mbunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mbunge Cherehani - Pamba ipewe tija kwa Wakulima wa zao hili

    MBUNGE CHEREHANI - PAMBA IWE NA TIJA Mbunge wa Jimbo la Ushetu Kahama-Shinyanga Emmanuel Cherehani amesema Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe apewe udaktari wa heshima kutokana na mchango wake katika nchi yetu hususani kwenye Kilimo. "Wananchi wa Ushetu walipokea Mahindi ya kutosha...
  2. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Viti Maalum, Bupe Mwakang'ata: Naomba Serikali ianzishe Mashamba ya Mbegu hapa nchin

    MBUNGE BUPE MWAKANG'ATA AKICHANGIA HOJA YA BAJETI YA WIZARA YA KILIMO Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Rukwa Mhe. Bupe Mwakang'ata tarehe 09 Mei, 2023 alichangia hoja ya Bajeti ya Wizara ya Kilimo iliyosomwa Bungeni na Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe. "i. Mfano, sisi Mkoa wa Rukwa Mbegu...
  3. JamiiForums Tanzania Video; Ngumi(fist fight) kati ya mbunge wa Ukraine na Diplomst Mrusi

    Wamebishana. Yule alikuwa ameshikilia bendera ya Ukraine, jamaa akampokonya na kuondoka nayo. Kilichofuatia, ngumi.
  4. JamiiForums Tanzania Mbunge Malleko awasilisha maombi ya Teknolojia kwenye Kilimo cha Ndizi, Kilimanjaro

    MBUNGE ESTHER MALLEKO AWASILISHA MAOMBI YA TEKNOLOJIA KWENYE KILIMO CHA NDIZI, KILIMANJARO "Tanzania tunazalisha kahawa tani 80,000 kwa sasa, huko nyuma tulikuwa tunazalisha tani 61,000 za kahawa, tumepiga hatua. Lakini pia fedha za kigeni tunazoziingiza kupitia mauzo ya kahawa ni takriban dola...
  5. JamiiForums Tanzania Mbunge Aloyce Andrew Kwezi Aishauri Wizara ya Kilimo Kujenga Kiwanda cha Kuchakata Tumbaku Kaliua

    MBUNGE ALOYCE KWEZI AISHAURI WIZARA YA KILIMO KUJENGA KIWANDA CHA KUCHAKATA TUMBAKU KALIUA Mbunge wa Jimbo la Kaliua, Tabora Aloyce Andrew Kwezi wakati akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Kilimo amewaomba wabunge wote kuunga mkono hoja ya Bajeti ya Wizara ya Kilimo iliyosomwa Bungeni na...
  6. JamiiForums Tanzania Devotha Minja: Namshangaa Hussein Bashe kutaka Bodaboda za Maafisa Ugani zifungwe GPS

    "Namshangaa Hussein Bashe anataka pikipiki za maafisa Ugani zifungwe GPS, mbona wao kwenye V8 zao hawajafungiwa" Devotha Minja. Mbunge wa wananchi Jimbo la Morogoro Mjini. Chanzo: Jambo TV === Devotha Minja, ambaye alikuwa mgombea ubunge wa Jimbo la Morogoro Mjini kwa tiketi ya CHADEMA...
  7. JamiiForums Tanzania Jimbo la Chato kwa sasa halina Mbunge?

    Merdad Matogolo Kalemani aliyewahi kuwa waziri wa nishati na akawa anapeleka umeme kwa wasitani wa vijiji elfu 2 kila mwaka hivyo kupelekea vijiji zaidi ya elfu 10 kupata umeme ndani ya miaka yake 5 ya uwaziri hivi sasa amelala usingizi wa pono. Medard Kalemani mbunge wa jimbo la Chato hatetei...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Mbunge Tabasamu: Ng'ombe dume ikivalishwa hereni itapungukiwa nguvu za kiume, wa Pwani wakavalishwe tu

    Mbunge Hamis Tabasamu wa Sengerema, Mwanza amesema ni sawa kwa ng'ombe wakike kuvalishwa hereni ikiwa wanataka wapendeze kama binadamu, lakini suala hilo kwa ng'ombe wa wakiume haliwezekani kwani makabila yenye ng'ombe wengi kama Wamasai, Wakurya, Wasukuma hawakubali. Akihojiwa na Mwandishi...
  9. JamiiForums Tanzania Mhe. Njalu Silanga - Mbunge wa Jimbo la Itilima

    Mhe. Njalu Silanga, Mbunge wa Jimbo la Itilima Mhe. Njalu Silanga, Mbunge wa Jimbo la Itilima tarehe 05 Mei, 2023 alipata nafasi ya kuchangia suala la Tanga Cement na Twiga Cement wakati wa kuwasilishwa kwa hoja ya bajeti ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara iliyosomwa na Waziri mwenye dhamana...
  10. JamiiForums Tanzania Sylivia Francis Sigula - Mbunge Viti Maalum kupitia kundi la Vijana

    Mhe. Sylivia Francis Sigula - Mbunge Viti Maalum kupitia kundi la Vijana Mhe. Sylivia Francis Sigula, Mbunge Viti Maalum kupitia kundi la Vijana tarehe 05 Mei, 2023 alipata nafasi ya kuchangia suala la Tanga Cement na Twiga Cement wakati wa kuwasilishwa kwa hoja ya bajeti ya Uwekezaji, Viwanda...
  11. JamiiForums Tanzania Jackline Ngonyani: Nashauri mchakato wa Twiga Cement kuinunua Tanga Cement uanze upya

    Mhe. Jackline Ngonyani, Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Ruvuma Mhe. Jackline Ngonyani, Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Ruvuma tarehe 04 Mei, 2023 alipata nafasi ya kuchangia suala la Tanga Cement na Twiga Cement wakati wa kuwasilishwa kwa hoja ya bajeti ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara iliyosomwa na...
  12. JamiiForums Tanzania Abdulghafar Idrisa Juma: Kampuni zikitaka kuungana na kuingia sokoni haitakiwi kuzidi asilimia 35 ya hisa. Nini kimewasahaulisha FCC?

