mbunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ally Keissy asema atagombea Ubunge mwakani kwa sababu Mbunge wa CHADEMA hakuna alichofanya

    Ndugu zangu Watanzania, Mbunge wa Zamani Wa Nkasi kaskazini Ally Keissy aliyekuwa na kila aina ya vituko na Mbwembwe ndani ya Bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania,amesema ya kuwa anajipanga tena kugombea ubunge hapo Mwakani na kwamba hajaondoa dhamira hiyo. Amesema mbunge aliyepo kwa sasa...
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Florence Samizi Agawa Mitungi ya Gesi 200 kwa Maafisi Upishi 200 Muhambwe

    DKT. FLORENCE SAMIZI AGAWA MITUNGI YA GESI 200 KWA MAAFISA UPISHI 200 MUHAMBWE. Mbunge wa Jimbo la Muhambwe, Mhe. Dkt. Florence George Samizi amehamasisha wananchi kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 27 Novemba, 2024. Katika kuuunga mkono kazi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Ndaisaba Ruhoro: Watanzania puuzeni migomo kwa kuwa haina mashiko

    Mbunge wa Jimbo la Ngara, Mhe. NDAISABA G RUHORO amewaomba watanzania kupuuza watu wachache wanaohamashisha maandamano nchini hasa wale wanaotumia mitandao kufanya vikao vya kichochezi Mbunge Ruhoro aliyasema haya alipokuwa kwenye mkutano wa hadhara, Kijiji cha Kumubuga, Kata ya Nyamagoma...
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Cherehani: Walimu Tushikamane Kutokomeza Zero Ushetu

    MBUNGE CHEREHANI: WALIMU TUSHIKAMANE KUTOKOMEZA ZERO USHETU Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Mhe. Emmanuel Cherehani amewataka walimu wa Shule za Sekondari katika Halmashauri ya Ushetu mkoani Shinyanga kuongeza jitihada ufaulu kwa Wanafunzi wote ili kutokomeza alama sifuri. Rai hiyo ameitoa jana...
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Martha Gwau Ahimiza Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia Wilaya ya Mkalama, Singida

    MBUNGE MARTHA GWAU AHIMIZA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA WILAYA YA MKALAMA, SINGIDA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Mhe. Marha Nehemia Gwau amefanya ziara Wilaya ya Mkalama na kupokelewa kwa shangwe na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi na Jumuiya zake wa Wilaya ya Mkalama Mhe...
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Aloyce Kwezi Azindua Shule Iliyojengwa kwa Tsh. Milioni 398

    Mbunge wa Jimbo la Kaliua, Mhe. Aloyce Kwezi amezindua Shule ya Usimba Sekondari iliyopo katika Wilaya ya Kaliua ambapo aliambatana na Diwani wa Kata ya Usimba Ndugu Masanja E. Msonde. Wakazi wa Kata ya Usimba walijitokeza kwa wingi katika uzinduzi wa Sekondari hii ambayo itawapa manufaa watoto...
  7. Matulanya Mputa

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Mtwara Mjini afichua jinsi CCM inavyolazimisha wanachama kugombea ubunge kinyume na matakwa yao

    Mbunge wa Mtwara mjini anatoa ushahidi mwingine juu ya uzalimu wa CCM, sikiriza hiyo toka Mtwara mjini.
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Jafari Chege: Mimi ni Muombaji wa Fedha za Maendeleo, Anayetoa Fedha Hizo ni Rais Samia

    MBUNGE JAFARI WAMBURA CHEGE: MIMI NI MUOMBAJI, ANAYELETA FEDHA ZA MAENDELEO NI RAIS WA NCHI, DKT. SAMIA SULUHU HASSAN Mbunge wa Jimbo la Rorya, Mhe. Jafari Wambura Chege katika muendelezo wa ziara Jimboni amesema kuwa Yeye kazi yake ni kuomba fedha za Maendeleo lakini anayetoa hizo fedha ni...
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mavunde Azindua Ujenzi Jengo la Mapumziko Hospitali ya Mkoa wa Dodoma

    MBUNGE MAVUNDE AZINDUA UJENZI JENGO LA MAPUMZIKO HOSPITALI YA MKOA WA DODOMA DODOMA MBUNGE wa Jimbo la Dodoma mjini, Mh. Anthony Mavunde amezindua ujenzi wa jengo la mapumziko la wananchi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma na kusema kuwa ujenzi huo ni sehemu ya utatuzi wa changamoto...
  10. Chakaza

    JamiiForums Tanzania Mama Hata CCM Wamechoka na Utekaji, Mbunge Amtaja Mtekaji Kuwa ni Mtoto Pendwa.

