mbowe

  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wanaotaka kuondoa Usultani, umalkia na umangimeza wapo na Lissu ili chama kiwe cha Wote. Je, CHADEMA ikifanikkwa tutarajie vuguvugu upande wa CCM?

    Mpo Salama bandugu! Moja ya mambo yanayofanya hii nchi ionekane ni ngumu ni pamoja na mtu kupewa sifa za Uongo. Mfano; nchi hii kuna watu utaambiwa wanaushawishi au wanapendwa lakini ukifuatilia uhalisia wa Jambo hilo sio kweli. Utagundua sio kwamba wanapendwa Bali wanatumia Rushwa na kuhonga...
  2. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Martin Maranja ndiye anayegawa rushwa kwa Wajumbe kwa niaba ya kambi ya Mbowe

    Inasemekana Martin Maranja ndiye mgavi wa pesa za rushwa kwa Wajumbe ili waweze kumpigia kura Mbowe. Chain ya pesa hizo hutoka kwa Mbowe-Boniphace na kumfikia Martin pamoja na wenzake wanao kimbizana usiku na mchana kuwapelekea hongo Wajumbe.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Lissu hawezi kufanya kazi na kiongozi mwingine yeyote ukiondoa Mbowe

    Ukiondoa Mbowe ambae unafanya nae kazi miaka 20 kabla kuhadaiwa na mitandao ya kijamii huwezi kufanya kazi na mwengine yoyote. 1. Hawezi kutunza siri 2. Kujiona too much know 3. Kujiona maarufu na uwezo baada ya shambulizi 2017. Hii inamfanya Lissu hawezi kufanya kazi na yoyote mwengine
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini CCM wanataka Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti CHADEMA?

    Wanataka Mbowe ambaye amekuwa siku hizi kama hangati aendelee kwasababu ameshaonekana kuchoka na kujisahau 1. Wanataka waendelee kuiba kura 2. Watataka Wenje aendelee kuhonga wanaharakati wote wa chini 3. Wanaogopa ushindani 4. Hawataki katiba mpya 5. Wanataka wabunge fake 19 waendelee kuwepo...
  5. instagram

    JamiiForums Tanzania Hajawahi kutokea mwenyekiti wa chama cha siasa mwenye nguvu kushinda Mbowe nchi hii

    Mbowe aliwahi kuwaleta CHADEMA wakina Lowasa, Sumaye, Membe, na hawa wote walikuja chadema wakijua kabisa watamuita mbowe bosi 😂😂. Mbowe oyeee ,(Magufuli). Pamoja na yote mazuri ya Mbowe ila mbowe muda umefika aachie chama kwa Lissu.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa Bure: Lissu, akishachukua chama, aanze na haya yaliyomshinda Mbowe kwa miaka 21!

    1. Uchawa kama profession CHADEMA, ni marufuku! 2. Aanzishe vita dhidi ya ruzuku za vyama: Vyama vyote viendeshwe na wanachama, si huu upigaji wa pesa za wananchi kwa jina lingine lolote! "Pesa za ruzuku zielekezwe kwenye ajira mpya za vijana wanaohitimu masomo, itapendeza zaidi!" 3...
  7. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Mbowe na COVID 19 kula deal, nimesikitika sana-sana

    Watu tunakomaa humu kumlaumu Tulia na Samia kwa kuiletea hasara serikali kwa uwepo wa kina Mdee bungeni, kumbe wale wabunge ni wake wa Kigaila na Salimu Mwalimu? Yaani hawa wasaidizi wa Mbowe ndio waandae ushahidi mahakamani wa kuwatoa wake zao bungeni? Pamoja na mambo mengi ya hovyo ya Mbowe...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Lissu ukitufafanunulia kuhusu ushirika wako na Mbowe katika kumsafisha Lowassa utaeleweka sana

    Hellow Tanganyika!! Katika mengi umejaribu kujitofautisha na mkt wako Ili kupata uungwaji mkono wananchi na wanachama,na umefanikiwa sana katika hili. Sasa Kuna kihunzi Cha mwisho Cha kukiruka Ili urudishe Imani ya wananchi iliyoondoka baada ya ujio wa Lowwassa, mliotuambia kuwa ni fisadi...
  9. Superbug

    JamiiForums Tanzania Mbowe tafakari kwanini CCM wanakutaka wewe? Wakati wewe ni mpinzani wao? Ujue kanuni ya maisha adui anapokushauri jambo jua anashauri anguko lako

    CHADEMA shikilieni hapo hapo nendeni na Lissu kitendo cha ccm kuonyesha upande hiyo ni alarm tosha kwenu kwamba upande wa adui yenu ndio upande mbaya kwenu nawashauri muende na Lissu. CCM wameajiri machawa kibao mitandaoni kumpigia debe MBOWE! Je kwanini? Je Wana maslahi Gani na MBOWE dhidi ya...
  10. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Nimechoshwa na mada za Mbowe vs Lissu

    CHADEMA yenyewe inaelekea shimoni, hizi mada za Mbowe vs Lisu zimetuchosha. N.b. MODS: Hii si complaint, ni hali ya wana JF wengi, kuna kero nyingi kama ajali za kila siku.
  11. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbeya, Arusha, Mara ndio ngome za CHADEMA kama wamemkataa Mbowe, kama atashinda tafsiri yake ngome hizo zimeanguka. CHADEMA kwisha!

