https://youtu.be/zlrjJf07blo?si=CIzhNJ1iOaJWch7D
Sikiliza kwa umakini. Mod unaweza ukaandika maelezo zaidi
Anasema LEMA anaweza kufukuzwa uanachama na tawi lake tu kwa sababu hana cheo chochote
Labda hii ni katika kumuweka mwamba kwenye ramani?
Kwamba mdahalo kala kona.
Hali ya uwanja haitamaniki.
Kwamba kipi kifanyike?
"Ama kweli rafiki wa kweli ni rafiki kwenye dhiki!"
Tumefungiwa maombi ya siku moja turudi kwa baba.
Kwa niaba ya tuliomkataa Mbowe nasema kwamba huyu mchungaji anapoteza muda wake bure.
Mbowe tulimkataa, tunamkataa na tutamkataa katu hatutarudi kwake kama ataendelea kuwa Mwenyekiti wa Chama baada ya huu uchaguzi mkuu wa Chama.
Sababu za...
Niongee ukweli kutoka Moyoni naadmire sana Siasa za Mbowe na namheshimu kama Jabali la Siasa za Tanzania, Huyu mzee kafanya kazi kubwa sana anastahili heshima yake pamoja na mapungufu yote ya kibinadamu.
Nafuatilia Uchaguzi wa CHADEMA naona kama CHADEMA aliyoijenga kwa jasho na damu leo...
Salama!
Tangu dakika ya Kwanza Mpaka sasa Tupo dakika ya 80 Mbowe hajapewa nafasi ya kulikaribia lango la Lisu. Anashambuliwa non-stop, kwa kweli hiki kipigo kama asingekuwa mzoefu angekuwa ashaaga mashindano.
Hajashambulia hata mara Moja. Yeye Kazi yake ni kuzuia mashambulizi ingawaje yapo...
Mwenyekiti wa Chadema Mh Freeman Mbowe amesema hajawahi Kulamba asali, Halambi asali wala Hajalambishwa asali
Mbowe amesema Katika miaka 30 hakunaga kitu hajawahi kufanya hivyo hawezi kubabaishwa na hiyo inayoitwa asali
Ahsanteni sana
Chawa Lucas Mwashambwa ya Kweli haya Maneno ya Mwamba? 🐼😂
https://www.youtube.com/watch?v=BZquug8cV1s
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini na ambaye alitajwa kuratibu vuguvugu la Join the Chain, Godbless Lema akizungumza na wanahabari siku ya Ijumaa Januari 17, 2025 mkoani Dar es Salaam, kuhusu...
Anaandika Moses Mwaifunga
===
MUONEKANO WA WAJUMBE ENDAPO MBOWE ATATANGAZWA MSHINDI KWA WADAU NA WAPENDA MAGEUZI,
Wakimuona tu mjumbe anacheka watamwangalia mdomoni je alilambiswa nini,wakiona tu mifuko imetuna watamwangalia kwa makini awemeka nini kwenye pochi,mjumbe akipita kwenye ATM ndo...
Inashangaza, inasikitisha na inaudhi kuwa pamoja na kushauri, kuonya na kutoa tahadhari kwa nia njema kabisa kuhusu mustakhabali wa taifa hatukusikilizwa...tulipuuzwa!
Najitokeza tena kumshauri Mh. F. A. Mobwe kuwa leo hii na bila kuchelewa achukue maamuzi mazito kuliko yote aliyowahi kuchukua...
Sasa wanasema ni marafiki lakini rafiki mmoja kamdanganya mwingine kwenye maridhiano na kumletea shida. Je huyo rafiki ni rafiki kweli au mnafiki . Chadema wamekosa imani na Mbowe kwasababu ya kumuamini rafiki yake
Wakati Trump anaibuka kugombea urais mwaka 2016 alipingwa karibia na establishment yote ya chama cha Republicans, alikuwa anaonekana mropokaji na kituko tu mbele ya "wenye chama", hakuna aliyedhani angefika mbali ila leo hii ni Rais wa Marekani kwa awamu ya pili.
Kama wajumbe tu wa chama cha...
Huyu Mbowe ni mwamba kweli kweli
Freeman Mbowe, kiongozi wa muda mrefu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), amekuwa mstari wa mbele katika harakati za kupigania demokrasia, haki za binadamu, na uwajibikaji wa serikali nchini Tanzania. Uongozi wake umejikita katika kukuza upinzani...
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Tundu Lissu wakisalimiana katika mkutano mkuu wa Baraza la Wanawake la Chadema (Bawacha) unaofanyika leo Alhamisi Januari 16, 2025 katika ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam.
Wote wawili wanamchuano mkali...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoa wa Katavi Rhoda Kunchela ameeleza kusikitishwa na kauli iliyotolewa na Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CHADEMA kutoka jimbo la Hai, mkoani Kilimanjaro James Mbowe dhidi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini Godbless Lema...
Wakuu,
Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na maswali kuhusu wapi ilienda michango ya Wanachadema waliyoitoa kwenye kampeni ya Join The Chain.
Leo Ezekiel Wenje, amesema kuwa asihusishwe tena na fedha hizo kwani Godbless Lema ndiye alikuwa Mwenyekiti wa kampeni hiyo
Ndugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa Mbowe Mwamba na Jabali la Siasa za Upinzani hapa Nchini akipita na kushinda uchaguzi hiyo tarehe 21 mwezi huu .ambapo anatarajiwa kushinda na kupita kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima.anapaswa kwa haraka sana na mara moja kumtimua Lissu...
mnamo 16-1-2025 chombo kimoja kikubwa cha habari kimefanya mahojiano na Tundu Lissu nyumbani kwake Tegeta -Dar es salaa, Tanganyika.
Waandishi / Watangazaji watatu wamemuhoji :-
Sam Sasali
PJ
Kijja
Katika hali ya Kusikitisha, Kijja ambaye ni kada wa VEGGIE PARTY amekua akiuliza maswali kama...
Wenje naona Kuna kitu hakiko sawa kwake nadhani ni PRESHA ya Uchaguzi inamzidia,
Akiwa Wasifi TV alituambia ni Lissu aliyeasisi Maridhiano na moja ya sharti alilotoa kwa Rais Samia ni kumwachia huru Freeman Mbowe bila masharti,
Sasa kama alitaka Freeman Mbowe aachiliwe halafu wakati huo huo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.