mbunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mbunge Gwajima, Waziri Nape na Naibu Waziri Ridhiwani, wananchi wa Mbezi Jogoo tunasema asanteni!

    Mbunge wetu Kawe Nd Gwajima sasa anafanya kazi ya wananchi. Kwa muda mrefu sana wananchi wa eneo la Mbezi Jogoo, nyuma ya viwanda vya COTEX, tume,uwa tukisumbuliwa na matapeli kwa miaka mingi. Watu wako eneo hili toka miaka ya 70 au 80, mimi nipo hapo toka mwanzoni mwa miaka ya 90. Eneo letu ni...
  2. Mbunge asema migogoro ya ardhi inachangiwa na taasisi za Serikali

    Akichangia bajeti ya Wizara ya Ardhi Bungeni leo Mei 26, Dkt Joseph Kizito amesema “sehemu kubwa ya migogoro katika maeneo yetu inachangiwa na taasisi zingine za serikali, inapotokea mwananchi ana matumizi na ardhi na Serikali kupitia idara zake wanaihitaji hiyo ardhi, wizara ya ardhi isimame...
  3. P

    Sarakasi za Mbunge kijana na somo kwa vyama vya siasa wakati wa uteuzi majina ya wabunge

    Nimeiangalia video ya Mheshimiwa mbunge wa Arumeru namna alivyopanda juu ya meza yake na kusimama miguu kichwa chini. Siwezi kusema sikushangazwa sana kama wengi walioiona video hiyo kwa mara ya kwanza. Wanaonekana wabunge waliokaa jirani yake wanashangaa wakicheka kwa kustaajabishwa. Hata sauti...
  4. Mbunge Jerry Silaa aangua kilio bungeni baada ya kumaliza kuchangia mjadala

    Mbunge wa Ukonga kupitia CCM, Jerry Silaa akilia baada ya kumaliza kuchangia mjadala wa kupitisha makadikio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi kwa mwaka wa fedha 2022/2023 Jijini Dodoma leo. Silaa amemwaga machozi akieleza kuwa Kampuni ya Syno Hydro iliyopewa zabuni ya...
  5. Mbuge Flatei Massay apiga sarakasi Bungeni kuonesha kulalamika kuhusu ahadi anazopewa kila mara bila kutekelezwa, afanya marejeo ya sauti za mawaziri

    Mbuge wa Mbulu ameoneshwa kukerwa hadi kuamua kupiga sarakasi bungeni bila kujali uwepo wa spika Ni sawa mmbuge kupiga sarakasi au mweleka kuonesha kukerwa na ahadi zizizo tekelezeka? === Kuruka sarakasi kwa mbunge Flatei ni jambo analotamani kulifanya mara nyingi, Mei 17, 2021 pia alipokuwa...
  6. Polisi nchini Nigeria wachunguza kifo cha Mbunge aliyekatwa kichwa

    Polisi nchini Nigeria wanachunguza kukatwa kichwa kwa mbunge wa jimbo la kusini-mashariki la Anambra ikiwa ni wiki moja baada ya watu wenye silaha kumteka nyara pamoja na msaidizi wake. Mwili wa Okechukwu Okoye ulipatikana mwishoni mwa juma ukiwa na majeraha ya kukatwa ambapo Gavana wa jimbo...
  7. B

    Bundle la Simu ku expire, mbunge ataka mlaji alindwe

    Mbunge Salome Makamba ametaka serikali kuwalinda wateja wa simu za mkononi ambao wanabanwa na mikataba isiyo ya usawa, kuwalazimisha kutumia salio za vifurishi huku walaji hao wakiwa hawana mtetezi wa kuuliza makampuni ya simu dhima na sababu ya kulazimisha walaji kutumia vifurushi...
  8. Mbunge amkumbusha Nape majukumu , Kuhusu Bundle

    Huyu mbunge angepata hii nafasi , angefanya makubwa. Biashara mtandaoni zinazidi kufa , kwa sababu ya Bei ya bundle. Vijana waliokuwa wakiingiza 24 Mil / month kwa kupitia online, hakuna hata mmoja
  9. Mbunge: Simu zetu zinabeba taarifa nyeti na nzito, ataka Sheria itungwe kuzilinda. Ahoji ulazima wa 'Loss report'

    Mbunge wa viti maalum, Judith Kapinga leo bungeni ameongelea kuhusu sheria ya ulinzi wa data na utaratibu wa kuomba 'Loss report' LOSS REPORT Mbunge Judith amesema utaratibu wa kuambiwa kutafuta 'Loss report' pindi mtu anapoteza laini ya simu. Mbunge amesema tulipofikia mtu anasajili laini ya...
  10. Salome Makamba: Mabando ya simu yasiwe na ukomo wa muda wa kuisha

    Mbunge Salome Makamba, amesema kuwa habari ya mabando kuisha muda wake baada ya kujiunga ni sawa na kuwaibia watanzania, adai kuwa ukijuinga bando la simu liwe la dakika za maongezi au la data unaweza usilitumie kutokana na changamoto nyingi sana zikiwemo za kukosekana kwa mtandao wa simu au...
  11. Mbunge ataka Jeshi liachane na nyimbo ambazo zikisikilizwa, mawazo ya vijana yanaonekana yapo kwenye ngono

