mbuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mbuzi ni fursa ya utajiri

    Tanzania ina zaidi ya mbuzi milioni 24, na idadi hiyo imeendelea kuongezeka kutokana na mahitaji makubwa ya nyama ya mbuzi ndani na nje ya nchi. Tafiti zinaonyesha kuwa ufugaji wa mbuzi ni moja ya shughuli muhimu zinazowapatia wananchi kipato katika maeneo mengi ya vijijini na mijini. Mbuzi...
  2. JamiiForums Tanzania Soko la mbuzi & kondoo kwa msimu wa sikukuu ya Eid Al- Adh- Haa

    Habari za muda huu wanajukwaa. Wakazi wa manispaa ya Moshi na viunga vyake mnakaribishwa sana kununua mbuzi na kondoo kwa ajili ya sikukuu ya Eid Al- Adh-haa ambayo inatarajiwa kufika ndani ya siku chache zijazo. Moja ya ibada kubwa katika kusherehekea sikukuu ya Eid Al- Adh-haa ni kuchinja...
  3. JamiiForums Tanzania SOKO LA MBUZI & KONDO KWA MSIMU WA SIKUKUU YA EID AL- ADH- HAA.

    Habari za muda huu wanajukwaa. Wakazi wa manispaa ya Moshi na viunga vyake mnakaribishwa sana kununua mbuzi na kondoo kwa ajili ya sikukuu ya Eid Al- Adh-haa ambayo inatarajiwa kufika ndani ya siku chache zijazo. Moja ya ibada kubwa katika kusherehekea sikukuu ya Eid Al- Adh-haa ni kuchinja...
  4. JamiiForums Tanzania Car4Sale MAFUTA MBUZI SAFARI TEMBO

    Passo AKA KINUSA MAFUTA IMEFIKA PIA 2008 MODEL A VERY CLEAN UNIT, KM 88,000 CC 1000 AT Petrol 2WD 13.9M + Usajili, HII kwa Mafuta Kupanda BEI itakufa sana, Kwa Final Price Na Picha zaidi Contact 0714547598
  5. JamiiForums Tanzania Mbuzi mwenye jinsia mbili (kike na kiume) kufanyiwa Maombi

    Tukio la kuzaliwa kwa mbuzi mwenye viungo vya jinsia zote mbili (kike na kiume), limeibua mshangao na taharuki kwa wakazi wa Mtaa wa Nyantorotoro B, Kata ya Nyankumbu, Manispaa ya Geita, huku mmiliki wa mbuzi huyo akimtelekeza kwa balozi wa shina ili apatiwe maombi, akiamini huenda angeweza...
  6. JamiiForums Tanzania Koneksheni ya tenda ya kukusanya/ kununua/ kusafirisha mifugo ya kuchinja Eid (ng’ombe/ mbuzi/ kondoo)

    Habari zenu, Assalam alaykum, Shalom. Baada ya kumshuru Mwenyezimungu, shukrani zangu za dhati ziende kwa admini wa group kisha kwa wanakundi kwa support muliyonipatia kijana mimi wa miaka 25 nilipoandika andiko langu la kwanza la Kutafuta muwekezaji. Nashukuru nilifanikisha kupata na biashara...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa mbuzi kutoka mnadani kwenda Dar

    Habari za majukumu wakuu Naomba kufahamu usafiri wa kusafirisha mbuzi kutoka minada hii simiyu ...kondoa ....na kilosa je nitapata ya jumuia au itanilazimu kuwa na usafiri binafsi?
  8. JamiiForums Tanzania Kutoka kwenye Raha, Utukufu, kuogopwa na kunyenyekewa hadi Mbuzi wa Kafara

    Ndugu zangu kamwene, Katika ulimwengu wa madaraka, kuna wakati taasisi inabidi ijioshe ili ipate hewa ya kupumua. Nchi inapokwama kiuchumi kwa sababu ya doa la damu mfumo haulazimishi kila mtu kuwajibika maana kuna uwajibikaji hauna impact hivyo anatafutwa mtu mmoja mwenye uzito wa kubeba...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume mmoja akamatwa na polisi, kwa tuhuma ya kumbaka mbuzi hadi kumsababishia kifo

