mbowe

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe ni Profesa wa Siasa

    Habari wanajukwaa, sitaki kuandika sana. Nimeangalia kongamano la BAWACHA ambalo Mgeni Rasmi alikuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan. Mbowe ameeleza mazito magumu waliyopitia, lakini amesamehe. Ila karata aliyoicheza inatosha kumuita Profesa wa Siasa.
  2. JamiiForums Tanzania Mbowe: Kilichofanyika kwa kina Mdee ni Uhuni. Rais wasitishie mishahara

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema kilichofanyika kwa wabunge 19 waliopelekwa bungeni bila idhini ya chama ilikuwa ni uhuni, na ni kuvunja Katiba. Amesema wabunge hao walikuwa ni viongozi wao, hata hivyo mchakato wa kuwapeleka bungeni haukuwa mchakato wenye baraka za chama. Wale...
  3. JamiiForums Tanzania Mbowe aitaka CCM iweke mfumo wa kudhibiti viongozi wanaoweza kuingia Serikalini, atao mfano ANC inavyoweza kumng'oa Rais

    Mbowe akitolea mfano chama cha ANC kinaweza kumng'oa kiongozi hata kama tayari yuko Ikulu, ameitaka CCM pia iwe na mfumo huo akilalamikia tabu ambazo wapinzani wamepitishwa miaka michache iliyopita na kuitaka CCM badala kuwalinda hata wanaofanya dhambi ya wazi. Mbowe amesema ameamua kufunguka...
  4. JamiiForums Tanzania Tuk tuk trut tuuu tuuu paaa!

    😅 Kama upo vile! Yaani mtaani unakatiza, unasikia 'fyiii fyiiii fyiiiii' miluzi kibao, ukitazama nini kinaendelea, unaona mdada, kapiga baibui, ushungi na anaondoka na mikogo balaaa.....huku Ukisikia tuk tuk tru tru tuu tuuu tuu paaa! 🛵🔫yaani mlio ya bajaji na vibodaboda vilivyokosa ka...
  5. JamiiForums Tanzania Haya anayofanya Freeman Mbowe ni unafiki mkubwa kuwahi kutokea. Angefanya Zitto Kabwe wa ACT moto ungewaka

    Kwakweli nimechoka na siasa za bongo. Miezi michache iliyopita Zitto Kabwe alikuwa anashambuliwa Kila Kona kwa sababu ya ruzuku. Wakamwita msaliti na matusi chungu nzima. Leo Chadema chini ya Freeman Mbowe wamechukua ruzuku na wamekausha kimyaaa. Unafiki! Miezi michache iliyopita...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Rais wapunguzie kina Mbowe asali, wamepagawa

    Mheshimiwa Rais, Shikamoo. Pole na hongera kwa majukumu mazito ya kujenga Taifa. Nakuandikia andiko hili kukuomba kwa heshima na taadhima kubwa kwamba , Mheshimiwa. Tafadhali, Tafadhali sana. Sana sana. Wapunguzie akina Mbowe na genge lake asali. Inawalevya, Wanapagawa na wanafanya mambo mpaka...
  7. JamiiForums Tanzania Mbowe kuhusu kumpokea Dkt. Slaa: Walioondoka kwa kukidhalilisha chama watafute uungwana wakati wa kurudi

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ametoa kauli kuhusu taarifa za aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa chama hicho, Willibrod Peter Slaa kudaiwa kuwa mbioni kurejea kwenye chama hicho: “Chama chetu ni cha kidigitali yeyote anaweza kujiunga au kutoka lakini chama cha siasa ni chombo cha watu na sio...
  8. JamiiForums Tanzania Siku Freeman Mbowe alipotumia ofisi za CCM kuwakwepa polisi

    Nitakuwa naleta mfululizo wa story za madhila ambazo viongozi wa upinzani walikuwa wanapitia enzi za Awamu ya 5. Story hizi zinasimuliwa na aliyekuwa Meya wa Ubungo kwa tiketi ya CHADEMA, Boniface Jacob. Je, wajua katika maandamano ya CHADEMA kutoka Mwananyamala kwenda kwa Mkurugenzi wa...
  9. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe elimu nzuri sio kuzungumza Kiingereza

    Mikutano imeruhusiwa na Mama lakini mchague kwa makini nini mtakwenda kuwaambia wananchi kwenye majukwaa ya kisiasa. Mbowe aliwaambia wananchi wanaomsikiliza kuwa Watanzania hawawezi kwenda kutafuta kazi nchi za nje zikiwemo Ulaya na Marekani kwakuwa hawajui kuongea Kiingereza kama ushahidi wa...
  10. JamiiForums Tanzania Mbowe warudishe Halima na wenzake kundini kwanza

    Mgogoro wa CHADEMA na akina Halima ulipangwa kama mkakati wa kujiua chama cha chadema. Chadema msikubali kunaswa na mtego huo. Warudisheni kundini makamanda wetu akina Halima na wenzake. Hii itaifanya CCM itetemeke na CHADEMA iheshimiwe kimataifa. Kama CCM imewarudisha kundini Lowasa, Sumaye...
  11. O