    Abdulghafar Idrisa Juma, Mbunge wa Jimbo la Mtoni Mhe. Abdulghafar Idrisa Juma, Mbunge wa Jimbo la Mtoni tarehe 04 Mei, 2023 alipata nafasi ya kuchangia suala la Tanga Cement na Twiga Cement wakati wa kuwasilishwa kwa hoja ya bajeti ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara iliyosomwa na Waziri mwenye...
  13. JamiiForums Tanzania Sakata la hereni za ng'ombe bungeni, Msukuma amtaja mbunge wa Kibaha kufaidika na mradi huo

    Wakati wa kuwasilishwa na kujadiliwa kwa hoja ya Bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi, moja kati ya mambo yaliyochangiwa na wabunge wengi hasa wanaotoka maeneo ya wafugaji ni suala la HERENI ZA KIELEKTRONIKI KWA MIFUGO HASA NG'OMBE Katika hotuba iliyowasilishwa ilielezwa kuwa...
  14. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Jimbo la Chakechake

    Mhe. Ramadhan Suleiman Rmadhani, Mbunge wa Jimbo la Chakechake "Hadi sasa hakuna ubishi kwamba yapo maamuzi ya Mahakama ya Ushindani wa Kibiashara (FCT) kwenye kuzui mchakato wa Twiga Cement na Tanga Cement kuungana, sasa unapata wapi nguvu ya kupindua maamuzi ya mahakama? Maamuzi ya mahakama...
  15. JamiiForums Tanzania Mbunge Ahoji, Kwanini Tanga Cement Ilazimishwe Kuuzwa Twiga Cement

    KUNTI MAJALA AHOJI KWANINI TANGA CEMENT ILAZIMISHWE KUUZWA TWIGA CEMENT Mhe. Kunti Majala, Mbunge wa Viti Maalum tarehe 04 Mei, 2023 alipata nafasi ya kuchangia suala la Tanga Cement na Twiga Cement wakati wa kuwasilishw akwa hoja ya bajeti ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara iliyosomwa na Waziri...
  16. JamiiForums Tanzania Tulipompata Tulia Ackson kama mbunge, Mbeya yote imechangamka kwa miradi ya miundombinu

    Pamoja na siasa uchwara za wenzetu, inabidi tukubali ukweli tunaouona kwa macho yetu. Toka tumeanza kuwa na huyu mbunge wetu Tulia Ackson, miradi mkoa wa Mbeya imeanza kuchangamsha mkoa. Pamoja na kuwa mkoa mkubwa wa uzalishaji mkubwa wa chakula kwa Taifa, Mbeya ilikuwa katika jinamizi la...
  17. JamiiForums Tanzania Mbunge: Nyama ya ng’ombe ni gharama sana Zanzibar, kilo moja Tsh. 13,000

    Mbunge wa Jimbo la Chaani – Zanzibar, Juma Usonge Hamad akichangia mada Bungeni akidai bei ya nyama ya ng’ombe kwa upande wa Zanzibar ni gharama na kuwa Kilogramu moja inauzwa kuanzia Tsh. 13,000 na kuendelea. Amesema “Wizara haijaamua kusamehe tozo ambazo zinatozwa kwa ng’ombe wanaopelekwa...
  18. JamiiForums Tanzania Ziara ya Mbunge Jimbo la Babati Vijijini

    MHE. DANIEL BARAN SILLO AFANYA ZIARA KATIKA JIMBO LA BABATI VIJIJINI Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini na Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Daniel Baran Sillo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti ameendelea na ziara katika Jimbo lake la...
  19. JamiiForums Tanzania Mbunge Mwakilishi wa Wafanyakazi nchini ampongeza Rais Samia kwa kujali Maslahi ya Watumishi nchini

    Mbunge wa Viti Maalum Wafanyakazi Nchini anayetokea Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Janejelly James Ntate kufuatia Sikukuu ya Mei Mosi iliyofanyika Kitaifa Uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro amempongeza Rais Samia kwa kutoa hotuba iliyozidi kuleta matumaini mazuri kwa wafanyakazi wote nchini. Mhe...
  20. JamiiForums Tanzania Mbunge Magesa akemea upotoshaji mradi wa maji Chamkolongo

    MHANDISI MAGESA AKEMEA UPOTOSHAJI MRADI WA MAJI CHANKOLONGO Mbunge wa Jimbo la Busanda, Mhandisi Tumaini Magesa amewatoa hofu wananchi wa Mamlaka ya Mji mdogo wa Katoro juu ya mradi wao wa maji wa Chamkolongo unaondelea kutelekelezwa kwani umefikia hatua za mwisho kumalizika na kupuuza maneno...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…