mbowe

  1. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe atinga mahakamani shauri la watatu waliotekwa

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema, Freeman Mbowe, leo Agosti 28, 2024 amefika Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam ili kusikiliza shauri linalowakabili viongozi wawili wa Baraza la Umoja wa Vijana Chadema (Bavicha) Wilaya ya Temeke na dereva wa pikipiki wanaodaiwa kushilikiwa...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tume ya Haki Jinai yakutana na Viongozi wa Chadema Makao Makuu Mikocheni

    Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora ikiongozwa na Kamishna Nyanda Josiah Shuli leo Agosti 27, 2024 wamekutana na Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe na Katibu Mkuu wa Chama John Mnyika Makao Makuu ya Chadema yaliyopo Mikocheni, Dar Es salaam. Agenda kuu ya mazungumzo ikiwa tukio la...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia, mpe Uwaziri Freeman Mbowe wa CHADEMA!

    Kuna philosophy nyingi sana za mtu na madaraka. Wengine wanasema ukitaka kumjua mtu na uwezo wake, mpe madaraka. Wengine wanasema ukitaka kummaliza mtu mpe pesa na madaraka. Sasa wenzetu, wananchi wenzetu toka chama pinzani, wamekuwa wakililia keki muda mrefu, napendekeza Mbowe apewe uwaziri...
  4. Q

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Mbowe kuhusu Utekaji na Maasai wa Ngorongoro yazaa matunda

    Tarehe 22/8/2024 CHADEMA kilifanya mkutano na vyombo vya Habari uliohutubiwa na Mwenyekiti wa chama hicho FAM. Mbowe aligusia maeneo makuu mawili. Mosi, Utekaji, pili, Maasai wa Ngorongoro. Baada ya mkutano huo yafuatayo yameanza kujitokeza na kutekelezwa; 1. Baada tu ya hotuba hiyo kesho yake...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kwa hili namuunga mkono Mheshimiwa Mbowe.

    Ni kuhusu swala la Polisi wetu kukamata watu kihuni. Mara nyingi tume shuhudia Polisi wakikamata watu kihuni, hapa sizumgumzii mambo ya utekaji nyala, isipokuwa ule ukamataji wa kawaida labda mtu anahisiwa kuwa mwizi na makosa mengine. Polisi wa nakuja na gari lina namba ya nchi za nje hasa...
  6. R

    JamiiForums Tanzania JF ods kama mna link ya press ya Mbowe inayoendela tuwekee hapa

    Litakuwa jambo la mbolea mkifanya hivyo na you will win credt for that!
  7. JamiiForums Tanzania Napendezwa sana na utulivu alionao Freeman Mbowe

    Nampongeza sana kiongozi wa CHADEMA Freeman Mbowe kuonesha ukomavu wa kisiasa kuhimili misukosuko kila inapojitokeza amekuwa na utulivu sana mwenye hekima hasa kunapotokea chama kinapitia hali ngumu. Wapo viongozi walihama lakini chama kilizidi kuimarika zaidi hata sasa nimejifunza zaidi...
  8. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbona Msigwa hana jipya huko CCM? Inaonekana amehama na furushi la dosari za Mbowe tu

    Nilitegemea Msigwa ajikite ktk kueneza na kutangaza mawazo mapya (ya akili kubwa) ili kuondoa mapungufu ya kiuongozi, kisheria na kisera ndani ya serikali inayoongozwa na ccm. Lkn badala yake tangu ahamie ccm amekuwa akimlaumu Mbowe kila apatapo nafasi ya kuongea kwenye majukwaa. Manufaa ya...
  9. JamiiForums Tanzania Mbowe aligombeaje urais mwaka 2005 kama hana degree?

    Kigezo kimojawapo cha kugombea urais Tanzania ni mgombea kuwa na angalau kiwango cha elimu cha degree moja, pia huwa kuna rumours mtaana kwamba Freeman Mbowe aliishia kidato cha sita tu, sasa kama ni kweli Mbowe aliwezaje kupitishwa na tume ya uchaguzi kugombea Urais mwaka 2005?? Wanasiasa...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM inajua kuwa kumshambulia Mbowe ni kuendelea kumwongezea umaarufu?

    Ni wazi kuwa mpinzani mkuu wa CCM ni CHADEMA! Ndiyo maana hata sisi tusio na vyama vya Kisiasa si shida kutambua kuwa kati ya wanasiasa wanaoipa tabu CCM ni Mbowe na Lissu! Kwa miaka nenda Rudi, kwa mfano, CCM imekuwa ikimzodoa Mbowe kuwa kakaa muda mrefu madarakani. Lakini kama kukaa...
  11. JamiiForums Tanzania Mbowe: Kenya Wananchi ndio waliochukua Hatua siyo Vyama vya Siasa, kutupiga siyo suluhisho

