mbovu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Dira mbovu ya 2050 ndani ya katiba ya chama kimoja 1977

    Li KATIBA libovu la ccm ndio imetusababishia majanga tulionayo tangu 1992. Tunao maviongozi mengi t kwenye kila idara low IQ failures tablalasa nothing in their heads
  2. Nanunua Laptop mbovu bei maelewano

    Lete Laptop mbovu nikupe pesa bei maelewano. Ubovu Uwezo Model Ilala - Dsm 0767953873
  3. NANUNUA LAPTOP MBOVU KAMA SPARE

    Lete Laptop mbovu nikupe pesa bei maelewano Ilala - Dsm 0767953873
  4. Masheikh wote ni kama wanaona Maandamano ni dhidi ya Uislamu na si dhidi ya utawala mbovu

    https://www.instagram.com/reel/DRRCZIBgsNx/?igsh=MXZvNWQwdHFlbGRyZg== https://www.instagram.com/reel/DRRQh0SDDUj/?igsh=MTdvanF1dTN1YWQ1aQ== ALLY KIBAO alikuwa Muislamu, lakini leo hawa waandamanaji ndio wanaotaka huu utekaji uishe, polisi wawajibishwe au watekaji wapatikane. Lakini hata...
  5. Maridhiano ya kweli lazima yahusu katiba mpya mpya na sio katiba mpya mbovu

    Nimeona makamu wa Rais nchimbi akiongelea kuhusu swala la maridhiano Kama kweli tuna nia ya kuwa na maridhiano ya kweli tunatakiwa kuwa na katiba mpya mpya na sio katiba mpya mbovu Kwanini nasema hivyo kunaweza fanyika jitihada za kuunda katiba mpya ila ikawa mbovu kuliko hii ya sasa ambayo...
  6. S

    Yanga ns Simba zote mbovu, zitaushia hatua ya makundi

    Hizi timu zero mbili safari hii sioni hata moja ya kuvuka hatua ya makundi bali zote zitaishia hatua ya makundi. Yaani hamna cha robo wala mwakarobo kwa timu zote mbili. Kwa sasa, hatuna timu za kushindana kimataifa msimu huu unless zinabadilika.
  7. Tukubaliane watanzania wana akili mbovu kuliko hata hao ccm kuwatetea ni kazi ngumu sana.

    GT Eti hawa wana akili timamu kweli. Bodaboda na machinga ni maabomu yaliyopakwa rangi ya nanasi na CCM.
  8. LAANA ya wanasimba kwa timu mbovu ya Berkane hatimaye yatimia rasmi leo, ashukuriwe Allah

    Wanasimba wenzangu kama mnavyokumbuka tulivyofanyiwa figisu na uonevu mkubwa na timu hii mbovu ya Berkane na hata kiongozi wao sababu ana cheo kikubwa huko CAF tukanyimwa kucheza mechi yetu ya fainali kombe la shirikisho katika uwanja wetu wa nyumbani Mkapa, hio haitoshi wakahakikisha wanamhonga...
  9. Trump aendelea kuwatia nyavuni wakosoaji wake, John Bolton ashitakiwa kwa makosa ya ujasusi na utunzaji mbovu wa nyaraka za siri

    Balozi John Bolton aliyekuwa mshauri wa masuala ya ulinzi wa Trump kabla ya kutofautiana pakubwa na kugeuka kuwa mkosoaji mkubwa wa Trump na utawala wake ameshitakiwa kwa makosa mazitio yanayohusu ujasusi dhidi ya nchi, umilikaji na utunzaji mbovu wa nyaraka za siri za serikali.
  10. Watawala bora wa kijeshi katika Afrika waliobadilisha mataifa yao kutoka utawala mbovu mpaka utawala bora

    Hawa ni viongozi wa kijeshi Africa waliotwaa madaraka kutoka tawala za kiraia zilizoharibika na kujaa udhalimu kisha kuyaweka mataifa yao katika mkondo sahihi wa mageuzi, haki na utawala bora. 1. Jerry Rawlings- Ghana 2. Olusegun Obasanjo- Nigeria 3. Thomas Sankara- Burkinafaso 4. Meles...
  11. KERO Maktaba ya Mkoa wa Lindi mmh! Ni Mungu tu ndio anajua wanaoitumia wanajisikiaje, ni mbovu na si salama

