mbowe

  1. J

    JamiiForums Tanzania Hivi Yeriko Nyerere kwenye Mijadala ya Kwenye Media anamwakilisha Mbowe kama mgombea au anawakilisha Chadema kama chama?

    Nimemuona mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema mh Yeriko Nyerere akifanya mahojiano Star tv na Clouds media zote zikiwa ni media za CCM Ningependa tu kujua Mh Yeriko Nyerere huwa anatumiwa na Chama Kwa nafasi yake ya mjumbe wa CC au huwa anamwakilisha Mh Freeman Mbowe kama mgombea wa nafasi ya...
  2. Bulelaa

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ili CHADEMA kife, lazima kimchague Mbowe kuwa M/kiti, na ili kiongeze uhai na kukabiliana na uhuni wa CCM, lazima kimchague Lissu

    Wapenzi wa chadema na wapenda mabadiriko ya kweli na upinzani wa kweli popote pale walipo Wanayo machaguo mawili tu kuhakikisha CHADEMA inabaki na pengine kushika dola na ama kufa kifo cha mende kama ilivyokuwa kwa vyama vingine vilivyowahi kuwika kabla ya Chadema na kisha kutoweka kama upepo...
  3. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe kusema aliokoa maisha ya Tundu Lissu ni kauli ya kufuru na ya ovyo

    Hii kauli ni kufuru. Lissu kupona ni miujiza ya Mungu na sio Mbowe wala mwanadamu mwingine yeyote. Pia mchakato wa kumtoa Lissu Dodoma hadi Nairobi ulihusisha watu wengi sana na sio Mbowe tu. WanaCCM wengi tu walishiriki kumkimbiza Lissu hospitalini. Kauli ya Mbowe kuwa aliokoa uhai wa Lissu ni...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe akanyaga Moto wa Kifuu cha Nazi

    Mzee Freeman Aikael Mbowe amekuwa mwenyekiti wa chama kwa miaka 21 bila ya uwepo wa ushindani kwenye nafasi yake. Na walionyesha jaribio la kutaka nafasi yake walitimuliwa kwenye chama kwa USALITI. Hatimae kwa mara ya kwanza Mzee Mbowe amekutana na Moto wa Lissu kuhusu nafasi yake ya uwenyekiti...
  5. Bams

    JamiiForums Tanzania Mbowe amethibitisha kuwa hata kama CHADEMA ingechukua Serikali, kama yeye akiwa Kiongozi Mkuu, hakuna la pekee

    Leo hii, kama upo ndani ya CCM, na una sifa zote, lakini ukachukua fomu kumchallenge Samia kwenye nafasi ya Urais au Umwenyekiti wa CCM, huo utakuwa ndiyo mwisho wako kisiasa ndani ya CCM. Leo hii, kama upo ndani ya Serikali, halafu ukaikosoa Serikali au Rais au mwenyekiti wa CCM, huo itakuwa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini Mbowe huwa hapigi amshaamsha ya kutosha kuwadai wanachadema wanaotekwa na kupotezwa?

    Ndugu Mbowe ni mwenyekiti wa Chadema, ndiye kiongozi wa ngazi ya juu zaidi wa chama hicho. Kama ilivyoada kwa kiongozi yeye ndiye kama baba wa familia, ana wajibu wa kujali usitawi wa makada wake, kuwalinda na kuwatetea na kuwafariji. Hata hivyo huwa nashangazwa na Mbowe ambaye yeye kama...
  7. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mbowe asikimbilie hata CHAUMA au UDP kama wanachama hawamtaki

    Baada kusoma taarifa nyingi na maoni mbalimbali za Chadema, Mbowe anaonekana ni king'ang'anizi kama kupe wanachama hawamtaki wanamuona mzigo kama vurushi la nnya lakini hataki kutoka kwa heshima anasubiri ang'olewe kwa aibu na Tanganyika Jeki mtu wa aina hii hafai akiingia ikulu ataigeuza...
  8. Mikopo Consultant

    JamiiForums Tanzania Ya Mbowe na Gambo yametufundisha kwamba, mwanaume wa kweli lazima apige yowe pindi chai ya watoto wake inapoguswa na vitu visivyojulikana

    Kumekucha kumekucha Gambo Mkuu Gambo kaambiwa maneno machache tuu, ‘Hudhuria kwenye vikao’ almanusura adondoke chini kwa shambulizi la moyo. Nikagundua kumbe alikuwa yupo mbele ya wateja wake a.k.a wapiga kura. Maneno ya RC yamemchoma sana mwanaume huyu; chupa ya chai ya wanawe imepokea mguso...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Mnyika agoma kujibu swali la Wasafi Media, walitaka athibitishe kama Mbowe ni muongo

    Kiukweli sijafirahishwa na kitendo cha katibu mkuu wa CHADEMA cha kushindwa kujibu maswali ya watangazaji na kujibu kwa jazba kila swali alilouluzwa na kwa maoni yangu maswali aliyouluzwa yalikuwa rahisi sana. Kwa mtu kama katibu mkuu wa chama sikutarajia azingue kizembe kama vile!
  10. Z

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Malipo ya fedha za kukodisha chopa wakati wa kampeni yaliyolipwa kwa Mbowe yalimduwaza Lissu!

