mbinu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ni vigumu sana kuwashinda Chadema kwenye jicho la Kisheria, ndo mana mbinu zote za CCM na System zinakwama

    Unaposhindana na Chama kilichojaa manguli wa kisheria waliosoma Sheria ndani na nje ya Tanzania tena kwenye vyuo bora kabisa duniani vinavyofahamika kutoa Wanasheria bora kabisa ni vizuri uwe makini na smart sana. Hiki ndo kinachowakuta system na CCM kwa sasa. Kwa kuwa system haijawahi ku...
  2. Mbinu za kukusaidia kuomba vizuri kwa muda mrefu - 1

    MBINU ZA KUKUSAIDIA KUOMBA VIZURI KWA MUDA MREFU-1 Nakusalimu katika jina la Yesu Kristo Bwana wetu. Leo nataka nikupe mbinu kadhaa za kukusaidia kuomba vizuri na kwa muda mrefu. Hakikisha Unafuatilia somo hili Hadi mwisho na Mungu atakuinua viwango vingine kimaombi. Ni muhimu sana kwa mwana...
  3. Manipulation: Mbinu iliyotumika na CIA kukichukua kisiwa huko Ufilipino na Sakata la Sumu Ofisi za Chadema huko Mbeya.

    Kuelekea Vita kuu ya Pili ya Dunia Marekani alikuwa na uhitaji mkubwa sana wa visiwa katika Bara la Asia kwa ajili ya kujenga Kambi zake za kijeshi.Moja ya maeneo yaliyotambuliwa na Marekani ni visiwa vilivyopo karibu na Nchi ya Ufilipino. Pamoja na kutumia mbinu zote kuwashawishi wakazi wa...
  4. Ishi ndoto zako, mbinu za kujiepusha na magonjwa ya Figo na mfumo mzima wa Mkojo

    Habari wakuu, nimewaandalia video fupi kuelezea juu ya mbinu za kujiepusha na magonjwa hasa yatokanayo na kufeli au kudhoofika kwa Figo na mfumo wa mkojo kwa ujumla, hope utaelimika na kuiishi uwe na afya njema.
  5. Mbinu ya kuzima mabadiliko ya watu wenye tamaa za madaraka imefeli badala yake imechochea mwamko mkubwa wa mabadiliko nchini na duniani kote

    Kila siku zinavyozidi mbinu ya wenye tamaa ya madaraka kuzima mabadiliko kwa uhalifu na utekaji, uwepo wa kesi za mchongo, kwa kujificha kwenye kichaka cha demokrasia na amani ndio inaamsha watu ndani na nje ya nchi kuunga mkono kwa kasi mabadiliko hayo, uwenda pia bunge la marekani na dunia...
  6. S

    Mbinu za kujificha mtandaoni na kwa social media

    Hizi ni mbinu za kuficha ID yako: 1. Tumia VPN (Virtual Private Network) kila mara Inaficha IP address yako halisi. Inaifanya shughuli zako zisifuatiliwe kirahisi. VPN nzuri: NordVPN, ProtonVPN, ExpressVPN. 2. Tumia Browser ya TOR Huficha utambulisho wako kwa kuzungusha mawasiliano yako...
  7. M

    CHADEMA hawana tena mbinu zimeisha wanasubiria miujiza

    Ukiangalia matukio yanayotokea dhidi ya viongozi na wafuasi wa chadema ni wazi kabisa kama wameishiwa mbinu na wanategemea Mungu atende miujuza Ukisoma tweet za lema au heche unasikitika sana na unajiuliza hivi hawa ni viongozi kweli hivi unafikiri aman au mabadiliko yataletwa mezani serious...
  8. Tusaidiane, nipeni mbinu nimalize mchezo

    Kuna jamaa nilikua napiga nae story akaniambia, Kuna ndoto anaota inajirudia rudia, inamsumbua na haipendi. Anaota parapanda inapigwa mwisho wa dunia umefika na yeye bado hajatubu makosa yake, anakuwa kwenye hofu kubwa na kuanza kuomba msamaha na kujitetea. Ikabidi nimpe tafsiri ya hiyo ndoto...
  9. Mbinu saba zinazotumiwa na CCM kubaki madarakani na nini wapinzani wafanye kuiondoa madarakani

    Wakuu Habari! Heri ya siku kuu ya Pasaka Kwa Wakristo wote. Nitumie pia nafasi hii kuwatakia Kila la Heri watani zangu wa jadi Simba sc Kwenye Mechi Yao ya mkondo wa kwanza nusu fainali SHIRIKISHO barani Afrika hapo kesho dhidi ya Stellenbosch. Kabla sijaenda Kwenye mada ni declare interest...
  10. What do you with a research paper after its been published?

    I was just wondering what actions are taken once you finish and publish a research paper. I'm not all that experienced nor informed, so I'm just genuinely curious what could be done with one's research after it's finished. I'm talking more so about humanities research, so it's not necessarily...
  11. Majina ya miundo mbinu yanaweza kutangaza Utalii...

