mbowe

  1. instagram

    Hajawahi kutokea mwenyekiti wa chama cha siasa mwenye nguvu kushinda Mbowe nchi hii

    Mbowe aliwahi kuwaleta CHADEMA wakina Lowasa, Sumaye, Membe, na hawa wote walikuja chadema wakijua kabisa watamuita mbowe bosi 😂😂. Mbowe oyeee ,(Magufuli). Pamoja na yote mazuri ya Mbowe ila mbowe muda umefika aachie chama kwa Lissu.
  2. B

    Ushauri wa Bure: Lissu, akishachukua chama, aanze na haya yaliyomshinda Mbowe kwa miaka 21!

    1. Uchawa kama profession CHADEMA, ni marufuku! 2. Aanzishe vita dhidi ya ruzuku za vyama: Vyama vyote viendeshwe na wanachama, si huu upigaji wa pesa za wananchi kwa jina lingine lolote! "Pesa za ruzuku zielekezwe kwenye ajira mpya za vijana wanaohitimu masomo, itapendeza zaidi!" 3...
  3. Kipenzi Changu

    Kuhusu Mbowe na COVID 19 kula deal, nimesikitika sana-sana

    Watu tunakomaa humu kumlaumu Tulia na Samia kwa kuiletea hasara serikali kwa uwepo wa kina Mdee bungeni, kumbe wale wabunge ni wake wa Kigaila na Salimu Mwalimu? Yaani hawa wasaidizi wa Mbowe ndio waandae ushahidi mahakamani wa kuwatoa wake zao bungeni? Pamoja na mambo mengi ya hovyo ya Mbowe...
  4. R

    Lissu ukitufafanunulia kuhusu ushirika wako na Mbowe katika kumsafisha Lowassa utaeleweka sana

    Hellow Tanganyika!! Katika mengi umejaribu kujitofautisha na mkt wako Ili kupata uungwaji mkono wananchi na wanachama,na umefanikiwa sana katika hili. Sasa Kuna kihunzi Cha mwisho Cha kukiruka Ili urudishe Imani ya wananchi iliyoondoka baada ya ujio wa Lowwassa, mliotuambia kuwa ni fisadi...
  5. Superbug

    Mbowe tafakari kwanini CCM wanakutaka wewe? Wakati wewe ni mpinzani wao? Ujue kanuni ya maisha adui anapokushauri jambo jua anashauri anguko lako

    CHADEMA shikilieni hapo hapo nendeni na Lissu kitendo cha ccm kuonyesha upande hiyo ni alarm tosha kwenu kwamba upande wa adui yenu ndio upande mbaya kwenu nawashauri muende na Lissu. CCM wameajiri machawa kibao mitandaoni kumpigia debe MBOWE! Je kwanini? Je Wana maslahi Gani na MBOWE dhidi ya...
  6. Jidu La Mabambasi

    Nimechoshwa na mada za Mbowe vs Lissu

    CHADEMA yenyewe inaelekea shimoni, hizi mada za Mbowe vs Lisu zimetuchosha. N.b. MODS: Hii si complaint, ni hali ya wana JF wengi, kuna kero nyingi kama ajali za kila siku.
  7. Robert Heriel Mtibeli

    PreGE2025 Mbeya, Arusha, Mara ndio ngome za CHADEMA kama wamemkataa Mbowe, kama atashinda tafsiri yake ngome hizo zimeanguka. CHADEMA kwisha!

    Mpo salama! Wengine tunajadili na kuyaona mambo kwa Jinsi yanavyoonekana na Wala sio ushabiki. Hakuna asiyejua nguvu ya Mbeya, Mara na Arusha kwenye chama cha CHADEMA. Mikoa hiyo ndio ngome kuu ya CHADEMA. Unapokataliwa kwenye ngome yako alafu ukang'ang'ania kutawala ni kujaribu kujiangusha...
  8. M

    Kama Mbowe angekuwa na busara angeivunja Sekretariati na kuiunda upya kuondoa wachumba/wapenzi wa wabunge 19

    Zimekuwepo na hoja zinajengwa za kudai eti ndugu Mbowe ni mwenye busara. Hata hivyo mimi napinga hii hoja kutokana na matendo ya mwenyekiti. Busara haipimwi tu kwa kauli bali inapimwa kwa maamuzi na hata matendo. Hebu fikiria Jambo hili. Kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA, Mwenyekiti ndiye...
  9. Poppy Hatonn

    Mtu mmoja kanitumia msg Whatsapp jana ananiambia alikuwa baunsa katika disco ya Mbowe

    Ile disco ilikuwa inaitwa "Mbowe Disco" kabla ya kuitwa "Bilicanas". Mimi sikwenda Bilicanas hata siku moja, lakini nilikuwa nakwenda sana Mbowe Disco. Sasa huyu jamaa kanitumia msg kuniuliza kama bado nakumbuka, anasema alikuwa baunsa. Zamani nilikuwa napenda kwenda Mbowe Disco. Nilikuwa...
  10. LIKUD

    Mbowe vs Lissu = Mtoto wa mjini VS Bushman.. Wewe upande Upi?

