mbili

Mbili (Bambili) and Mbui (Bambui) are dialects of a Grassfields Bantu language spoken in Cameroon.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Hebu tujaribu kusoma ujumbe uliojificha kwenye picha hizi mbili

    Picha ya kwanza ni: Na picha ya pili ni: Kwenye picha ya kwanza Rais Macron wa ufaransa akiwa anakaribishwa na mwenyeji wake rais Zelensky wa Ukraine. Naona kama Zelensky amenuna, ni kama ana bifu fulani!. Rais Macron naona ni kama analazimisha tabasamu angalau ajaribu kumwambukiza...
  2. S

    Fedheha: Marekani imeilipa Urusi bilioni mbili za Ruble ili mwanaanga wa Kimarekani aweze kurejeshwa duniani na chombo cha Urusi

    Katika jitihada za kumrejesha duniani mwana anga wa kimarekani Mark Vande Hei toka anga la mbali, Marekani imelazimika kulipa ruble bilioni 2 kwa Urusi ili Urusi ikamchukue mwana anga huyo kwa kutumia chombo cha Urusi. Pro-NATO huwa wanatokwa povu hapa JF wakijitahidi kutaka kutuaminisha eti...
  3. Unatambua nini kuhusu hizi picha mbili za Rais Putin?

    Hapo Rais Putin na Macron wa ufaransa wakiwa Russia Vita ilikuwa imeanza ukraine Hapa Putin na mwenyekiti wa AU -Africa united wakiwa Russia ilikuwa jana
  4. J

    Kafulila: Bei ya Umeme Kenya ni mara mbili ya Tanzania

    KAFULILA: BEI YA UMEME KENYA MARA MBILI YA TANZANIA Mkuu wa Mkoa Simiyu, David Kafulila amesema takwimu za ulinganisho wa bei ya Umeme Afrika mashariki zinaonesha kwa wastani watanzania wanatozwa bei chini ya umeme kuliko nchi zote Afrika mashariki na kusisitiza kuwa nafuu hiyo ya bei ni...
  5. Uwepo wa kitu kimoja sehemu mbili tofauti kwa wakati mmoja

    Habari! Naomba nijadili na ninyi hili jambo ambalo limetutokea juzi Mimi na rafiki yangu. Miaka kadhaa iliyopita nimewahi kusimuliwa na jamaa mmoja ambaye scientific calculator yake ikiwa nyumbani kwake na kuna rafiki yake aliitumia kwenye paper chuoni kwa kipindi kimoja. Yaani the same time iko...
  6. SOLD: Eneo Lenye Pagale Mbili linauzwa-Boma Ng'ombe

    Eneo lenye Pagale Mbili Linauzwa Eneo Lipo Boma Ng'ombe kwa Wasomali.KM 1 kutoka barabara kuu ya Moshi Arusha. Eneo lina Pagale Mbili Moja Self ya Vyumba 3 na NYingine in ni Double yenye Master Room. Bei ya Eneo ni Milioni 18 ila Maongezi yapo. Kwa mawasiliano Piga Simu nama 0757323060.
  7. Watu milioni mbili duniani wanaishi na Ugonjwa wa Fistula

    Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Dk. Rashid Mfaume amesema ugonjwa wa fistula ya uzazi bado ni tatizo nchini na kwamba zaidi ya watu milioni mbili duniani wanaishi na ugonjwa huo. Amesema hayo kuelekea Siku ya Fistula Duniania Mei 23, ambapo mbali na idadi hiyo pia kuna visa takribani laki...
  8. R

    Nawezaje kuconnect wata mbili kutoka switch 2 tofauti zitoe socket moja ili tushare router

    Wakuu mpo Kuna shida uku wadau Sisi wengine kubana matumizi ni pambo la lazima sasa kuna shida huku Kuna ofisi mbili zinajitegemea na zipo mbali mbali ila tunashare internet ya ZUKU. Main router ipo ofisi moja sisi tuka connect na ethernet cable tukaonga na router nyingine Kuenye ofisi...
  9. Plot4Sale Eneo Heka mbili - linauzwa Bagamoyo

    Eneo linauzwa Heka mbili zote kwa Tzs. 16,000 ,000 Mahali: Eneo lipo km 4 kutoka Barabara kuu ya Bagamoyo, ukitokea bunju Ni upande wa kushoto kabla hujafika Bagamoyo mjini . Lipo karibu na shule ya msingi MATAYA . Eneo Lina Michungwa na minazi Unaweza Shuka Kitopeni au Kibaoni kabla ya...
  10. Rais Samia kufanya ziara ya Kiserikali nchini Uganda kwa siku mbili

  11. Kauli mbili tata za Rais Samia

    Shalom, Kuna umuhimu sana wa Rais Samia kuchuja baadhi ya kauli zake, nimesikia kauli mbili zenye madhara Yale Yale huku kauli Moja ikikosa nguvu. Anasema kwamba, ukitaja hadharani kuwa umewaongezea salary Wafanyakazi basi wafanyabiashara watapandisha Bei ya vitu holela na kufanya Hali kuwa...
  12. Nilitaka kumuoa binti wa Dini tofauti na yangu vita kubwa ikaibuka. Kuna kitu gani kati ya hizi dini mbili?