    Lissu alidai kuwa moja ya upigaji wa fedha za chama yalifanyika kwenye kivuli cha malipo ya kukodi chopa wakati wa kampeni ya uchaguzi mkuu, kwakuwa mwenyekiti ndiye alikuwa anadai malipo ya gharama basi hakukuwa na namna!!!. Ukimsikiliza Lissu hapo ni kama vile hamwamini Mbowe na kuona ni...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Zitto aanika siri nyeti za Mbowe! Adai hatakufa kama Chacha Wangwe

    Wakuu, inasemekana Zitto Kabwe ali-post facebook hii kitu halafu aka-edit later. Original post: "Lissu anasema nimepewa magari 2 na Mzee Mkono. Anasema kaambiwa na Mkono. NaaminiMkono alimwambia pia mwaka 2005 alimpa Freeman Aikaeli Mbowe tshs 40m ili Mbowe asifanye kampeni Musoma vijijini...
  12. Rula ya Mafisadi

    JamiiForums Tanzania Wakili LEVINO: Mbowe is Politically uncircumcised. Kwenye masomo yote ya IDU yeye peke yake kapata division zero

    === MBOWE HAJAONGOKA NA KUBATIZWA KATIKA DEMOKRASIA, UTAWALA BORA NA USTAARABU WA MWANADAMU Ukimsikiliza Mbowe katika Mahojiano yake na Salim Kikeke, unagundua huyo Mzee bado ni MPORI-PORI hajui Dunia inaelekea wapi. Mbowe ana Mentality ngumu sana kueleweka na watu wenye akili timamu. Mtu...
  13. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania Swali fikirishi, ni kwanini Mbowe anatumia nguvu kubwa kubaki madarakani?

    Wasalaam Inashangaza sana kuona mtu mzima bwana Mbowe anatumia nguvu kubwa kuwa mwenyekiti wa CHADEMA ili hali wanaCHADEMA wamemkataa na wanataka mabadiliko ndani ya chama na nchi kwa ujumla. Iko wazi kabisa Mbowe anashirikiana na maCCM kuhakikisha anaendelea kuwa madarakani na kuendelea...
  14. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Freeman Mbowe: Dkt. Slaa na wanaojiita Tanzania Diaspora wanapanga kufanya mapinduzi ndani ya CHADEMA

    Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA @chadematzofficial Freeman Mbowe amesema kuna makundi yanayoratibu kufanyika mapinduzi ndani ya chama hicho na makundi hayo ndiyo yanayomsukuma Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Bara, Tundu Lissu kugombea nafasi ya Uenyekiti. “Kuna kundi...
  15. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Mkuu wa Mwenyekiti Taifa na wagombea wengine mpaka muda huu Mbowe anaongoza kwa 81.5%

    Heshima sana wanajamvi. Baada ya tathimini ya hali ya juu kutoka kanda 8 Mhemiwa Mbowe anaongoza 81.5% huku mshindani wake mkuu Mheshimiwa Lissu akiambulia 17.3% Wajumbe wengi wameonyesha msimamo wa kumuunga Mwenyekiti mkono kwa wivu mkubwa. Ngongo kwasasa Mikocheni.
  16. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Sawa Mbowe umemfanyia favours nyingi Lissu katika career yake lakininkumbuka ilipaswa afe kwa ajili ya chama, hiyo favour inazidiwa na ipi?

    Nimeona mahojiano ya kikeke na mbowe. Mbowe anasema amemfanyia mambo mengi ya kiutu ili kuboost safari ya mafanikio ya Lissu. Kana kwamba anasema lissu hapaswi kumfanyia hivi kwa maana yuko liable na msaada wake. But dude, this guy almost died for you and your people , hio yote bado haijalipa...
  17. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Lema awaandikia Waraka mzito Mbowe na Lissu. Kuongea hivi karibuni

    Hakika ni Waraka wa kutisha wa Mtume Lema kwa Mbowe na Lissu. Muhimu nilichoelewa mimi, Lema amesema ana muunga mkono Tundu. Jisomee mwenyewe;
  18. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Lissu anavimbishwa mno Kichwa na Keybord Worrior

    Yule Maria Sarungi haijulilkani hata anaishi wapi na ni Gener wa Keybord Worrior. Humu sasa ndio kuna idadi isio hesabika ya Ma Keybord Worrior ambao front laini kamwe na daima huwezi waona na hutakaa uwaone. Lisu anavimbishwa kichwa sana na hawa Keybord worrior ambao Ujasiri wao uko kwenye...
  19. Bulelaa

    JamiiForums Tanzania Hakuna uhusiano wowote wa Sadaka za Mbowe kwa Mh.Lissu na Lissu kuitaka nafasi ya Uenyekiti Taifa, vinginevyo Mbowe awe mkweli tu!

    Huyu jamaa bado hajasema, mpaka aseme Kwani kuna uhusiano gani kati ya sadaka alizozitoa kumpa Lissu linapokuja suala la Lissu kugombea nafasi ya Uenyekiti mpaka akumbushie sadaka alizompa Lissu? Kumpa nyumba ya kukaa pale Dodoma inaleta uhusiano wowote kwenye kugombea nafasi aliyonayo mbowe...
  20. mike2k

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mbowe anapaswa kupumzikka?

    Mfumo wa uongozi wa muda mrefu wa Freeman Mbowe kama Mwenyekiti wa CHADEMA unaweza kueleweka kwa kuangalia madhara ya kukaa katika cheo cha juu cha chama muda mrefu: Kama Mbowe angaliachia madaraka baada ya muhula wake wa kwanza, angekumbukwa kama mtu aliye na maono ambaye kazi yake...
Back
Top Bottom