mbowe

  1. T

    Ni kwanini baada ya miaka 20 bado CHADEMA wengi wanaona Mbowe hana mbadala?

    Kipindi cha miaka 20 ni kipindi kirefu sana kwa kwa maisha ya binadamu yaani mtoto akizaliwa kufikia kipindi hicho wengine huwa wanajitegemea kabisa. Jambo hili humaanisha kwamba tuna kizazi kingine chenye mtazamo mpya kabisa wa kifikra. Sasa kwa chadema inaonekana hali ni tofauti kabisa...
  2. Kipenzi Changu

    Nasikitika kumuona Freeman Mbowe akielekea walipo Prof.Lipumba na Cheyo

    Kumbuka heshima aliyokuwa nayo Prof.Lipumba kipindi hicho CUF kikiwa Chama kikuu cha upinzani. Tazama heshima ya John Cheyo kipindi hicho akiwa ni moja ya wabunge wa upinzani wakihoji serikali. Baadae akaja Mbowe. Akajijengea heshima kubwa. Mimi na wenzangu tulikuwa tunapuuza kumsikiliza Rais...
  3. chiembe

    Kama viongozi wa mikoa yote wa chama cha chadema wamehudhuria mkutano wa Mbowe, na Lissu anazurura peke yake, uchaguzi umekwisha!

    Nimeona viongozi wote wa mikoa wa chama cha demokrasia na maendeleo wamepiga kambi kwa Mbowe wakijiapiza kumuunga mkono, naona Mbowe kafunga hesabu, uchaguzi umekwisha. Lissu anazurura peke yake tu na makaratasi mkononi
  4. Mindyou

    PreGE2025 Freeman Mbowe: Tangu jana nimehifadhiwa ndani kama mwali. Wanaodhani mimi nimepanga mkusanyiko huu sio kweli

    Wakuu, Naona kuna nyuzi humu zilikuwa zinasema kuwa Mbowe ndio amepanga hili tukio la wanachama kumlazimisha kugombea Uenyekiti, leo Mbowe ameamua kuwajibu. Mbowe amesema kuwa hayo maturubai na viti mnavyoviona ni wanachama wake ndio wameandaa na kwamba yeye aliambiwa akae ndani
  5. Mganguzi

    Mbowe kakodi muziki ,kafunga matenti ,kajaza viti nyumbani ili wanachadema wakamuombe kugombea Tena ! Anafikirisha sana

    Mtu anayeenda kulazimishwa anaandaje mazingira ya kwenda kulazimishwa? Anakodisha muziki kabisa na kujaza viti nyumbani kwake ili watu waende kumuomba agombee kweli tumekuwa watoto kiasi hicho ?
  6. L

    Mbowe Aendelee Kung'ang'aniwa Agombee Uenyekiti.BAWACHA Kumchangia Pesa Yote ya Kuchukulia Fomu.

    Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa Mbowe Mwamba Mwenyewe na jabali la siasa za Upinzani katika ukanda huu wa Afrika mashariki aliyejitoa kwa jasho na Damu kuijenga na kuiimarisha CHADEMA mpaka ilipofikia leo hii Ameendelea kung'ang'aniwa na wana CHADEMA ili aweze kugombea nafasi ya uenyekiti wa...
  7. S

    Hela ya Mama Abdul bila shaka inaendelea kufanya kazi, ni swala la muda tu kabla Lissu hajamlipua Mbowe

    Kwa mtazamo wangu, aliyokuwa anayasema Lissu sasa tunaanza. kuyaona wazi wazi na hivyo ni swala la muda tu kabla Lissu hamjamuumbua Mbowe.
  8. E

    Katika siasa, hekima za Freeman Mbowe kama Mwalimu Nyerere

    Ikumbukwe mwaka 1985, Mwalimu Julius Nyerere aling'atuka madarakani huku bado wananchi wengi wakipenda aendelee kuongoza. Hali hiyo ilijiri wakati nchi ilipokuwa ikikumbwa na changamoto kubwa za kiuchumi kufuatia masharti magumu ya mashirika ya fedha ya Kimataifa (WB na IMF), na miaka michache...
  9. Waufukweni

    PreGE2025 Makada Chadema wajitosa kumshawishi Mbowe atetee uenyekiti

    Baadhi ya makada na viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutoka mikoa mbalimbali, ikiwamo Dar es Salaam wamejipanga leo Desemba 18, 2024 kwenda nyumbani kwa Mwenyekiti wa Taifa wa chama hicho, Freeman Mbowe, Mikocheni kumuomba agombee tena nafasi hiyo. Hadi sasa Mbowe...
  10. Sodoku

    Asilimia kubwa ya WanaCCM wanataka Mbowe abaki Mwenyekiti CHADEMA. Hawamtaki Lissu

    Kwa kweli nimefarijika sana. Mbowe anapendwa sana. Anapendwa hadi na wana CCM. Akina Mshamba na tilalila wanampigia upatu Mbowe abaki Mwenyekiti. Hawamtaki Lissu. Hii inaonesha udugu ambao umeanza wa CCM na CDM kwa namna ambayo ni nzuri kabisa. Yaani ukute siku Simba wanataka Kocha wa Yanga...
  11. S