    Pamoja na kwamba sina tatizo na majina yanayotolewa kwa huduma/miundo mbinu Nchini ILA napendekeza ile miundo mbinu yenye sura ya kimataifa ipewe majina ya kuwakilisha vivutio vyetu kama sehemu ya kutangaza Nchi Nikisema sura ya kimataifa , naanisha miundo mbinu ambayo kwa kiasi kizuri...
  12. Kwanini wananchi hatulalamiki kuboreshwa miundombinu ya magereza na vituo vya Polisi nchini Tanzania?

    Ukipata bahati ya kutembelea magereza na vituo vya polisi vya hapa kwetu Tanzania hali ni mbaya majengo yamechoka, huko mahabusu sasa ndio balaa yaani ni ovyo ovyo as if huko ni mateso tu ebu serikali ikumbuke kuboresha mazingira kama inavyofanya kwenye afya na elimu basi hawa watu nao...
  13. Uswahili na waswahili. Mbinu za kivuta. Njoo jionee maufundi

    Ooooy! Niaje wakuu, Kwanza kabisa Nina furaha kubwa Sana kwa siku ya Leo kuonekana tena Jukwaani hapa Mara baada ya kipindi kirefu mno tangu Enzi zile za Kina Gentamycine, Nyani Ngabu na Genge lake na Wengine wengi. Embu Leo waswahili tushirikiane katika kuandika zile Sounds/mistari/ maneno...
  14. Vijana mjifunze Kutongoza. Mmenisikitisha Sana kwa waliomfuata Binti Kimoso. Mbinu za kutongoza Mwanamke mtandaoni ni hizi;

    Habari za Jumapili! Hatukatai nanyi ni wanaume mnapenda wanawake wazuri Sana. Hatukatai wanaume tumeumbwa kuwajaribu wanawake kuona yaliyomo yamo na anamsimamo au Hana! Kama mwanaume kutongoza kupo damuni. Sisi Watibeli hatuzuii wake zetu au wachumba zetu kutongozwa kwa Sababu kuu mbili...
  15. B

    PreGE2025 Mbinu za kuzuia uchaguzi ili NO REFORMS NO ELECTION ianze kueleweka haraka kwa watawala

    Bado ccm na serikali Ina haha ni kwa namna Gani CHADEMA inaenda kudhibiti uchaguzi mkuu ingali vyombo vya ulinzi viko kwake pasipo watu. CHADEMA yenyewe Ina watu ndio maana hamasa imekuwa kubwa sana kuitikia hii kauli mbiu ya NO REFORMS NO ELECTION. Nasisitiza viongozi wa CHADEMA kuungana kwa...
  16. Mbinu za Kuwa Tajiri(Milionea) - Sehemu ya II(Part Two)

    Mtu asikudanganye kwamba ukienda kwa wachawi au waganga utapata dawa ya kuwa tajiri. Watu wameenda huko na kutapeliwa kwamba wakiwatoa kafara watoto au wazazi wao ndio watapewa dawa ya utajiri. Ukiwa tajiri kwa njia hiyo basi ujue jehanam inakusubiri kwa hamu ikutafune. Wewe unayefanya biashara...
  17. MBINU 6 ZA MWANAUME KUTOSUMBULIWA NA MAPENZI/ MAHUSIANO.

    Shuka nayo, 🚨🚨🚨NB;Kama hujui kingereza achana na Mapenzi kafanye mambo mengine. 1. The Will to Walk Away From Her Most men fear losing a girl, so they cling, over-invest, and tolerate disrespect. This weakens their position and kills attraction. The man who is willing to walk away at any...
  18. Sifa za kusifika kimapato tofauti na miundo mbinu iliyomo.

    Kuna wilaya utasikia inasifika kimapato mpaka kuwa kinara ila yaliyomo ndio unaweza kuangua kicheko. Mapato yanayo kusanywa tofauti na miundo mbinu iliyopo. Kuna mada hapa JF imetolewa kuhusu wepo wa viwanda vingi na ufinyu wa barabara. Viwanda vinaweza kuwa na mapato makubwa ya wilaya lakini...
  19. Mbinu mhimu za kuishi na watu vizuri

    Zifuatazo ni Kanuni na Mbinu mhimu za kuishi na watu vizuri. Kanuni hizi nilizipata kwenye andiko la gazeti la Mwananchi mtandaoni 2022 na namini zitakusaidia 1: Uwe na tabia ya kupenda watu kwa moyo wote, hali kadhalika na wewe watakupenda. 2: Heshimu kila mtu na kila mtu umwone ni muhimu...
  20. Mbinu za Siri Wafanyabiashara Wakubwa wa Kitanzania Wanazitumia Kupata Utajiri!

    Wadau wa JF, Karibuni! Wadau wa JF, habari za siku? Poleni na pilika pilika za maisha, najua mitaa imewaka, wengi wanahaha huku na kule kutafuta mkate wa kila siku. Lakini si wote wanahaha – wapo wale waliotoboa, wanadunda bila stress, huku wengine wakibaki wakiwatazama tu kwa mshangao. Swali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…