Akiwa Mwanza kamanda Mbowe amesiitiza kuwa Migulu Nchemba hayuko vizuri kichwani.
Maana kama mtaalamu wa uchumi mwenye Phd huwezi kuruhusu anayetuma na anyepokea kukatwa kodi.
My take: Chadema ni chama kinachotetea wanyonge, tukipatie support.
Mwamba mwenyewe Freeman Mbowe, Mtemi Isike ama Aboubakar Mbowe kama anavyofahamika huko Zanzibar, akiongea na Waandishi wa Habari Jijini Mwanza, ametangaza kuendelea kufanyika Makongamano ya ndani na ya amani ya Katiba mpya nchi nzima, huku lile la Mwanza lililohujumiwa likipangwa kukamilishwa...
Mbowe alipotoka kumzika kaka yake aliyekufa kwa Corona alitakiwa kujiweka Lockdown kunusuru wengine badala ya kuendelea kuzurura kwenye mikusanyiko ya watu.
Corona inaonyesha imepiga kambi kwenye familia ya Mbowe sababu mwanawe Mbowe aliumwa Corona kwa mujibu wa Mbowe mwenyewe.
Baada ya hapo...
Mpigania uhuru anayetamba barani Afrika, Laingwanani, Mtemi Isike au Abubakar Mbowe ameingia Jijini Mwanza usiku mzito , ili kuokoa wafuasi wa chama chake na Maaskofu waliokamatwa kinyume cha sheria za nchi .
Hata hivyo baada ya kusikia mwamba anaingia Mwanza watuhumiwa wote 128 walioshikiliwa...
Visasi vya kisiasa mara nyingi huzaa malicious prosecution. Malicious prosecution huharibu maisha ya watu kwa kuvuruga maisha yao na hata nyadhifa zao.
Mpaka sasa inaonekana prosecution walitumika vibaya ili wamharibie maisha yake ya kisiasa Sabaya. Yote hii ni kumpa furaha mwanasiasa Mbowe...
Siku chache baada ya Jacob Zuma kujisalimisha Polisi kuanza kifungo cha miezi 15, Mahakama Kuu Nchini humo imetupilia mbali ombi lake la kuzuia kukamatwa kwake.
Licha ya kujisalimisha Polisi, Rais huyo wa zamani wa Afrika Kusini amepinga kifungo chake na Mahakama ya Kikatiba ambayo ilitoa...
Mh Freeman Mbowe amesambaza video mitandaoni ikimuonyesha akiweka wazi kabisa ugonjwa uliomuua kaka yake Charles Mbowe, kuwa ni COVID 19, huu ndio uongozi wa kupigiwa mfano, Mh Mbowe ameamua kuweka wazi jambo hili ili kuweka ushuhuda wa uwepo wa Corona nchini Tanzania.
Mbowe sasa rasmi ni...
Taarifa zilizotufikia kutoka Chadema zinaeleza kwamba Freeman Mbowe ambaye ni Mwenyekiti wa chama hicho amelazimika kukatisha kampeni za operesheni haki huko Zanzibar na kurejea Tanganyika baada ya kupokea taarifa za kifo cha Kaka yake aitwaye Charles Mbowe.
Pia soma > Mbowe awataka wananchi...
Mabilionea wengine walishaachana na siasa za rejareja wakiwemo Rostam Aziz, Mo Dewji, Yusuf Manji na Mkono na sasa amebakia " MWAMBA" Freeman Mbowe wa Chadema.
Je, Mwamba atatuvusha kwenye katiba mpya au atatuacha njiani?
Nawasalimu kwa jina la JMT.
Wakuu , Tunaomba radhi sana kutokana na usumbufu wa Taarifa zetu nyingi sana kuhusiana na Operesheni haki , mtusamehe sana , hatuna namna ya kufanya zaidi ya kuwahabarisha jambo hili muhimu.
Leo tena kampeni hii muhimu imefika unguja ambako Abubakar Mbowe anatarajiwa kuongoza vikao vya mafunzo...
Sijui. Mimi huwa napenda kuyaangalia mambo kwa upeo wa tofauti kidogo.
Mbowe ni kiongozi mkubwa tu kitaifa kwa CHADEMA. Najiuliza hiyo kuvamiwa kwake na kupigwa miguu lengo lilikuwa nini? Hospitali huwa mtu anayepigwa kwa magongo au kitu kikubwa mwilini majeraha yake yanafahamika. Kitaalamu...
Taarifa zinazosambazwa duniani kote leo hii zinaonyesha kwamba yule Mwamba wa siasa za Tanzania , Laingwanan , Mtemi Isike au Ustaadh Abubakar, Freeman Mbowe, amekubali mwaliko wa Clouds FM kwenye kipindi chao cha Traffic Jam ijumaa hii.
Kaeni tayari kwa nondo na bila shaka Operesheni haki...
Sio kila siku ni Jumamosi au sio kila zama zitabakia kuwa hivyo hivyo.
Awamu ya nne chini ya Jakaya Chadema walifanya siasa za harakati kiasi cha kumtisha Jakaya kuwa hawezi kutawala nchi.
Maandamano na operasheni zilitawala kiasi cha kumtikisa Jakaya. Pamoja na hayo kwa kiasi fulani harakati...
Freeman Mbowe ambaye yuko kwenye kampeni za operesheni haki Mikoa ya Pemba , Leo ametembelea mahali ulipohifadhiwa mwili wa Nguli wa siasa za Zanzibar , Jabali Maalim Seif.
Mh Mbowe ambaye amepewa jina jipya la ABUBAKAR na sasa anaitwa ABUBAKAR MBOWE ametumia fursa hiyo kumuombea dua njema na...
Freema Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema
Mbowe hajabainisha hoja ya kumwonesha Rais Samia kwamba kuna uharaka wa Katiba Mpya
Kazi mojawapo ya Kurasa za Mama Amon ni kutathmini siasa za kitaifa kwa kukusanya ushahidi kutoka vyanzo vya kuaminika, kuhakiki hoja za mfumo tawala na hoja za mfumo wa...
Huu ndio ule mwendelezo wa ile kampeni ya kudai Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi inayoitwa OPERESHENI HAKI , Ambayo tayari imeingia Kanda ya Pwani .
Pichani : ni Mwamba mwenyewe akiwa jimbo la Segerea
Mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe amesema chama chake hakiwezi kupokea Ruzuku inayotokana na kura za wizi.
Mbowe amesema Chadema ni chama cha watu waadilifu waliojazwa roho za uzalendo hivyo hawawezi kuwasaliti wananchi.
Nawasalimu kwa jina la JMT!
Hivi Ben hakuwa mtu wa karibu yake na msaidizi wake?
Hivi Ben hakuwa mtu muhimu kwa chama chetu?
Mbona sisikii kamanda mkuu akiuliza hatima ya huyu ndugu yetu? Kunani?