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Ilikuwa miaka saba ya maumivu

    Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema miaka saba iliyopita ilikuwa ya bonde la maumivu makali kwa wananchi wote. Alitaja maumivu hayo akihusisha wale waliofungwa magerezani na watumishi waliofukuzwa kwa kigezo cha vyeti feki. Mbowe aliyasema hayo jana mkoani Njombe alipokuwa akiwahutubia...
  12. JamiiForums Tanzania Mbowe: Awamu ya Magufuli watu waliporwa mali na fedha

    Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema miaka saba iliyopita ilikuwa ya bonde la maumivu makali kwa wananchi wote. Alitaja maumivu hayo akihusisha wale waliofungwa magerezani na watumishi waliofukuzwa kwa kigezo cha vyeti feki. Mbowe aliyasema hayo jana mkoani Njombe alipokuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Mbowe ni muongo, wapi kilo ya parachichi huuzwa kwa Tshs 20,000?

    WanaJf, Salaam! Amenukuliwa akisema hivi “Kilo moja ya parachichi inakwenda kuuzwa Dola 8, karibu 20,000 hapa mnauza kilo moja Tsh 800. Maandiko Matakatifu yanasema watu wa MUNGU wanateseka kwa kukosa maarifa" - Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa @chadematzofficial taifa. Mbowe Freeman ninafahamu...
  14. JamiiForums Tanzania Sumbawanga: Madereva Bajaj waandamana kisa CHADEMA kushindwa kuwalipa baada ya kukodishwa kumpokea Freeman Mbowe

    Madereva Bajaj wilayani Sumbawanga mkoani Rukwa wameandama hadi kwenye ofisi za Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA aitwaye Cedrick Malila almaarufu IKUWO WAKIDAI MALIPO YAO waliyoahidiwa wakati wamekodishwa kwenda kumpokea Mwenyekiti cha CHADEMA Freeman Mbowe huko Katumba...
  15. JamiiForums Tanzania Msafara mrefu wa magari ziara za Mbowe ni kufuru, Chama kifanye mapitio

    Msafara wa Mbowe haupungui gari ishirini za nguvu. Tunatarajia chama chetu kiwe mfano wa kubana matumizi, lakini hali halisi ni tofauti. Sasa tukiingia madarakani itakuwaje? Sitashangaa tutakuwa na msafara wa gari hamsini au zaidi, wananchi wataendelea kuumia.
  16. JamiiForums Tanzania Mbowe anavyozidi kumshukuru Rais Samia tunajifunza nini?

    Sote tunakumbuka katika mkutano wa kwanza wa tangu kuruhusiwa tena kwa mikutano ya kisiasa nchini, Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Aikaeli Mbowe, alitumia muda mrefu sana kumshukuru na kumuongelea Rais Samia Suluhu Hassam, maswali yalikuwa mengi miongoni mwa wana-CHADEMA na Watanzania...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Ukitazama Mkuta wa PM majaliwa Wiki iliyopita na Wa jana wa Mbowe Tunduma utadhani Chadema ni Chama tawala

    Sijui nini kinaendelea na nini kimewafanya Watanzania waichoke CCM chama tawala. Ukitazama mikutano miwili moja ya Waziri Mkuu Majaliwa wa wiki iliyopita uliofanyika Mjini Tunduma na ule wa jana wa Chadema chini ya Kamanda Mbowe unaweza kuamini kuwa Chadema ndio Chama tawala mioyoni mwa watu...
  18. JamiiForums Tanzania Mbowe na Askofu Bagonza kuongoza mapokezi ya Lema KIA

    Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe anatarajia kuongoza mapokezi na mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho Godbless Lema, Machi Mosi mwaka huu, katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) akiwa na viongozi kadhaa wa dini. Lema aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini kuanzia mwaka 2010 hadi...
  19. JamiiForums Tanzania Mbowe kuzindua Mikutano ya Hadhara Kanda ya Nyasa

    Mwenyekiti Chadema, Freeman Mbowe anatarajiwa kuzindua rasmi kanda ya Nyasa Februari 23 wilayani Sumbawanga Mkoa wa Rukwa na kisha kufungua mkutano wa hadhara mkoani Iringa Februari 28 mwaka huu. Hayo yameelezwa Jumanne Februari 21, 2023 na Mwenyekiti wa Chadema wa mkoa huo, William Mungai...
  20. JamiiForums Tanzania MBOWE na ZITTO kwanini wameamua kuziacha hoja za wananchi mikutano ya hadhara

    MBOWE NA ZITTO KWANINI WAMEAMUA KUZIACHA HOJA ZA WANANCHI MIKUTANO YA HADHARA Nimefuatilia mikutano ya hadhara ya Chadema na ACT Wazalendo sijawasikia Mbowe wala Zitto wakizungumzia au wakipaza sauti zao juu ya mambo makubwa yanayolalamikiwa na wananchi. Mfano suala ulinzi wa rasilimali za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…