    Juzi kati nilienda Mkoani Lindi kumtembelea ndugu yangu wakati huu wa likizo, kuna jambo nililikuta huko na kuniacha mdomo wazi. Wenyeji wangu waliniambia kwa kuwa wao wako bize walilazimika kwenda kuwatafutia uanchama Watoto wao kwenye Maktaba ya Mkoa ili wapate nafasi ya kujisomea, lakini...
  12. Kero ya rundo la takataka za chupa zilizotumika Tabata Kimanga

    Kwa mamlaka husika, Afisa mazingira na NEMC Naomba kuwasikisha malalamiko kuhusu mkusanyiko wa chupa za plastiki zilizotumika, kama inavyoonekana kwenye picha iliyoambatishwa. Eneo hili lipo Tabata Kimanga opposite ofisi ya serikali ya mtaa na pia karibu na sheli ya ATN na hali hii...
  13. Mindset mbovu ya Muafrika ilijidhihirisha katika tukio hili miaka kadhaa iliopita na ever since bado tunaendelea na ubovu wetu ule ule.

    Mnamo Oktoba 15, 1987, Sankara alikuwa akikutana na washauri huko Ouagadougou wakati kikosi cha wauaji, kikiongozwa na askari watiifu kwa Compaoré, walivamia majengo. Na kushangaza compaore huyo alikuaa rafiki mkubwa sana wa sankara ambaye sankara alimuamini sana. Sankara, akifahamu hatari...
  14. Kama una Desktop/Laptop mbovu nichek Nanunua

    Nanunua Laptop/Desktop mbovu. Nichek 0767953873
  15. Maajabu ya Mungu: Nimeiombea "graphics card" mbovu - imepona!

    Heshima zenu wakuu. Mada hii ni habari ya kweli kabisa. Kila mara huwa nasisitiza hapa kwamba uongo nauchukia kama ukoma. Hivyo unaposoma mada hii usifikiri ni chit chat au chai. Ni kweli kweli tupu. Haya, twende kwenye mada sasa. Kwanza namshukuru Mungu mambo ya IT hayajanipita kando. I can...
  16. Zile jezi mbovu zilizovuja kumbe ndiyo zenyewe, Sijawahi kuona jezi mbovu kama hizi

    Huyu mzabuni mpya inaonekana anaingia na nuksi, kwanza jezi zilivuja, wakakanusha kwamba sio zenyewe, kwamba zilizovuja zilikuwa sample, cha kushangaza kumbe ndiyo zenyewe, kuna wengine walisema kama itakuwa ndiyo zenyewe basi avae bwana Amberruty mwenyewe, sasa imethibitika ndiyo zenyewe, Je...
  17. Nanunua laptop mbovu

    Lete Laptop mbovu nikupe pesa. Ilala - Dsm 0767953873
  18. Jezi mpya Yanga ni bora lakini shingo ni mbovu, sio rafiki kwa shingo.

    Nimeinununua moja ya kijani, kitambaa ni bomba sana lakini imeshaniudhi shingoni. Material waliyoweka kuzunguuka shingo sio laini (soft) kiasi cha kutia karaha kwenye ngozi na mishipa ya singo pale inapogusa sehemu hizo. Kama wangebadilisha kitambaa kinachozunguuka shingo ingekuwa nzuri sana...
  19. A

    KERO Mashine ya MRI Mloganzila Hospital ni MBOVU

    Habarini, naleta taarifa hii kwa masikitiko makubwa sana kwa mara nyingine tena kwa sababu jambo hili sio mara ya kwanza kuripotiwa Mashine ya MRI (Magnetic resonance imaging) katika Hospitali ya Mloganzila ni mbovu takribani mwezi mmoja na nusu na hali ni mbaya, wagonjwa wengine inawapasa...
  20. H

    Elimu ya mkoloni haikuanzishwa kwa Waafrika ili iwape maisha bali ili wawatumikie wakoloni ktk kada za mbovu

    Jitafakari!!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…