Freeman Aikaeli Mbowe ni mwanasiasa ambaye huwezi kuzungumzia siasa za Tanzania bila ya kutaja jina lake.
Lakini naona Baada ya uchaguzi wa Januari 21 mwaka 2025, Kuna baadhi ya watu wanapambana kwa kila Hali kuonesha kuwa Mbowe alikuwa mamluki ndani ya CHADEMA na alikitumia chama kwa faida...
Mwalimu Nyerere aliwahi kumwambia Mzee Yusuf Makamba kuwa achague moja, Heshima au Tamaa maana hivyo vitu viwili havikai nyumba moja.
Sasa hii critical moment iko kwa Freeman Mbowe leo, mtu ambaye ana heshima kubwa nchini kama mtu aliyepigania mageuzi, aliyeongoza harakati za kisiasa za kukuza...
Naona bado Team Mbowe wanazidi kujikanyaga tu wao wenyewe hata hawajui hiyo 'No reforms no election' ni nini. So sad asee,
===
Salumu Mwalimu ambaye alikuwa ni miongoni mwa waliotangaza kujitoa CHADEMA amefanyiwa mahojiano na Wasafi Tv na kueleza kuwa lengo lwa Mbowe lilikuwa ni kupigania...
Kama Mbowe angekuwa mbele ya muda basi alitakiwa kujivua lawama mapema na kuondoa wahuni wote chamani. Hilo lilikuwa wazi na lilionekana kwa kila mmoja. Shida ni angeweza vipi kuondoa washiikaji zake muhimu?
Wewe unaambiwa Kigaila mke wake alienda bungeni kwa njia haramu. Kigaila ni naibu...
Wakati maalim seif anaondoka cuf, Umati wa viongozi wakubwa na wanachama walimfuata. Cuf ilipotea na imepotea kabisa.
Tofauti na Mbowe, licha ya kuwa mwenyekiti wa miaka Mingi kitendo cha leo kuondoka wanachama maarufu chadema kama salum mwalim, Kigaila huku hata makao makuu ya chadema...
Nyie akina Kigaila, Mwalimu, Catherine, Mrema, Mwita na wengine wote wa G55 mmesahau kiapo chetu kuwa baada ya kushindwa uchaguzi hakuna mtu atahama Chama? Sasa imekuwaje wenzetu mnabwaga manyanga?
Je ni kweli ninyi mlikuwa virusi ndani ya Chadema na kwamba mlikuwa mnajaza matumbo yenu kupitia...
Naweza kusema hii ni Bingo kwa Freeman Mbowe, G55, COVID-19 na baadhi ya wanachadema wasioridhishwa na mfumo wa sasa kuanzisha Chama Kipya cha kisiasa au kujiunga na chama kipya, lakini sharti Freeman Mbowe awe Mwenyekiti au Kiongozi Mkuu pamoja na safu yake yote. Kwasababu:
Itakuwa ndiyo nguzo...
Ni ukweli usiopingika kuwa Mzee Mbowe na Lema ni ndugu wa karibu kabisa na wametoka eneo moja (Machame).
Pamoja na ukaribu huu ,Mzee Mbowe hakuwahi kumtegemea Lema kama mshauri wake wa kisaasa kutokana na sababu zifiatazo;
1.Lema anaao upeo mdogo sana wa kufikiri kutokana na kushindwa...
Wataalamu wa historia wanasema historia hutuambia kwa nini tupo hapa. Nimelazimika kutafakari na kurejea matukio mbali mbali yanayomhusu Mwenyekiti Mbowe kabla ya kupumzishwa na wanachama kwenye nafasi ya wenyekiti wake. Nimerejea matukio mbali mbali hususani baada ya mwenyekiti Mbowe kutoka...
Maandamano ya kesho sijui yatakuwa vipi. Kesho atakamatwa Lema na binti yake.