    Huyu pamoja na kuwa ni mchungaji lakini kisiasa ni kiongozi yaani ni mbunge wa Kawe. Amepiga verse za kutosha na kwa lugha ya Alama ametutajia mtekaji mkuu kuwa ni yule aliteka studio za TV na akamteka mwanamuziki. Huyo mtu ni mtoto pendwa wa #1 na toka amrudishe kwenye system matukio...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashe ampa tano Mbunge Cherehani kwa kuonyesha uzalendo Sekta ya Kilimo

    Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amempongeza Mbunge wa jimbo la Ushetu Mhe Emmanuel Cherehani kwa kuendelea kuonyesha uzalendo katika kuendeleza sekta ya Kilimo. Waziri Bashe ameeleza hayo wakati akizungumza na Wananchi wa kata ya Ushetu akiwa kwenye ziara ya kikazi Mkoani Shinyanga ambapo...
  12. Pendragon24

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Hii ni akaunti rasmi ya Mtandao wa X ya Mbunge wa Kisesa Joelson Luhaga Mpina

    Kumekuwa na akaunti yenye jina la Luaga Mpina inachapisha taarifa mbali mbali kuhusu mambo yanayoendea nchini na kujibu hoja za Mbunge Luaga Joelson Mpina wa jimbo la Kisesa ndani ya mtandao wa X zamani twitter. Naomba JAMIICHEK inisaidia kujua ukweli kama akaunti hii ni mali halali au...
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Esther Malleko Amuuliza Swali Waziri Mkuu, Maelekezo Yatolewa Halmashauri Zote Nchini

    ESTHER MALLEKO AMUULIZA SWALI WAZIRI MKUU, WAZIRI MKUU ATOA MAELEKEZO KWA HALMASHAURI ZOTE NCHINI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Esther Edwin Malleko leo tarehe 29 Agosti, 2024 amemuuliza swali bungeni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa ambaye...
  14. mirindimo

    JamiiForums Tanzania SHANGINGI LA HUMAN TRAFFIC LA MBUNGE LABADILISHWA JINA LIKIWA NA POLISI KUSHIRIKIANA NA TRA

    It is unbelievable ngoma imechezeshwa na TRA na POLISI kuokoa jina la Mbunge Koka anaefanya biashara ya binadamu ambae yuko Chama Tawala. Haya mambo CCM inayakumbatia sana kwa kufikiri wananchi hatuyajui na hatujui wahusika. Funny enough mpaka chombo chetu cha kodi nacho kinashiriki sasa...
  15. Fredrick Nwaka

    JamiiForums Tanzania Mbunge gani harudi 2025?

    Uchaguzi mkuu wa Tanzania unatabirika sana hasa kutokana na ushawishi wa chama cha mapinduzi. Ni wazi hata uchaguzi mkuu wa 2025 unatabirika japo utakuwa mgumu ikilinganishwa na ule wa 2020. Ni wazi CCM bado itadhibiti bunge baada ya uchaguzi mkuu wa 2025. Hili ni kweli ndugu zangu (si...
  16. R

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Waziri wa Ujenzi, Bashungwa barabara ya Tanga TO Pangani mmeitelekeza? Mbunge Ummy saidia barabara hii itengenezwe

    Wachina wamehamisha kabisa vifaa vyao. Je fate ya barabara hiyo ni ipi? Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, take action please, tatizo ni nini? basi waje wairudishe kama ilivyokuwa maana ni kero sana walivyoiacha
  17. U

    JamiiForums Tanzania MBUNGE WA NYAMAGANA MWANZA UNAFANYA NINI??

    Habari wadau.Napenda kumpa taarifa mbunge wa NYAMAGANA bwana mabula kuwa ukiondoa matatizo mengi yaliyopo wilaya ya hii ambayo ni kitovu cha uchumi wa mkoa kama ukosefu wa huduma ya maji na barabara mbovu kuna aibu ambayo naomba yeye binafsi aifuatilie.Hii aibuu ya watoto kwenda na magunia...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Ngorongoro, hasikiki, kulikoni?

    1. Ngorongoro kuna mbunge? 2. Ni nani (jina), anatoka Chama gani? 3. Ameona madhila ya Wana-Ngorongoro? Anapata usingizi kweli? 4. Uchaguzi 2025 atagombea tena ubunge?
  19. S

    JamiiForums Tanzania Peter Salasya: Mbunge wa Mumias na Safari ya Mafanikio katika Siasa na Inspirational kwa vijana

    Peter Salasya ni mbunge wa Mumias, Kenya, ambaye alingia madarakani akiwa na miaka 32. Kabla ya kuingia kwenye siasa, maisha yake yalikuwa na changamoto nyingi na alipitia vipindi tofauti, akijaribu kutafuta njia yake. Ingawa alikabiliwa na vikwazo, alijitahidi na hatimaye alifanikiwa kupata...
  20. dr namugari

    JamiiForums Tanzania Je angela kairuki hatakuwa mbunge tena baada ya kuteuliwa kuwa mshauri wa Rais

    Nimeona panga panga ya baraza la Mawaziri Kwa kairuki kutenguliwa na kupelekwa kuwa mshauri wa rais ikulu Sasa nauliz a nafsi yake ya ubunge wa kuteuliwa itakuwa pia umepoteza Lucas mwashamba hv bado hajateuliwa
Back
Top Bottom