Mbunge wa Jimbo la Malinyi, Dkt. Mecktridis Mdaku ametoa msaada wa kuboresha mfumo wa usambazaji majisafi katika kituo cha Afya cha Kata ya Itete, Kilichopo Wilaya ya Malinyi, Mkoani Morogoro na kusaidia kuondoa adha ya upatikanaji wa maji iliyodumu kwa muda mrefu Kituoni hapo.
Hatua hiyo...
Mbunge Ghati Chomete Aendelea Kushiriki Shughuli za Kamati ya Kudumu ya Bunge
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Mhe. Ghati Zephania Chomete ameendelea kushiriki katika shughuli za Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo, ambayo tarehe 14 Machi ilifanya ziara ya kikazi...
MBUNGE WA VITI MAALUM MKOA WA MARA MHE. GHATI CHOMETE ASHIRIKI ZIARA YA KAMATI YA BUNGE TAFICO.
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Mhe. Ghati Zephania Chomete, ameshiriki ziara ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo iliyofanya ziara ya kutembelea na kukagua miradi...
Waziri wa Afya Mohamed Mchengerwa amekabidhiwa tuzo ya ZIKOMO katika kipengele cha Best Zikomo Member of Parliament of the year Africa & Caribbean 2025.
Waziri Mchengerwa amekabidhiwa tuzo hiyo na Katibu Mkuu cha Muziki wa Dansi nchini Tanzania, Abdul Malick Anania Sangura ambaye alipokea kwa...
https://www.youtube.com/watch?v=4q282jxs_3E
Mbunge wa Jimbo la Segerea, Agnesta Lambert Kaiza, kupitia tiketi ya Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), amesema kuwa katika jimbo lake bado kuna kero kubwa ya barabara, hususan za ndani. Ameeleza kuwa mvua zinaponyesha, njia nyingi hazipitiki...
Kuna tetesi kuwa baadhi ya Wabunge wetu huwa wana kawaida ya kuwanyonya madereva wao kwenye suala la mishahara kwa kuwa inapitia kwao Wabunge.
Nashauri kama inawezekana mshahara wa dereva upite moja kwa moja kutoka Bungeni uingie kwenye account ya dereva.
Ipo hivi mshahara na posho ya dereva...
Mbunge wa Jimbo la Ole Zanzibar Said Salima Hamad ajinadi kwa Lugha ya Kifaransa bungeni wakati wabunge wakiomba kura katika uwakilishi wa Taasisi mbalimbali leo februari 5, 2026
Mbunge viti Maalum wa Kagera Devotha Daniel Mburarugaba kwenye kipindi cha maswali na majibu bungeni leo Februari 5, 2026 amehoji Serikali imeweka mikakati gani kuhahakikisha maafisa wanapata vitendea kazi kwani wanawake wakienda kuomba mikopo wanaambiwa intaneti ipo chinihawawezi kupata huduma...
Mbunge machachari Msukuma ana upeo mkubwa wa kuongea na kuongea.
Lakini wakati mwingine kinachomtoka mdomoni ni pumba zisizo ainisha mantiki ya usomi nyuma yake.
Huwa anawa nanga sana wasomi, utaifikiri mikakati ya mwalimu Nyerere kufuta ujinga ilikuwa kupoteza muda na fedha.
Msukuma...
Mbunge wa Jimbo la Hai, Saashisha Mafuwe, ameionya Serikali kuwa idadi kubwa ya vijana wanaohitimu vyuo vikuu kila mwaka inaweza kugeuka kuwa ‘bomu la kijamii’ ikiwa hakutakuwa na mpango madhubuti wa kuwaingiza kwenye sekta za uzalishaji.
Akichangia Mpango Elekezi wa Maendeleo wa Muda Mrefu...
Mbunge wa Jimbo la Makete, akichangia katika Bunge la 13, Mkutano wa Pili, Kikao cha 6, ameeleza kuwepo kwa mifuko ya vijana katika wizara mbalimbali licha ya kuwepo kwa Wizara rasmi ya Vijana. Amesema kuna zaidi ya mifuko 70 katika wizara tofauti inayopokea fedha kwa ajili ya vijana...
Hata simkumbuki jina...ila nikiwa hapa kanisani leo katika kanisa takatifu la kimitume katoliki parokia ya uparokiani Askofu anazungumzia jambo , anasema kua unaweza kua mtu mzima ila akili huna..
Ndio nikakumbuka tukio la mbunge aliechaguliwa Sasa sijui alichaguliwa na wananchi ama aliwekwa...
Mbunge wa Jimbo la Mwibara (CCM), Kangi Lugola amesema ni vyema mihimili ya serikali iwe huru ili iweze kufanya kazi zake kwa usahihi bila kuingiliwa.
Soma pia: Vyombo vya Dola na taasisi nyingi zianitaji Kukombolewa na Wananchi ikiwepo mihimili Bunge na Mahakama Wananchi tuvikomboe virudi kua...
" Niwaombe watanzania wenzagu hii nuru tuliyonayo si kitu cha bedha wala siyo kitu cha kutikisa na kwenda kujaribu, na wasahili wanasema sumu haijaribiwi kwa kuonja tumejionea sisi wenyewe yaliyotokea. Wapo waloathirika hata ambao walikuwa hawahusiki na hayo mambo lakini tumeenda kuangamiza...
Mtu amesoma na ana Phd lakini anaingilia suala ambalo lina mkataba kisheria.
Kama muwekezaji ameingia kima kosa basi halmashauri au waliofunga nae mkataba wauvunje kama kweli ni voidable contract.
Sasa habari ya kutaka upewwa maelezo kibabe mbele ya kamera ya nini? Wewe sio sehemu ya mkataba...
Sisi watu wa rohoni tunaona mengi mno, nadhani wataalam wenzangu wa ulimwengu wa roho mshagundua kuwa hii siyo ishara ya kawaida
Baada ya kuapishwa bunge baada ya uchaguzi kila mwezi laZima mbunge mmoja afariki kutokana na sababu mbalimbali
Mwezi December, Jenestha Mhagama RIP alipoteza maisha...
BIBI kikongwe Khadija Isihaka (84), amemwangukia Rais Samia Suluhu Hassan,akimsihi aingilie kati mgogoro wake na mwekezaji Munir Harbesh, anayelalamikiwa kuvunja mkataba wao wa kumiliki jengo la ghorofa kwa ubia.
Bibi Khadija anasema wakati akihangaika kusaka haki yake kwenye uwekezaji huo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.