    Nianze Kwa kukutoeni wenge. Siasa ni mchezo mchafu. Hakunaga mwanasiasa ambae yupo Kwa ajili ya watu wengine. Kila mwanasiasa yupo Kwa ajili ya maslahi Yake binafsi. So kama una Amini Kuna mwanasiasa ambae yupo Kwa ajili yako Basi jua wewe bado mtoto mdogo. Mbowe yupo Kwa ajili ya maslahi...
  11. Ubaya Ubwela

    Edo Kumwembe: Ningekuwa mshauri wa Mbowe, ningemshauri ajiondoe katika kinyang'anyiro

    Mtangazaji wa kipindi cha Jana na Leo kutoka Wasafi Fm, Edo Kumwembe amesema angekuwa mshauri wa Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Freeman Mbowe angemshauri kujiondoa katika kinyang'anyiro cha Uenyekiti kisha atangaze kumuunga mkono mpinzani wake Tundu Lissu Edo amesema “ningekuwa...
  12. R

    PreGE2025 Tundu Lissu akiwa Mwenyekiti Mpya; Mbowe akawa mshauri wa Chama, Dr. Slaa atarejea CHADEMA?

    Ni wazi kwamba Tundu Lisu ni mwenyekiti Mpya wa CHADEMA. Wakati huo Mbowe anakwenda kuwa mjumbe na mshauri wa chama. Mabaraza yote yamesimama na Lisu siyo kwa bahati mbaya, wamesukwa kufanya hivyo. Kitendo cha Lema kujitokeza mwishoni ni mkakati wa chama kupata attention zaidi ya umma. Leo hadi...
  13. G

    Kwani Mbowe ni lazima awe mwenyekiti ndo achangie CHADEMA, kwani wote wanaochangia Wana cheo CHADEMA?

    Hii hoja ingekuwa na nguvu Sana kama Mbowe asingejitangaza hadharani kwamba amechangia Chama hivyo anaona astahili kuwa Mkiti Anataka kutuaminisha kwamba uongozi wa CHADEMA Huwa unanuliwa Mtu yeyote mwenye hela hata za mihadarati au kibaraka wa watu waovu wanaweza wakapewa Kwa sababu ya kuwa...
  14. K

    Mbowe angetakiwa kustaafu kwa manufaa ya Chama

    Kwa taratibu za Chama hasa kwenye nchi za demokrasia Mh Mbowe angetakiwa kustaafu kwa manufaa ya uma. Waziri mkuu wa Canada ametangaza kustaafu sio kwasababu kashidwa uchaguzi lakini ni kwasababu viongozi wenzake wa ndani ya chama wamekosa imani kwake. Uingereza hii inatokea mara nyingi sana na...
  15. R

    Inawezekana akina Lema, Lisu na Msigwa ndio walikuwa na mpango wa."kumpindua" Mbowe

    Lema anasema Mbowe alitaka kuwafukuza. All is possible, vile vile inawezekana hao trio ndio walikuwa na mpango wa kumpindua Mbowe. Leo Lema anasema Mbowe alikuwa na mpango wa kuwafukuza akina Lema, Lisu, Msigwa. Fine Lema toa ushahidi.
  16. Bird Watcher

    Mbowe namfananisha na Matajiri wa Kiafrika

    Wakuu, Matajiri wa Kiafrica Ni wapambanaji sana Ili kuleta ustawi wa Familia na Koo zao, Huwa hawalali Na Kiukweli hujitahidi kadiri ya Uwezo wao familia Kusimama! Pamoja na Mazonge yote watu hawa wamejawa na Siri nzito sana na Pia ni watu ambao huishi kwa Machale muda wote Matajiri wa...
  17. R

    Mh Lema, huamini kuwa Lissu aweza mshinda Mbowe katika uchaguzi Hadi umuombee aachiwe na Mbowe?

    Hellow!! Ndugu Lema ni muumini wa DEMOKRASIA, sasa HOFU inatoka wapi ikiwa wanachadema wanataka mabadiliko ya Kweli? Si vyema kuruhusu bundi aingilie madirishani! Karibuni 🙏
  18. Mbangaizaji wa Taifa

    Sylvester Kasulumbai: Mbowe amechoka atolewe tunataka fikra hasa toka kwa vijana

    https://youtu.be/Ps_At3HbjrE?si=ZUrRKKExyS_OxZ_z Mbunge mstaafu wa CHADEMA Maswa anatamani Mbowe awekwe kando ili zipatikane fikra mpya
  19. B

    Angalizo la usalama: Hala Hala kabla ya Hatari, "Johh Pambalu aongezewe ulinzi!"

    Wametekwa kina Maria, Kibao, Soka, Kipanya na wengi wengine. Kwa hotuba hii ya John Pambalu: Bila shaka ujumbe utakuwa umewafikia akiwamo mwamba, wazi wazi kuwa: "Pesa kitu gani?" Kwamba, pesa makaratasi! Wanadhibitiwa vipi wasionunulika hawa? Kwani Lissu kushambuliwa suala la kutofika...
  20. JET SALLI

    Mbowe yuko dakika 45 itv Muda huu

    Mbowe anashida kubwa,na anachokifanya ni chuki ambayo haina afya kwa CHADEMA. Ulafi wa madaraka na kung'ang'ania madaraka ni jambo linalosikitiaha sana mtu ameamua nae kugombea nafasi ya uenyekiti imekuwa shida.
Back
Top Bottom