mbona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Ibada za wakiristo mbona siku hizi zipo hivi?

    1. Utakuta baadhi ya makanisa saa 11 alfajiri yanaanza ibada kwa kutumia maspika makubwa yanayotoa sauti kubwa . kama unaishi Mitaa ya Mbabaga basi hadi Kongowe utasikia. na sio kama sauti ya mchungaji bali ni nyimbo na mziki wenye kurindima na kutikisha nyumba 2. Ukiwa kanisa lipo karibu na...
  2. JamiiForums Tanzania Yanga SC mbona Kimya si tayari Simba SC tumeshawaachieni mliyekuwa mnamtumia Kutuumiza Kipa Aishi Manula, mtamtangaza lini Kumchukua awasaidieni?

    Kudadadeki unachezea Simba SC Wewe wakiamua lao. Si alikuwa anadhania tunatania? Kabipu Watu wamempigia.
  3. JamiiForums Tanzania Mbona kama Aziz Ki anaweweseka kukaa karibu na Hamisa?

    Oya nyie vijana wageni mnaotoka na wanawake classy embu acheni kuonesha mnaweweseka public. Hapa Hamisa ana muinjoy tu Ki. Huyu Hamisa ana akili sana. Ampopoe tu.
  4. JamiiForums Tanzania DSTV, mbona kisimbuzi kina reboot?

    Decoder ya Dstv ina reboot, haifungui channels. Tatizo limeanza jana mpaka leo bado linaendelea. Ni kwangu tu au kuna maintenance inaendelea?
  5. JamiiForums Tanzania Hii basketball team ya USA imekusudia Nini mbona imesheheni mastar tupu!

    Na sio team TU hadi mashabiki ni mastar maana naona kina queen latipha n.k in da house baby
  6. JamiiForums Tanzania Hivi madaktari wasasa mbona mnageukana?

    Jf wasaalam 🙏 Nina hoja kadhaa wa kadhaa naomba nisikilizwe na kupewa majawabu. Kwa Sasa tumeshuhudia wimbi kubwa la ma doctor hasa kwenye mitandao ya kijamii wakitumia Account zao kutupa elimu za namna Gani ya kuishi huku tukitunza afya zetu. Ni jambo jema na tunawapongeza sana Kwa kutumia...
  7. JamiiForums Tanzania Mbona Olympics kimya sana, Ushiriki wetu ukoje kwenye jukwaa kubwa la kidunia ?

    Kuanzia wiki hii hadi katikati ya mwezi wa nane kuna mashindano makubwa sana ya Olympics yanayoendelea huko Paris, Olympics ni mashindano makubwa zaidi baada ya kombe la dunia. Mashindano ya nwaka ya Olympics yana thamani ya karibia dola bilioni 10 za Kimarekani, haya ndio mashindano...
  8. JamiiForums Tanzania Makonda yupo wapi mbona kimya kingi

    Shalom, Waungwana yuko wapi Paul Makonda, amejificha wapi nyakati hizi za kutoka kwa akina Yape na Nujauri? Wadiz
  9. JamiiForums Tanzania Aibu nyingine mbona zinaepukika? Wanawake badilikeni. Huyu mwenzenu kanichekesha sana

    Kuna mwanamke mmoja alitishia sana mtaa kutokana na uzuri wa sura na rangi ya mwili aliyonayo. Kati ya Predators waliovizia vizia nami nilikuwa mmoja wao Nilipoona binti mwenyewe ni aina ya staki nataka nikamuweka chini na kumuomba anipatie jibu moja, akasema hanipendi. Nilipomuuliza sababu...
  10. JamiiForums Tanzania Democrats wa Marekani wamechanganyikiwa? Mbona wanajiendea kama gari bovu?!

    Mbona karibia viongozi wote wa chama cha Democrats wamekimbilia kumuunga mkono Kamala Harris ambaye ni mtu wa mrengo kushoto wa mbali kabisa na mwenye nakisi kubwa katika CV yake panapo masuala ya uchumi na usalama? Kwanini vigogo wa Democrats hawakutaka kujielekeza zaidi kuwaachia wajumbe wa...
  11. JamiiForums Tanzania Potea potea ya watoto imezidi, nini tatizo, mbona Serikali iko kimya?

