Naomba nitoe kero yangu kwa mkuu wa shule na Makamu mkuu wa shule ya Sekondari ya Wasichana ya Dr. Tulia, Mbeya
Kero; Hawahudumii watu kabisa (wageni wanaofika) ,watu wanakwenda shuleni kwa shida mbalimbali lakini wanaambiwa na mlinzi, 'wahusika bado hawajafika', lakini kiuhalisia wahusika wapo...