    Mbunge wa Kigoma Mjini, Kilumbe Shabani Ng'enda wakati akichangia mjadala wa Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa kwa Mwaka wa Fedha 2022/2023 ameiomba Wizara kutazama upya nyimbo za hamasa zinazoimbwa jeshini wakati wa mazoezi kuwa ziwe za kuhamasisha...
  12. Mfahamu mbunge Mh. Oliver Semuguruka

    Nitakuwa nawaletea wabunge mbalimbali kutoka bungeni Dodoma, leo tuanze na mbunge Semuguruka kutoka mkoani Kagera. Huwa namfatilia sana anapochangia michango yake bungeni.
  13. Mbunge: Mitaala inayotengenezwa haimsaidii Mtanzania

    Katani Ahmed Katani (Mbunge wa Tandahimba) amesema Vyuo vinaendelea kutengeneza Mitaala na Kozi ambazo hata Mhitimu akienda 'Ajira Portal' hakutani na kitu alichosomea. Amesema, "Tunaendelea kutengeneza Mitaala ambayo haiendi kumsaidia Mtanzania" Amefafanua, "Tunaendelea kutumia Mitaala ya...
  14. Mheshimiwa mbunge acha mara moja "kuuza" mechi ya Dodoma Jiji Vs Yanga

    Mheshimiwa Mbunge tunajua wewe ni mfia Yanga. Iache Yanga ipambane yenyewe badala ya wewe na uongozi wa Yanga kulazimisha mechi ichezwe nje ya uwanja. Unahangaika sana kutafuta connection ili Dodoma Jiji isiwafanye vibaya Utopolo wenzio. Tunajua hatuwezi kukufanya chochote ila huo sio...
  15. Spika Tulia Ackson ampa onyo kali Mbunge Tabasamu kwa kumuita Condester Sichalwe 'Mbunge wa ajabu'

    Spika Tulia Ackson amesema wabunge wote wana hadhi sawa na hakuna mbunge wa ajabu, ametolea mfano Msukuma ameshawahi kuchangia kuhusu bangi na hakuna mtu aliyemuita mbunge wa ajabu na kudai yawezekana hoja kwa sababu Condester mwanamke ikawa na nguvu Spika amesema kanuni za Bunge zinataka...
  16. Mbunge Condester ataka gongo ihalalishwe, aenda bungeni na 'sample'

    Condester Sichalwe(Momba): Ni nini watu wa TBS wanaweza wakatusaidia kutoa makali ambayo yapo kwenye gongo yafanane konyagi, yafanane na pombe nyingine ambazo mnaziona za kifahari ambazo matajiri wanakunywa lakini wote wakinywa wanalewa. Nataka kuwaambia, pombe hizi za kienyeji ambazo...
  17. J

    Mahojiano na Dar24: Dkt. Slaa adai alikuwa akifukuza kama MBWA ma-OCD walioingilia mikutano ya ndani ya Mbunge

    Kweli Dr.Slaa alikuwa kiboko. Lakini sidhani kama angeweza kufanya hivyo kwa Ma-OCD wa IGP Sirro. Dkt. Slaa anadai Polisi waliofika kwenye mikutano yake aliwahoji, " kifungu gani kimekuruhusu kuja kwenye mkutano wangu wa ndani...ondoka wewe MBWA.."🤣 Ili nisimuwekee maneno Dr.Slaa naomba...
  18. Bungeni: Mjadala wa dharura kuhusu kupanda kwa bei ya mafuta nchini. Mbunge asema tozo mbili zinaongeza 792 kwenye bei

    Leo May 5, mbunge Kilindi, Omary Kigua ametoa hoja ya kuahirisha shughuli zake za kawaida ili kujadili dharula ya ongezeko la bei ya mafuta. Kigua amesema kuna changamoto ya kupanda kwa haraka sana kwa mafuta ya taa, dizeli na petroli ambapo hivyo vikipanda ni kimepandishwa kila kitu na...
  19. Askofu Gwajima atoa Tsh 100,000 kwa kila aliyekatwa mapanga na panya road

    Mbunge wa Kawe Askofu Josephat Gwajima, ametoa pole ya shilingi laki moja kwa kila mwananchi aliyekatwa mapanga na vijana wanaodaiwa kuwa ni Panya road katika mtaa wa Mtongani Kunduchi usiku wa kuamkia Mei 2, 2022. Jumla ya wananchi 19 walijeruhiwa kwa mapanga.
  20. TANZIA Mtoto mchanga wa Marehemu Mbunge Irene Ndyamkama afariki dunia

    Mtoto mchanga aliyeachwa na marehemu Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Rukwa, Irene Ndyamkama amefariki dunia jana Aprili 30, 2022. Mtoto huyo amefariki baada ya kuishi kwa siku saba tangu kuzaliwa kwake, Mbunge Irene alifariki dunia Aprili 24, 2022, katika Hospitali ya Tumbi wakati akipatiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…