mbowe

  1. JamiiForums Tanzania Vijana wa CHADEMA mbona hamsomeki? Kulamba asali mnataka na harakati mnataka, mtapasuka msamba

    Naona mnapenda sana huku na huku. Boss wenu ameshalamba asali na ninyi mmeshalamba kwa ujumla maana yeye ndo Alfa na Omega. Sasa hizi harakati mnazotaka kufanya za nini? Au ndio mmezoea maharakati? 👇Chadema: Tutasimama na watu wa Ngorongoro Chadema: Tutasimama na watu wa Ngorongoro
  2. 5

    JamiiForums Tanzania Diaspora: Kumbe Freeman Mbowe kumsifia Rais Samia ni baada kufunguliwa Account zake za Fedha zilizokuwa zimefungwa

    Nimesikiliza haya mahojiano vizuri Diaspora wanalalamika kwamba Freeman Ekael Mbowe anamsifia mama baada ya mambo yake binafsi kushughulikiwa na Rais, ikiwemo kufunguliwa Account zake za fedha ambazo zilifungwa muda uliopita, kutoka jela pamoja na shughuli zake mbalimbali za kibiashara...
  3. JamiiForums Tanzania Meya Jackob akumbuka CCM ilivyowafadhili yeye na viongozi wa CHADEMA, akiwemo Mbowe, iliwahifadhi katika Ofisi zao wakati wa mauaji ya Akwilina

    Ni mwendelezo wa mahaba ya wanachadema kwa uungwana na urahimu wa CCM. Meya Boniphace katika ukurasa wake wa twitter ameonekana "kukunwa" na uungwana wa Wana CCM baada ya kupewa hifadhi wakati wanakimbia kipondo kikali na Cha haja kutoka kwa Polisi. Meya Boniphace Jackob na Mbowe pamoja na...
  4. JamiiForums Tanzania Mbowe tunakuamini sana sisi wana-Chadema, usituangushe

    Hivi karibuni maneno mengi Sana yameibuka hasa baada ya kuanza mazungumzo ya maridhiano na Rais wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hasani. Wapo wanaodai umelambishwa asali ya ikulu na umeridhia kupunguza au kuacha kabisa swala la Katiba Mpya. Watanzania na wanachadema si wajinga, wanakipenda Chama...
  5. JamiiForums Tanzania VIDEO : Mbowe na Mwijaku wakiwa katika uchawa

    Bora limekufa lile lienda kuzimu 😂😂😅😆
  6. JamiiForums Tanzania Kauli ya Mbowe baada ya kulamba asali imewachanganya wengi. Vijana wa CHADEMA ni walaini mithili ya bamia. Hii hatari👇

    Hivi asali wanazolamba zina nini?
  7. JamiiForums Tanzania Mbowe akiri kuukubali "mziki" wa Rais Samia, agomea wana-Chadema kuingia barabarani, asema ni mihemko

    Sasa ni dhahiri, wale wanachadema na wanaharakati kama,Lema Martin Maranja Masese, Maria Sarungi wanaotegemea Siasa za mitafaruku na vurugu ili kujipatia mkate wa Kila siku, siku zao zinahesabika, na watafute kazi nyingine. Wale waliokuwa wanatishia kuingia barabarani, haitawezekana tena. Mbowe...
  8. JamiiForums Tanzania Mbowe: Vijana wa chama changu wana mihemko, Hivi mnajua maana ya kuingia barabarani?

    Kamanda Mbowe amekuwa na hulka tofauti sana tangu aanze safari za ikulu. Anawapa makavu vijana wanaojifanya wana uchungu na chama chake. Je, nini kimembadilisha? Ni muda ndio utasema.
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini Mbowe havai T-Shirts za Katiba Mpya?

    Wanaukumbi. Vijana wa Ufipa jiulizeni mbona mwenyekiti wenu hajavaa T-Shirt za Katiba Mpya? Hapo angefikisha Ujumbe vizuri kwa Mlengwa? Anakenua tu… Juzi nilishangaa sana kuona vijana wa Bavicha wanalazimisha kuingia uwanjani na T-Shirts zao za Katiba Mpya hawafahamu kama Fifa wa wamepiga...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Shaka awanyosha CHADEMA Kusini Maelfu ya Kadi, Bendera na nguo akabidhiwa kumrudisha Mbowe

    Ziara ya Katibu wa siasa na Uenezi CCM ndugu Shaka Hamdu Shaka amekabidhiwa vifaa mbalimbali vya CHADEMA zikiwemo Kadi, flana, kofia pamoja na bendera sababu kubwa ikiwa wananchi wa kuseni wamemuelewa Mhe. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kuwatumikia wananchi...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Musukuma: Leo Mbowe ndio anaongoza kwenda Ikulu, najua alipamiss sana. Amuimbia Samia Bungeni

