Wakuu! Wiki nzima hii nilikuwa huku Mbweni, ninakijiplot changu. Sasa kwa hali niliyoikuta nimejikuta ninakata tamaa. Aiseeh! Hawa majirani zangu sio Pouwa. Hii mijengo walioidondosha na wanaoidondosha sio Pouwa! Unaweza ukadhani upo kwenye filamu za kinaijeria. Hapa...
  14. bizzle for shizzle

    kiwanja kinauzwa Mbweni malindi estate

    Kiwanja kinauzwa Kipo mbweni malindi , jijini dar es salaam WILAYA ya Kinondoni BARABARA ya bagamoyo road kina UKUBWA wa sqm 1495 ni corner plot na kina Hati miliki safi kutoka wizara ya Ardhi kina uzwa TSH MIL 180 mazungumzo yapo kwa muhitaji KARIBUNI sana Mawasiliano 0712464777 whatsap & call...
  15. bizzle for shizzle

    Plot4Sale Viwanja vinauzwa Mbweni-Dar

    Kipo kiwanja mbweni jkt block 5 kina sqm 1020. bei 80milion kina hat Kipo kiwanja mbweni malindi block c sqm 1100. Bei 80milion kina hat Kipo kiwanja mbweni mpiji sqm 912 bei milion 55 kina hati Kipo kingine mbweni mpiji block 13 sqm 1090 kina hat bei 50 milion Kipo kingine mbweni...
  16. GENTAMYCINE

    Nimefurahi sana kukutana na 'Makomandoo' wa Chuoni Kiharaka Mapinga Bagamoyo wakiwa Wanafanya mazoezi yao Barabarani Mbweni

    Hakika kwa nilivyowaona wakiwa Vifua wazi wamejengeka Kimwili Wamekomaa na wana Morali ya hali ya Juu ya Kimedani hakika si Uganda, Kenya, Burundi, Rwanda na hata Israel, Marekani, Cuba na Uingereza ambao watatuweza Tanzania kama wakituchokoza. Hongereni sana JWTZ kwa Uimara!!!!
  17. DELETED ACCOUNT

    Je kuna uwezekano wa Simba kuhamia moja kwa moja uwanja wa Mej. General Isamuhyo ulioko Mbweni?

    Nimewaza na kuwazua, kwa muda sasa Simba imeweka kambi yake maeneo ya Mbweni na ni umbali mdogo sana kutoka uwanja wa Meja Generali Isamuhyo ulipo. Yaani umbali wake ni mdogo kiasi kwamba katika mechi inayokuja ya JKT vs Simba, Simba wanaweza kuamua siku ya mechi kutembea kwa miguu kutoka...
  18. Newcastle1234

    Natafuta kiwanja Mbweni, budget Mil.70

    Natafuta kiwanja Mbweni. Bajeti yangu Mil.70. Ukubwa at least 900sqm SITAKI MADALALI. Kwa mmiliki au anaemfahamu mmiliki anitumie picha na location kwenye WHATSAPP 0788 893364. Just Whatsapp. NO CALLS
  19. P

    Kesho kutakuwa na Mgawo wa Umeme Tena Bahari Beach, Ununio, Boko, Mbweni, Bunju?

    Ukiwapigia TANESCO Call Center watakwambia ni "emergency" imetokea kwenye vituo vyao vya kusambaza umeme, na mafundi wao wabobezi wanalishuglikia tatizo. Wakimaliza marekebisho ya dharura umeme utarudi muda wowote. Wadau walipa LUKU tujiandae kisaikolojia kwa "emergency" ya kesho ya umeme...
  20. GENTAMYCINE

    Mkandarasi anayetakiwa Kujenga Daraja la Mto Mpiji linalounganisha Mbweni na Mapinga anachelewa nini kuanza Ujenzi?

    Kama kuna Wahusika wa Ujenzi wa Daraja hilo hapa JamiiForums nitashukuru nikipata Mrejesho wao kwani GENTAMYCINE nitapenda hata nyakati za Mvua Kubwa na Mafuriko niendelee kuwa Huru Kuvuka hilo Daraja na Kuwatembelea Makomandoo ( Wanamedani Waliotukuka ) walioko Jirani na Daraja hilo na Kukutana...
Back
Top Bottom