https://www.youtube.com/watch?v=4q282jxs_3E
Mbunge wa Jimbo la Segerea, Agnesta Lambert Kaiza, kupitia tiketi ya Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), amesema kuwa katika jimbo lake bado kuna kero kubwa ya barabara, hususan za ndani. Ameeleza kuwa mvua zinaponyesha, njia nyingi hazipitiki...