    Mpo salama! Wengine tunajadili na kuyaona mambo kwa Jinsi yanavyoonekana na Wala sio ushabiki. Hakuna asiyejua nguvu ya Mbeya, Mara na Arusha kwenye chama cha CHADEMA. Mikoa hiyo ndio ngome kuu ya CHADEMA. Unapokataliwa kwenye ngome yako alafu ukang'ang'ania kutawala ni kujaribu kujiangusha...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kama Mbowe angekuwa na busara angeivunja Sekretariati na kuiunda upya kuondoa wachumba/wapenzi wa wabunge 19

    Zimekuwepo na hoja zinajengwa za kudai eti ndugu Mbowe ni mwenye busara. Hata hivyo mimi napinga hii hoja kutokana na matendo ya mwenyekiti. Busara haipimwi tu kwa kauli bali inapimwa kwa maamuzi na hata matendo. Hebu fikiria Jambo hili. Kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA, Mwenyekiti ndiye...
  13. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Mtu mmoja kanitumia msg Whatsapp jana ananiambia alikuwa baunsa katika disco ya Mbowe

    Ile disco ilikuwa inaitwa "Mbowe Disco" kabla ya kuitwa "Bilicanas". Mimi sikwenda Bilicanas hata siku moja, lakini nilikuwa nakwenda sana Mbowe Disco. Sasa huyu jamaa kanitumia msg kuniuliza kama bado nakumbuka, anasema alikuwa baunsa. Zamani nilikuwa napenda kwenda Mbowe Disco. Nilikuwa...
  14. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Mbowe vs Lissu = Mtoto wa mjini VS Bushman.. Wewe upande Upi?

    Nianze Kwa kukutoeni wenge. Siasa ni mchezo mchafu. Hakunaga mwanasiasa ambae yupo Kwa ajili ya watu wengine. Kila mwanasiasa yupo Kwa ajili ya maslahi Yake binafsi. So kama una Amini Kuna mwanasiasa ambae yupo Kwa ajili yako Basi jua wewe bado mtoto mdogo. Mbowe yupo Kwa ajili ya maslahi...
  15. Ubaya Ubwela

    JamiiForums Tanzania Edo Kumwembe: Ningekuwa mshauri wa Mbowe, ningemshauri ajiondoe katika kinyang'anyiro

    Mtangazaji wa kipindi cha Jana na Leo kutoka Wasafi Fm, Edo Kumwembe amesema angekuwa mshauri wa Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Freeman Mbowe angemshauri kujiondoa katika kinyang'anyiro cha Uenyekiti kisha atangaze kumuunga mkono mpinzani wake Tundu Lissu Edo amesema “ningekuwa...
  16. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu akiwa Mwenyekiti Mpya; Mbowe akawa mshauri wa Chama, Dr. Slaa atarejea CHADEMA?

    Ni wazi kwamba Tundu Lisu ni mwenyekiti Mpya wa CHADEMA. Wakati huo Mbowe anakwenda kuwa mjumbe na mshauri wa chama. Mabaraza yote yamesimama na Lisu siyo kwa bahati mbaya, wamesukwa kufanya hivyo. Kitendo cha Lema kujitokeza mwishoni ni mkakati wa chama kupata attention zaidi ya umma. Leo hadi...
  17. G

    JamiiForums Tanzania Kwani Mbowe ni lazima awe mwenyekiti ndo achangie CHADEMA, kwani wote wanaochangia Wana cheo CHADEMA?

    Hii hoja ingekuwa na nguvu Sana kama Mbowe asingejitangaza hadharani kwamba amechangia Chama hivyo anaona astahili kuwa Mkiti Anataka kutuaminisha kwamba uongozi wa CHADEMA Huwa unanuliwa Mtu yeyote mwenye hela hata za mihadarati au kibaraka wa watu waovu wanaweza wakapewa Kwa sababu ya kuwa...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Mbowe angetakiwa kustaafu kwa manufaa ya Chama

    Kwa taratibu za Chama hasa kwenye nchi za demokrasia Mh Mbowe angetakiwa kustaafu kwa manufaa ya uma. Waziri mkuu wa Canada ametangaza kustaafu sio kwasababu kashidwa uchaguzi lakini ni kwasababu viongozi wenzake wa ndani ya chama wamekosa imani kwake. Uingereza hii inatokea mara nyingi sana na...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Inawezekana akina Lema, Lisu na Msigwa ndio walikuwa na mpango wa."kumpindua" Mbowe

    Lema anasema Mbowe alitaka kuwafukuza. All is possible, vile vile inawezekana hao trio ndio walikuwa na mpango wa kumpindua Mbowe. Leo Lema anasema Mbowe alikuwa na mpango wa kuwafukuza akina Lema, Lisu, Msigwa. Fine Lema toa ushahidi.
  20. Bird Watcher

    JamiiForums Tanzania Mbowe namfananisha na Matajiri wa Kiafrika

    Wakuu, Matajiri wa Kiafrica Ni wapambanaji sana Ili kuleta ustawi wa Familia na Koo zao, Huwa hawalali Na Kiukweli hujitahidi kadiri ya Uwezo wao familia Kusimama! Pamoja na Mazonge yote watu hawa wamejawa na Siri nzito sana na Pia ni watu ambao huishi kwa Machale muda wote Matajiri wa...
Back
Top Bottom