    Yeye akiwa ni Muislam na mie Mkristo; Alikuwa pisi haswa, mtoto mkaree kila angle na anayajua mapenzi haswa, nikasema tabu za nini hasa ukizingatia binti mwenyewe ananitii kila nnalomwambia, sikuwa na upinzani wowote kwake, najipigia mwenyewe tu ki uhakika. Sasa nilivyotangaza tu kumuoa na...
  13. Makamu Rais wa Marekani, Kamala akutwa na maambukizi ya Uviko-19 licha ya kuchanja mara mbili

    Makamu wa Rais wa USA Kamala Harris tests positive with Corona virus … ======= (CNN)Vice President Kamala Harris tested positive for Covid-19 on Tuesday after returning from a weeklong trip to California. "Today I tested positive for COVID-19. I have no symptoms, and I will continue to...
  14. D

    Serikali (NEMC na TCRA) kuna pesa za bure hapa wala msijiulize mara mbili

    Kila idara ya serikali siku hizi ina vyanzo vya mapato! Ndungu zangu NEMC naona bado wamelala usingizi wa pono wakati kuna pesa kibao za kuokota! 1. Sheria na kanuni za mazingira ziko wazi kabisa! Hivyo basi! Nashauri NEMC ianze kutoza kodi ya spika na miziki mikubwa katika kumbi na taasisi...
  15. Kwa tabia za kuabudu mataifa wanayoishi hawa Diaspora, ni vyema Serikali isiruhusu uraia wa nchi mbili, ni rahisi sana kusaliti nchi

    Hawa ni rahisi sana kutumika na mamlaka za nchi wanakoishi. Diaspora wanaomba wawe na uraia wa nchi mbili, yaani wawe marekani na ulaya, sijui Asia na pia wawe watanzania, wale huku na kule. Tabia ya ulafi. Juzi wamejionyesha wako upande gani, wako upande wa maadui wa taifa, mabeberu
  16. SURA MBILI ZA ZITTO KABWE, Je wewe unamwongelea katika upande gani?

  17. Putin; Maadui zetu mjifikirie mara mbili kwa hili bomu

    Russia successfully tested the Sarmat intercontinental ballistic missile (ICBM) with President Vladimir Putin boasting the nuclear-capable projectile will make Moscow’s enemies “think twice”.
  18. M

    Kampuni ya Africell inadai ukiweka hela ndani ya siku 3 unapata Mara mbili yake. Je, imesajiliwa TRA, BRELA?

    Kuna Kampuni inadai wao wanajishughulisha na biashara mbalimbali, ikiwemo kuuza na kununua Mafuta oil diesel duniani, kuuza bizaa mbalimbali, kununua Madini, usafirishaji wa meli. Wao wanadai wanesajiliwa TRA, Brella, staili yao ni Moja tu, ukiwekeza kuanzia laki moja Hadi milioni 50 ndani ya...
  19. M

    Simba ni moja ya timu mbili tu kati ya timu NANE (8), zilizofanikiwa kushinda mechi ya kwanza ya robofainal confederation cup.

    Wale wanaobeza ushindi wa goli moja wa Simba dhidi ya Orlando Pirates ya Afrika ya kusini, ni vizuri wakafahamu kuwa: 2. Kati ya timu NANE zilizoingia robo fainali ni timu MBILI tu zilizoibuka na ushindi kwenye mechi ya kwanza ya robo fainali, timu hizo ni SIMBA na Al Masry. Al Masry iliifunga...
  20. DRC: Watu 30 wauawa katika mashambulizi ya siku mbili

    Zaidi ya watu 30 wameuawa katika shambulio linalodaiwa kufanywa na Vikundi vya Jihadi, Aprili 11 na 12, 2022, Kaskazini Mashariki mwa DR Congo, Shirika la Msalama Mwekundu limetoa taarifa hiyo. Waasi wa Allied Democratic Forces (ADF) ni moja ya makundi yenye silaha, waliwashambulia watu katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…