    PreGE2025 Kama Mbowe atachukua fomu kugombea uenyekiti, ni bora kuanzisha chama kipya cha siasa. Watanzania wanataka mabadiliko lakini CHADEMA ni tatizo

    1. Mbowe alizingua kwa Zitto. 2. Mbowe alizingua kwa Dr. Slaa. 3. Mbowe alizingua kwenye maridhiano. Kote huko alifanikiwa kuwapiga sound watanzania wakaingia king. Sasa;- 4. Akizingua kwa Lisu, imekula kwake. Kwasababu, watanzania wameamka na watamstukia akidanganya tena. You cannot lie...
  12. L

    Mbowe alijua Lissu hana uwezo wa kuwa Rais wa Nchi hii, ndiyo Maana hakuzunguka kumnadi kama alivyomnadi Hayati Lowassa 2015

    Ndugu zangu Watanzania, Mwaka 2020 Lissu kwa kujazwa upepo na wafuasi wake kiduchu na wale waishio nje ya Nchi na kwa kudanganywa na waliokuwa wamempa makazi huko ulaya akajiona kuwa ana uwezo wa kuwa RAIS wa Tanzania na kuchaguliwa kwa kura za kumpa ushindi. Lakini Watu aina ya Mbowe Mwamba...
  13. sonofobia

    Mjue Benson Kigaila - kijana mtiifu wa Mbowe

    Anaitwa Benson Kigaila. Cheo chake Naibu Katibu Mkuu Bara - CHADEMA. Hajawai kuchaguliwa wala kupigiwa kura ila ameongoza miaka mingi CHADEMA. Mke wake yupo bungeni ni mmoja wa wale COVID-19. Ameshasema yeye sio muumini wa ukomo wa uongozi ikiwezekana hata Rais wa nchi asiwekewe ukomo wa...
  14. dubu

    Dudley Mbowe, Mtoto wa Freeman Mbowe akalia kuti kavu, dhuruma yamuweka pabaya

    MAHAKAMA Kuu Divisheni ya Kazi, Januari 6, 2025 inatarajia kuanza kusikiliza maombi ya waandishi wa habari Maregesi Paul na wenzake 9 wanaotaka Mkurugenzi wa Gazeti la Tanzania Daima, Dudley Mbowe aamuliwe kwenda gerezani kama mfungwa wa madai kwa kushindwa kulipa malimbikizo ya misharaha yao...
  15. M

    Utetezi wa Mbowe kwa Wanachadema

    Ni suala la muda tu kabla ya Mzee Mbowe kuchukua form ili atetee nafasi yake ya uwenyekiti ambayo alibadilisha katiba ili awe mwenyekiti wa kudumu. Tutegemee yafuatayo toka kwa huyu Mzee: 1: Nilinyanganywa mali zangu na kufilisiwa 2: Nimewekwa mahabusu kwa ajili ya hiki chama, 3: Nimepigwa...
  16. D

    Kumbe anamuogopa Mbowe balaa!

    Nilivyosikia tu, 'wanataka kunidhuru halafu wamsingizie Mhe. Mbowe....'; nikajua kazi hakuna......amekwisha. Aisee kumbe huyu Mbowe ni bonge la Mafia aisee, ukiacha zitto, wengine wote wanamgwaya!! Shikamoo mbowe
  17. Gabeji

    Mbowe ni muhimu ukajitokeza hadharani,na useme kuwa hautagombea, bila hivyo madudu mengi yatawekwa peupe

    Ni muhimu sana Mbowe atoke hadharani na aseme hata gombea vinginevyo mambo yatakuwa mengi mno ,madudu yote watanzania tutayajua, unavyozidi kuchelewa ndio siri nyingi za chadema tutazijua chini ya uongozi wako. Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
  18. S

    Tundu Lissu nisikilize, upepo wa kisiasa uko kwako 100% lakini mkakati wa kuibiwa kura umeshaanza kusukwa, jiandae

    Mimi sio mwanachama wa Chadema na sifurahii siasa zao za kutukana tukana viongozi hivyo hasa vijana wao wanavyofanya harakati za kijinga mitandaoni jambo linalosababisha wawaudhi viongozi wa serikali na ndio maana wanakamatwa kamatwa hivyo lakini najaribu kulinganisha sifa za uongozi kati ya...
  19. Kipenzi Changu

    Muhimu sana: Tujikumbushe Ahadi ya Freeman Mbowe kung'atuka 2023

    My Take. Ni vizuri Mbowe akatekeleza hivi ahadi yake, otherwise atuambie kama haitekeleziki na kwa nini?
  20. chiembe

    PreGE2025 Kwanini Mbowe atashinda kwa kishindo? Angalia namna kanda zilivyojipanga, na Mbowe ana nguvu wapi dhidi ya Lissu

    Kanda ya Pwani-Boniphace Jackob atasimamia shughuli ya kumshona Lissu bila ganzi. Kanda ya Nyasa-Sugu, the bilionea, atamng'oa Lissu jino bila ganzi. Kwa kujipanga na wajumbe wake. Kaskazini? Huko wala haina haja ya kuuliza, kitapita kimbunga ambacho dunia haijawahi ona. Kanda ya ziwa? Wenje...
Back
Top Bottom