mbowe

  1. F

    JamiiForums Tanzania Mbowe usihangaike na Dr. Slaa huko lupango mwache ahangaike na hali yake mwenyewe

    Dr. Slaa amekuwa mropokaji kama Lissu na pia hana shukrani yoyote kwa Mbowe na CHAMA. Mheshimiwa Mbowe usipoteze muda na fedha zako kwa hawa watu tena waache wajipambanie wenyewe. Umekuwa muungwana mno kwao sasa wanakuona mjinga. Waache wapambane na hali zao!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hapa Mbowe Lissu umemuweza sana

    Mbowe kasema uchaguzi utakuwa live TV zote za duniani zinazotaka kuja zitaingia ukumbi wa uchaguzi 1. Wajumbe kuhakikiwa live 2. Kura kupigwa live 3. Matokeo kuhesabiwa live 4. Mshindi kutangazwa live 5. Mshindi kuhutubia live 6. Mshindwa kuhutubia live Haya yote watashudia wanachama wa chadema...
  3. M

    JamiiForums Tanzania UCHAGUZI CHADEMA: Mahojiano ya Mbowe leo Clouds yamesitisha moja kwa moja Mdahalo wa Lissu na Mbowe

    Mbowe leo kadhihirisha ni Mwanasiasa Genius,smart,broad,wise,mtulivu na Mvumilivu sana.Nimeangalia Interview nzima ni as if alikuwa anaprove ni kwa kiasi Gani Level yake ya kisiasa ni ya juu sana kucompare na Lissu. Utumiaji wa Vifungu vya Katiba katika Uongeaji wake ni kama alikuwa anaonyesha...
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Lissu anaongoza kikao muda huu, Mbowe is real democratic!

    Mbowe akiwa Clouds fm leo amesema kuna kikao cha kamati kuu CDM kinachoongozwa na makamu m/kiti Tundu Lissu muda huu pale makao makuu CDM, Mbowe ni mwanademokrasia sana sana, anaheshimu katiba ya chama na mamlaka ya viongozi wenzake, hata kama Lissu anamsema hovyo, lakini Mbowe anaonyesha...
  5. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Mbowe asema Tundu Lissu ni mjinga

    Mbowe asema Tundu Lissu ni mjinga, ametoa ufafanuzi wa shutuma batili anazotoa Tundu Lissu alipokuwa akihojiwa na Salim Kikeke Tazama Video hii
  6. F

    JamiiForums Tanzania Ukimsikiliza Mbowe utagundua kuwa sio mtu wa kuwekwa kwenye mizani moja na akina Lissu

    Freeman Aikael Mbowe alishavuka hatua za uanaharakati. Ni mwanasiasa aliyeiva. Ana kipaji na haiba ya kuongoza nchi tena kwa siasa za kistaarabu na weledi mkubwa. Kumshindanisha Mbowe na Lissu ni makosa makubwa! https://www.jamiiforums.com/data/video/5924/5924214-d7f6d74c3b617dc13d0919f850576eeb.mp4
  7. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe: Magufuli aliniambia niachane na CHADEMA, na atanirudishia kila kitu changu kilichopotea au cheo chochote

    "Akaniambia Mbowe achana na CHADEMA, kwa sababu alinisukuma sana nihamie CCM nikamwambia hilo katu sitaweza kwenye maisha yangu" "Akinipelekea ujumbe nikiwa gerezani akaniambia achana na Chadema nitakurudishia mali zako zote zolizochukuliwa na utake biashara au cheo chochote nitakupa" - Freeman...
  8. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Si kila mara ku-quit ni suluhisho

    “Dhana ya uongozi wa kisiasa inakwenda na dhana ya malengo, maono, dream si kila wakati ku-quit ni suluhisho, kwa hiyo lengo letu ni nini? Ni kukamata dola. Lengo hili halijatimia”
  9. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti Mbowe, sisi wananchi hatutaki tena siasa za Ki UNCLE TOM tunataka siasa za kuwapelekea CCM moto. Huelewi wapi?

    Ndugu Freeman Aikael Mbowe nakusabahi. Nakuandikia huu waraka huu ili ujue sisi wananchi huku kitaa tunataka nini. nifuatilie kwa makini. 1. Mosi umefanya blunders nyingi ila chama kilikulinda kwa mfano. *Ulipomleta Lowasa CHADEMA wakati ukijua chama kilikuwa na msimamo thabiti dhidi yake...
  10. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe: Si kweli kuwa Chadema hakuna ukomo wa uongozi

    "Kwanza nizungumze kitu kinachoitwa ukomo wa madaraka, ndani ya taasisi ya Chadema na ujue Chadema ni chama cha siasa ni kundi la watu ambapo ukijunga na chama chetu kama ambavyo ungejiunga na chama kingine chochote kitu cha kwanza unakubalina na katiba ya chama," "chama chetu kimeweka ukomo wa...
  11. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe: CHADEMA ni kubwa kuliko mtu yeyote

    Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe alipokuwa akizungumza na clouds amesema "Hapa Dar es Salaam kila Mtaa unaouona una uongozi wa CHADEMA wa Baraza la Chama, la viongozi wa chama. Na katika Vijijini zaidi ya 12,000 zaidi ya 80% tuna viongozi katika vijiji nchi nzima na hatimaye sasa Vitongoji...
  12. Bulelaa

    JamiiForums Tanzania Washauri wa Mbowe ni wendawazimu? Mbona hawakumshauri astaafu uenyekiti ili kulinda heshima yake?