    “Huu uliofanyika ni ukandamizaji ambao sio wa kawaida na wala usionekane ni tukio dogo, sisi kama Chama tunachukua jambo hili kwa uzito mkubwa sana na tunaamini jambo hili ni mkakati wa makusudi uliotengenezwa na Serikali, Vyombo vya vya Ulinzi na Usalama likiwemo Jeshi la Polisi, CHADEMA...
  12. JamiiForums Tanzania Leo ni siku ya Chadema kulilia wakiongozwa na Mbowe wao

    Ndivyo unaweza kusema kuwa sasa Chadema wageuka vibweka wa kudeka na kuropoka uongo acha tuwasikilize. Nchi hii Ina wenyewe mtake mistake CCM ndio baba la baba na CCM ndio mama la mama. Mtasubiri sana Awadhi Jua la Asubuhi Hana mzaha. Chief Wadiz
  13. L

    JamiiForums Tanzania Nimeona tu kwamba Mbowe na wenzake wameachiwa Lissu vipi?

    Tangu asubuhi nafuatilia sioni jina la Lissu kuachiwa nijuzeni wenye habari vipi yuko huru? Poleni kama nawasumbua maana niliona taarifa inasema kwamba wengine wameachiwa isipokuwa wenye jinai. PIA SOMA - Kuelekea 2025 - Mbeya: Polisi yawaachia Viongozi na Wanachama wa CHADEMA kwa dhamana...
  14. JamiiForums Tanzania Mbowe anastahili lawama asilimia 100 % Kwa kinachoendelea kwa demokrasia ya Tanzania na vyama pinzani

    Binafsi nilikua nawaangalia tu mlipoitwa kujadili maridhiano ambayo hamkuelezwa mmekosewa wapi. Mkajibeba mzobe mzobe na rais akaja na mziki wake mpya akawaomba muingie kucheza. Bila aibu mkausaliti umma wa watanzania uliokua nyuma yenu na kupiga kelele kwenye mitandao ya kijamii kuomba haki...
  15. JamiiForums Tanzania Mbowe hebu tupe jibu, lini ulifanya maandamano ya CHADEMA Moshi mjini?

    Mzee Freeman Mbowe salaam! Nataka unipe mrejesho tu, ni lininuliitisha maandamano ya kitaifa ya CHADEMA Moshi mjini? Pia soma: Kilimanjaro: Yanayojiri kwenye Maandamano ya Amani yanayoongozwa na Freeman Mbowe
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kuna kila dalili uchaguzi mkuu 2025 Upinzani ukikazana unachukua, je Mwenyekiti Mbowe ataruhusu hili?

    2025 , kuna dalili nyingi sana ambazo zinaonesha kuna uwezekano wa Upinzani kuchukua dola . Kuna dalili 2025 kuna wana CCM kindaki ndaki wataihujumu CCM Kuna dalili 2025 vyombo vya dola vikawa upande wa wananchi Kuna dalili Asilimia kubwa ya wapiga kura wakawa vijana Lakini sio siri CHADEMA...
  17. JamiiForums Tanzania Je, maridhiano ya Mbowe na Ikulu ndo yanaitesa CHADEMA na upinzani kwa ujumla?

    Maridhiano ya Mbowe na Ikulu yana jambo ambalo wengi ulibeza Ila yamesaidia sana CCM kutawala kwa ujanja tena bila kufuata sheria na taratibu kadhaa Kama Katiba inavyotamka! Na kuna swali “Je kutolewa mbowe Gerezani wakati ushindi wa Kesi ulikuwa unaelekea kuwa kwa upande wake waka m time...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Freeman Mbowe atoa tamko. Alaani kukamatwa kwa viongozi na vijana wa CHADEMA

    "Tunalaani vikali Jeshi la Polisi kukamata Viongozi wetu Wakuu wa Chama ikiwemo Viongozi wa Baraza la Vijana wa Chadema, BAVICHA. Aidha, tunalaani mkakati wa Msajili wa Vyama vya Siasa kwa kushirikiana na Polisi kuzuia kongamano la Bavicha katika kuazimisha siku ya vijana duniani hapo kesho...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwanini Jeshi la polisi liruhusu kongamano la vijana Duniani kwa Vijana wa CCM na ACT Wazalendo na kuzuia la Vijana wa CHADEMA?

    Angalia huu mlolongo wa Siku ya Vijana Duniani, Halafu Toa maoni yako Haya hapa ni Maadhimisho ya siku ya Vijana Duniani kwa UVCCM kwenye Uwanja wa Amani, lilihutubiwa na Makamu Mwenyekiti wa ccm Hussein Mwinyi Hawa hapa nao ni Vijana wa ACT WAZALENDO wakiwa Chakechake Pemba Mgeni Rasmi...
  20. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Peter Msigwa, ona aibu kidogo angalau, umemsakama Mbowe lakini hajakujibu

    Wenya akili wanakuona mpuuzi, mshenzi na uncouth! Umemsema Mbowe huu sasa ni mwezi wa pili, amekuignore. Ona aibu . Jitafakari kidogo! CCM wenzako wanakudharau ujue! Heshima uliyokuwa nayo si ya kubeba masananu ya watu! Tena watu uliokuwa ukiwananga miaka zaidi ya 10 starting with her...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…