Lakini hili ni jambo serious. Hakuna haki katika nchi. Wananchi tunataka kurekebisha. Kesho yanapaswa kuwepo maandamano ya amani. Maandamano lazima yawe ya amani,siyo kila mtu afanye anavyopenda.
Watu wengine...
Utawala huu ndani ya chama demokrasia ipo juu
Mfano Mrema na kundi lake la G55 linatoa kauli hasi dhidi ya viongozi.
Mfano wanawaita viongozi viburi, jeuri, Waliohamia juzi kukiua chama na kila jina baya tofauti na utawala wa Mbowe.
Wakati wa Mbowe mtu pekee ambae akikosoa utawala wa Mbowe ni...
Kiongozi wa Dini ya Waislamu Sheikh Mwaipopo amjia juu Rais wa Baraza la Maaaskofu wa kanisa katoliki (TEC) Askofu Dkt. Pisa kwa kutoa kauli ya kulaani na kutaka Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu aachiwe haraka, adai kauli hiyo ni kutaka kuiingilia Serikali.
Pia, Soma: Baraza la Maaskofu...
Chadema chini ya Freeman Mbowe walibadili ajenda ghafla baada ya kufa kwa kada wao na kufanya vuguvugu la kutaka kumpindua raisi aliye madarakani.
Siku ilipofika wakamuingiza chaka mpaka baba askofu ambaye alitumia redio za kanisa kuwashawishi wafuasi wa Chadema wajiunge kwenye maandamano.Kwa...
Wana CDM naombeni maoni yenu,nataka kuanzisha suala ya kikatiba chini ya mfumo wa kidemokrasia- msiniulize ni demokrasia gani ila mtapata majibu very soon kupitia taratibu za kisheria
Hoja ya msingi ni kupata maoni kuhusu je Lissu aendelee au Mbowe arudi na Leo litakuwa swali la kipima joto...
Hakika kwa yanayoendelea naamini,toka amepigwa kwenye kura hakuwahi kuongelea Chadema wala kuhudhuria vikao,hata jana kwenda kumsalimu Lissu ni kujiosha tu nami nasema mtakuja kuamini msiyoamini.
Hata wengi wanaopinga na mambo ndani ya chama ni watu waje wa karibu,wengine viongozi wenzake mf...
Wana Jamnvi
Ni miezi kadhaa sasa bila ya Mbowe kuonekana kwenye vikao vyovyote vile vya Chama cha Demokrasia na Maendeleo, pia Lissu alipo fikishwa Mahakamani hajaonekana ila siku ya leo aliongozana na wastaafu wengine wa chama kwenda kumuona private huko Magereza tukizingatia siku maalum ya...
Maneno haya hayaachi shaka hata kidogo:
Tuweke rekodi sawa sawa, ipo tofauti baina ya kustaafu na kupigwa mweleka. Misamiati miwili hii ni tofauti.
Ama kwa hakika ukisikia mtu mzima kama huyu analalama hivi, "no reforms no election" ni kukamatia hapo hapo mapambazuko ni karibu.
"Kamanda...
Huko miaka ya 2000s baba aliwahi kunambia kuwa Mbowe na ZZK ni vijana wa mfumo, wanaeongoza vyama vya upinzani lakini kwa kulinda na kusimamia miongozo waliyopewa na mfumo.
Kitendo cha Mbowe kukabidhi madaraka kwa mtu mwengine rasmi inaonesha hatokuwa na mamlaka tena ya kutaka na kuamua namna...
Ndugu zangu Watanzania,
Niliwaambieni Sana ,niliwaeleza sana CHADEMA, niliwapa Elimu wana CHADEMA,niliwatahadhalisha wana CHADEMA kuwa kumchagua Lissu kuwa Mwenyekiti ilikuwa ni sawa na kujipiga kitanzi,ilikuwa ni kujitundika juu ya kamba na kuweka shingo ndani yake na kisha kutegua kiti chini...