    Musukuma: Kwa uongozi wa mama Samia, sio wanawake tu wanaoufurahia, hata sisi wanaume tunamfurahia sana hata vyama vya upinzani. Hebu angalia, leo Mbowe ndio anaongoza kwenda Ikulu, najua alipamiss sana lakini amepata nafasi ya kuingia na kutoka zaidi ya mara tano, hongera sana mama Samia...
  12. JamiiForums Tanzania Mbowe akizungumza kuhusu Mdee na wenzake kwenye kikao cha Baraza Kuu

    Kama ni kweli anayoyasema Mh. Freeman A. Mbowe kwenye video hii wakati wa kikao cha Baraza Kuu kuhusu Halima Mdee na wenzake maarufu kama COVID-19 ni kweli, basi huyu mtu IS REALLY A TRUE and A GOOD LEADER of this millenium in Tanzania..!! Mimi kwa 99% naweza kuamini kuwa ni kweli maana hata...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Mara ghafla Mbowe, Mnyika, Lissu na Heche wasimamishwa uongozi Chadema, msajili aridhia

    Hii ni mbinu wanayoitumia CCM kwa vyama vya upinzani hivi sasa, wakiona chama cha upinzani kinawaletea 'ukaidi' Waliitumia kwa Maalim na CUF kipindi kile baada ya Maalim kugomea uchaguzi kipindi kile, wameitumia kwa Mbatia baada ya Mbatia kupingana sana na Samia kwenye mambo mengi ikiwamo...
  14. JamiiForums Tanzania Nampongeza Mbowe pamoja na viongozi wakuu wa CHADEMA

    Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi. Ninaandika nikiwa na furaha kubwa sana kuhusu vikao vinavyoendelea kati ya Mama Samia na viongozi wa Chama Cha Mbowe. Kama mnavyokumbuka kabla ya Mama kukutana na viongozi wa CHADEMA tayari alishafanya vikao viwili na mwenye chama Mh Mbowe. Vile...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Chadema chama kubwa. Mpk maafisa wa ikulu wana-"mix" wakimuona Mbowe.

  16. JamiiForums Tanzania Tunaobeza harakati za Mbowe na wenzake

    Natumai hatujambo sote wanajamvi!! Kwa wale ambao Mola Mlezi amewakadiria mitihani ya maradhi, kuondokewa na vipenzi vyao au kupungukiwa na mali BASI tunamwomba Mola Mlezi awape faraja baada ya mitihani wanayopitia!! Aidha, tunamwomba Mola Mlezi awape subira na stahimili Kwani MITIHANI ina...
  17. JamiiForums Tanzania Tizama Mbowe anavyofurahia safari za Ikulu. Haonekani kuwa Serious Ndo Maana hata Mazungumzo ya huko yanakosa Tija

    Kila picha yeye utamwona anatabasamu flani hivi la.... Sisi watoto wa Mjini tunaelewa. Kuwa kwake mambo fresh... Wenzie wote huwa wanaonesha wapo serious. Yeye anapataje nafasi ya kutabasamu nchi yenyewe ishakuwa ngumu hii? Anachochekelea ni nini hasa? Yaani hata Samia anamshinda amechora uso...
  18. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe, Mnyika na Viongozi CHADEMA wakutana na Rais Samia na Viongozi wa CCM Ikulu ya Chamwino - Dodoma leo 20/5/2022

    Wakuu, Muda huu M/Kiti wa CHADEMA na viongozi waandamizi 9 wa chama hicho wapo Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma. Tutarajie jambo gani jipya? Ndo ukurasa mpya wa Siasa za Tanzania? UPDATE: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameongoza Kikao cha majadiliano pamoja...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe angekuwa makini angejikita zaidi kwenye kuwaendeleza na kuwapatia elimu ya siasa na uraia wanachama wake vyuoni

    Siasa ya karne hii inahitaji elimu ili uweze kupambanua mambo na kuwa na hoja za msingi. Vijana wa CHADEMA wengi elimu yao ni duni sana na ni watu wa kulalama kwa mkumbo tu bila kutumia akili sababu elimu ni hakuna. Spika amezingatia misingi ya katiba maana hawezi kuenda kinyume na katiba...
  20. JamiiForums Tanzania Ukweli usemwe, kuna kila dalili Mbowe anaisaliti CHADEMA

    Mikutano ya ikulu kimya kimya akienda peke yake. Ishu ya wabunge wa covid 19 alivyokuwa anawatafuta kimya kimya Kufanya negotiation wakati walishafukuzwa mpakaa kutaka kumuonga kazi Halima Mdee. Namna alivyokuwa anawafunga mdomo vijana wa Chadema wasipambane na CCM & Act kwenye hotuba yake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…