    Mbowe anasemwa kwa maneno yote, kutoka kuheshimika kwa wasomi na wasio wasomi, sasa anadharaulika mpaka kwa wanafunzi wa primary school huko Si muige hata kwa wachaza mpira? Mchaza mpira ikifika pahala akaona kipaji chake ni kama kimeanza kushuka kwa kutumika miaka mingi, hustaafu kucheza na...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Freeman Mbowe: Shutma za Lissu dhidi yangu ni za uongo

    Wakuu Kwenye mahojiano na Salim Kikeke kupitia, Crown FM, Mbowe amefunguka kuwa; "Mimi kama Mwenyekiti wa chama ni tabia yangu ni historia yangu, sijawahi kuingia kwenye siasa kwa ajili ya kutafuta sifa na mimi nilikuwa mtu wa kujenga na kulea vipaji vingi kwa miaka yote, Tundu Lissu mimi...
  14. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Jeremiah Masanja: Mbowe "Atalazimishwa kuondoka CHADEMA". Lissu namfahamu tumesoma naye, Mbowe namfahamu tumecheza naye muzik Billcanas Club enzi hizo

    https://youtu.be/WhlUbdvI5CA?si=6EYlRBSl4ZN0QnT5 Akihojiwa na SAUT DIGITAL, Mwanasiasa na mwanachama mwaminifu wa CHADEMA, jirani yake Tundu Lissu huko wanakoishi kwa takribani miaka 21 Mzee Jeremiah Masanja ametoa maoni na mtazamo wake juu ya hali ya CHADEMA sasa na wagombea uenyekiti wawili...
  15. G Sam

    JamiiForums Tanzania Picha: Mbowe akiwa na watu wake wa karibu ambao wanajulikana kama "machawa" wake

    Hawa ni watu wa karibu zaidi wa mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ambao kama atashinda basi atavuka nao kama watu wake wa mkakati. Hawa kama hamjui ndiyo walipewa dili la Join The Chain kufyatua na kusambaza kadi za kielektroniki ambapo walikula mgao mnene. Hili ni moja ya madili...
  16. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Tumegundua tatizo. Hatukumpa Mbowe Sera. Kesho sasa kuna mambo ndio atazungumza

    Tumekuja shtuka mwenyekiti kila akihojiwa anaelezea jinsi ambavyo amemsaidia Lissu. Kila akihojiwa anaeleza amefanya mangapi kwa Lissu. Na anaeleza ametoka wapi na Chama. Sera zake kuu ni 1. Kukichangia Chama 2. Kumsaidia Lissu. Sasa hapa tumeshakubaliana. Kesho akaelezee Sera zake kwa wana...
  17. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Huyu Hapa ndo aliyeokoa maisha ya Tundu Lissu pale Dodoma, sio Mbowe

    Taarifa zilipofika Bungeni, chap watu wakawahi eneo la tukio kisha Hospital. Kufika Hospital, Katibu Wizara ya Afya wa wakati huo , this great man , Dr. Ulisubisya , Daktari wa Kuua na Kufufua ( Anesthesiologist)akawahi kuingia Theater for bleeding management and major first aid akishirikiana...
  18. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Inaumiza sana umri huu Mbowe ana report kwa Abdul? Pesa ndiyo sabuni ya roho

    Abdul ni mtoto ambaye walio karibu watakuambia hata hayupo smart. Sema ndo anatumika tu na mzazi wake. Mbowe umri huu ndo maana aliamua kuwa na washauri kama akina Ntobi, Yericko and the likes watoto wadogo tu. Mbowe inasemekana mshauri wake mkuu sasa ni Abdul. Yaani kila kitu anachofanya...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Bado Yericko; Huenda kwa sasa kumtetea Mbowe ni hatari zaidi kuliko kulamba sumu kwa ulimi kilichompata Ntobi ni kielelezo cha nguvu halisi ya Lissu

    Huenda bila ya Mbowe kujua chochote Tundu Lissu tayari anaiongoza CHADEMA kama mwenyekiti mpya Kiroho (spiritually) Kitendo Cha Viongozi mbalimbali wa CHADEMA kutoka hadharani na kumkemea Mbowe waziwazi kinaashiria tayari Mbowe si kiongozi tena Kwenye Ulimwengu wa roho(hapa watu wa Kiroho tu...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Kusema kweli Mimi Sijui biashara za Mbowe anazosema zipo ndani na nje zaidi ya Bilcanas ya zamani. Anayejua atutajie

    Anayejua biashara za mbiwe frankly speaking kabisa naomba azitaje. 1. 2 3 4
Back
Top Bottom