    Kila kukicha matukio ya kupotea kwa watoto, huku wakija kupatikana wakiwa hawana viungo vya sehemu za siri. Shule nyingi Mbagala watoto wameacha kwenda shule wakihofia usalama wao. Walimu wakapendekeza kila mzazi ampeleke mtoto wake shule na kumrudisha, wazazi wamegoma ssbabu hawana huo muda...
  12. JamiiForums Tanzania Mbona Maafisa wa Habari wa Timu za Tanzania zilizoshiriki 'Kagame Cup' ya mwaka huu hawatuambii imekuwaje 'Wametepeta' mapema sana?

    Itasaidia sana kama wakisema kile Kilichowaponza ili Vilabu vingine vya Simba, Azam na Yanga vijifunze kwa baadae.
  13. T

    JamiiForums Tanzania Mshanajr mbona kimya!!!?

    Sio kawaida huyu member kukaa kimya hivyo.....kulikoni? Jukwaa linazidi kukosa watu WA maana...
  14. JamiiForums Tanzania Sky News majuzi walikuwa busy Kushangilia kutinga Fainali hadi kusitisha Vipindi vyao Vingine mbona Usiku huu wanajifanya kama bado hawana Matokeo?

    Yaani Msipenga leo kajua kweli kutufurahisha Watu ambao hatupendi Shobo na Sifa za Watu Fudenge Wakoloni wetu.
  15. JamiiForums Tanzania Hivi TBC ni ya Serikali au ya chama tawala, Mbona habari za vyama pinzani hazisikiki?

    Habari wanJF. Hivi huwa najiuliza TBC ni ya Serikali au ni ya chama Fulani, mbona huwa wanazungumzia habari za chama kimoja tu kwani vyama vingine havina haki kutangazwa? Kama ni hivyo vyama pinzani fungueni na nyie media zenu.
  16. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini divai kwa Catholics huwa wanakunywa mapadri peke yao?

    Makanisa mengine kama Lutheran na Anglican divai Huwa watu wanashiriki lkn Kwa catholic Huwa wanakunywa wenyewe tena wanazinywea kitimito kabisa kwenye makazi yao
  17. JamiiForums Tanzania Heko Waziri Nchemba kwa Kuitembelea Shule yako ya Ilboru ila mbona Walimu wa Masomo mengine hukuwatembelea na umemtembelea Mmoja uliyefaulu Somo lake?

    Sawa Somo la Jiografia tokea Form One hadi Four ulipata A na pia kuna Mwalimu wako mwingine Blanca Shao nae alisema kuna Somo lake ulipata A. Hongera kwa Ufaulu huo ila GENTAMYCINE ( Mtani wako kutoka Mkoani Mara kwa Wazanaki ) nakuuliza Mtani wangu Wewe Mshamba kutoka Mkoani Singida kwa Watani...
  18. JamiiForums Tanzania Wakili Kibatala: Nitasusia Uchaguzi was TLS kama Mwabukusi asiporudishwa kwenye orodha ya Wagombea

    Katika kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (Tanganyika Law Society -TLS), utakaofanyika Agosti 2, 2024, Wakili Msomi Peter Kibatala ametishia kususia Uchaguzi huo ikiwa Wakili Boniface Mwambukusi hatarudishwa kwenye orodha ya Wagombea Soma; Kamati ya Rufaa ya Uchaguzi...
  19. JamiiForums Tanzania Hii ratiba mpya ya SGR mbona kama treni ya haraka ndo inaenda polepole kuliko ya kawaida

    dkk 8 tu zimeachana uharaka wake upoje ama mimi ndo sijaelewa.
  20. JamiiForums Tanzania Kwenu JWTZ mbona sasa inakuwa hivi?

    Miongoni mwa majeshi ninayo ya heshima ni JWTZ lakini mbona baadhi ya askari wenu wanadhalilisha jeshi? wanazinguwa bar na sare za kazi ama unamwona mtu kalewa chakari ndani ya sare.Askari kama huyu huko kambini hachunguzwi na kudhibitiwa ili kuleta nidhamu kwa jeshi?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…