    Mwanamume mmoja anayeaminika kuwa na umri wa miaka 40 aliyetambulika kama Mitchell Dopoh amedaiwa kumlawiti Mbuzi na kusababisha kifo cha mnyama huyo. Kulingana na ripoti, uchunguzi wa awali unaendelea kwa sasa, kwani maafisa wa sheria waliopewa eneo hilo bado hawajatoa matokeo rasmi kuhusiana...
  10. JamiiForums Tanzania Wakatoliki washindwa kula mbuzi katoliki

    Nimepenyezewa hapa habari za ukweli kabisaa na mtu aliekua kwenye press ya wakatoliki leo, naskia nyuma ya camera kuna mtu si akaleta bwana sinia la mbuzi katoliki na ndizi kama kuwashkuru wakatoliki kuungana. Naskia bwana wale jamaa wengi wao wakasema wao dini yao hairuhisu kula MBUZI KATOLIKI...
  11. JamiiForums Tanzania Msisahau hii ni marathon sio mbio za mbuzi

    Naona nderemo na vifijo upande wa mboga mboga wameanza kuongoza mbio tayari wamejiona washindi pasipo kujua hapa msingi nikumaliza mbio sio kuongoza mbio, wamesahau hata mbio zilizopita tuliongoza mbio sisi, ndugu zangu baada ya kuanguka isitufanye tusiendelee na mbio lazima tumalize mbio .
  12. JamiiForums Tanzania Tetesi: Wafuatao ni mbuzi wa kafara. Soon mtasikia!.

    1. MONGOSO-GBPi 2. Tuesday Fire 3. Internal affairs boss. ✂️ 4. The teeth-Boss mobimba Mombo na ngai 5. Mama sitomea UBER🚕✂️ 6..... Reserved for further updates. This is coming sooner than anyone could have expected.
  13. JamiiForums Tanzania Watibeli sio mbuzi wa kafara. Kamwe hatutakubali kugeuzwa chambo

    WATIBELI SIO MBUZI WA KAFARA. KAMWE HATUTAKUBALI KUGEUZWA CHAMBO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Sisi tunaongozwa na mambo makuu manne; HAKI, AKILI, UPENDO NA UKWELI. Hayo ndio yanayotuongoza na ndio mhimili mkuu katika maisha yetu. 2. Huwezi mgeuza mtibeli mbuzi wa kafara au chambo...
  14. JamiiForums Tanzania Bishop Gwajima je siku 10 hazijaisha? Acheni mikwara mbuzi kwa Serikali

    Ilikuwa tatehe 15 August, na leo ni tarehe 21 Septemba, zaidi ya siku 35.
  15. B

    JamiiForums Tanzania Bucha la nyama ya mbuzi vs bucha la nyama ya kuku wa kienyeji

    Habari wakuu Naomba uzoefu...Niko na mawazo haya mawili bucha la nyama ya mbuzi au bucha la nyama ya kuku wa kienyeji biashara ipi italipa location ni dar
  16. M

    JamiiForums Tanzania Mbuzi wa mtaani

    Hawa mbuzi wa Dar tunaoshinda nao Bar na kugombea nao madem wananifikirisha sana,hivi nani aliwahi kumchinja mmoja akakakutana na mauza uza?? Maana kila mtu anasema ni mbuzi mara dawa mara wa albadiri eti ukila lina kukuta jambo,nani aliwahi kukutwa na jambo au mtu wake wa karibu kwa kujaribu...
  17. JamiiForums Tanzania Polepole ni Mkwara mbuzi tu, anatishia nyau ila hana lolote

    Humphrey Polepole, aliyekuwa Balozi na Katibu wa Itikadi wa CCM, sasa ni mshindwa wa hali ya juu (pathetic loser) anayeandamwa na machungu, akidai kufichua siri za chama ili kuudhoofisha utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan. Kauli zake za chuki ni za mtu aliyeporomoka, anayeishi kama kibaraka...
  18. D

    JamiiForums Tanzania MSAADA WA NDOA: Mke wangu anauza supu za mbuzi kwa Siri?

    Eti wakuu, mimi ni tandiboi wa Malori ya kwenda Congo na Malawi. Sasa baada ya kukaa nje ya Tanzania kwa miezi miwili, juzi nilirudi kusalimia mke wangu na mtoto mmoja. Kuna jamaa mmoja akatuma meseji katika simu ya mke wangu akamuuliza, "HIVI HUYO MBUZI BADO YUPO?" Sasa najiuliza, mke wangu...
  19. JamiiForums Tanzania Majaji Mbuzi wa Mahakama kuna ujumbe wenu hapa

    GT Hii taarifa iwafikie majaji mbuzi wote.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…