mbezi

Mbezi is an administrative ward in the Kinondoni District of the Dar es Salaam Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 32,641.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tuanze na Malori, yaishie Pwani kwenye Dry port , badala ya kupambana na wenye mabasi, kwenda Mbezi!

    Mabasi yapo Maeneo Mengi ya Dar kwenye ofisi zao Binafsi ili kuturahishia Maisha.sio chanzo cha Foleni! Shida ni Yard na Maloli kila kona, Mkuu wa Mkoa aelekeze nguvu zake kwenye Malori na Dry Port zinazooteshwe kila kukichq! Walitengewa eneo lao Pwani, kwanini waendelee kusumbua maisha ya watu...
  2. JamiiForums Tanzania NYUMBA INAUZWA,IPO MBEZI BEACH RAMADA,BEI NI DOLLAR MIL 1.3

    LUXURY NEW HOUSE FOR SALE —————— At mbezi beach RAMADA _Dar es salaam,Tz —————— Nyumba Ya Gorofa ▶️ 4 bedroom all ensuite ▶️ Swimming pools,Gym,Solar ▶️ Servants quarter CCTV CAMERA ELECTRICAL FENCE —Plot area 1,800 sqm —————————— With clean title deed 📑 Hati safi ya wizara —————-...
  3. JamiiForums Tanzania Kituo cha Afya Mbezi kiboreshe huduma, kuna kompyuta moja tu, huduma zipo slow sana

    Mimi ni mdau wa afya ila kitu kinanikwaza kutoka Kituo cha Afya Mbezi, kituo hakina kompyuta za kutosha, vyumba vitatu vya madaktari chenye kompyuta nzima ni kimoja tu. Tupo hapa tumelundikana kusubiri huduma uongozi hata hautoi mwafaka wanapitapita tu, kuna daktari mmoja, wengine wanazunguka...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mwendokasi wana-charge nauli ya Tsh 2,000 kutoka Mbezi to Mjini. Magari yote yanatumia gas ambayo ni nishati nafuu

    Wasafiri wanaotumia huduma ya Mwendokasi kutoka Mbezi kwenda mjini wameeleza kusikitishwa na kiwango cha nauli kinachotozwa, ambacho ni Shilingi 2,000 kwa safari moja. Wananchi wanasema hali hiyo imekuwa kero kubwa, hasa kwa kuzingatia kuwa mabasi hayo yanatumia gesi (GAS), ambayo ni nishati...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kituo cha Daladala "Kwa Yusuph" Mbezi Mwisho kutumika kama Kituo cha Malori, si salama

    Hapa ni kwa Kituo cha Daladala cha "Kwa Yusuph" kilichopo Mbezi (Morogoro Road) kwa sasa kimegeuka kuwa stendi ya magari makubwa (malori) yanayosimama kwa ajili ya kupakia abiria pamoja na gari ndogo zinazosafirishwa kwenda mikoan na nchi jiran, (IT) bila kusahau mabas kwa nyakari za usiku. Hii...
  6. JamiiForums Tanzania Viwanja 2 mbezi -Luguruni vinauzwa

    VIWANJA 2 – MBEZI LUGURUNI VINAUZWA Je, unatafuta kiwanja kwa ajili ya makazi au uwekezaji? Hii ni fursa yako! 📍 Eneo: Mbezi Luguruni 🔹 Kiwanja cha 1 📐 Ukubwa: 700 m² (SQM 700) 💰 Bei: TSh Milioni 15 🔹 Kiwanja cha 2 📐 Ukubwa: 1,300 m² (SQM 1300) 💰 Bei: TSh Milioni 35 ✅ Vyote vimepimwa na vina...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kelele za mitambo ya kiwanda cha Kerai Construction Ltd- Mbezi Jogoo (Dar) zinatutesa wakazi wa karibu

    Wakazi wa Mbezi Juu, Mtaa wa Jogoo, Jijini Dar es Salaam tunaathiriwa na kelele zinazotokana na kiwanda cha zege cha Kerai Construction Ltd, ambacho kinajihusisha na uzalishaji wa bidhaa za ujenzi. Kiwanda hicho, ambacho kipo karibu na maeneo ya makazi, kimekuwa kero kubwa kwa wakazi wa maeneo...
  8. JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Mbezi Makabe-kwa Paulo

    KIWANJA KINAUZWA – MBEZI MAKABE (KWA PAULO) 📍 Mita 150 kutoka Barabara Kuu ya Mbezi Makabe, kimepakana na barabara kuu ya mtaa. 📐 Kiwanja kimepimwa Ukubwa: 4,333 m² (Takribani Ekari 1.07) ✅ Eneo Kuu: 3,131 m² ✅ Swamp: 1,202 m² ⭐ Sifa za Kiwanja ✔️ Eneo ni tambarare, halina mabonde wala...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa BCEG Mbezi Beach tunashukuru Mamlaka Kufanyia Kazi Malalamiko yetu

    Siku chache zilizopita tuliwasilisha malalamiko kuhusu changamoto tulizokuwa tunakumbana nazo katika eneo letu la kazi la BCEG Mbezi Beach, ikiwemo madai ya makato ya michango ya NSSF kutowasilishwa pamoja na masuala mengine ya ustawi wa wafanyakazi. Hoja ya awali ~ Waziri wa Ujenzi na RC wa...
  10. JamiiForums Tanzania Viwanja vinauzwa Mbezi St. Joseph na Luguruni

    VIWANJA VINAUZWA – MBEZI ST. JOSEPH NA Mbezi LUGURUNI 📌 Ukubwa 20×20 – Bei TSh Milioni 13 📌 Ukubwa 22×33 – Bei TSh Milioni 15 ✅ Viwanja vipo mtaa mzuri kwa makazi ✅ Gari zinafika mpaka kwenye viwanja ✅ Vinamiliki nyaraka halali na dokumenti zote muhimu Kwa maelezo zaidi na kupanga kutembelea...
  11. JamiiForums Tanzania HOJA Ushauri wangu: Mabasi ya abiria ya mikoani yaishie Mbezi Magufuli

    Sioni haja ya kila kampuni ya mabasi iwe na kituo chake cha kushushia abiria, inatosha wakiishia kituo kikubwa cha mabasi Mbezi Magufuli itasaidia kupunguza msongamano ktk mji na pia stendi ya Magufuli haitopoteza mapato na wafanyabishara watanufaika.
  12. JamiiForums Tanzania Nyumba ya kuishi au kubomoa inauzwa Mbezi njia ya Goba

    Habari maboss Kiwanja chenye nyumba kinauzwa Sqm 300 Docoment serikali ya mtaa Eneo linaangalia barabara ya kwenda mitaani ambayo inapita magari aina yote ispokuwa ya abiria na mizigo mikubwa.Kwa badae Rami itahusika. Kutoka eneo lilipo Hadi BaraBara kuu ya kwenda Goba au Madale kutokea...
  13. JamiiForums Tanzania Heka 1 inauzwa Mbezi Msakuzi

    HEKA 1 INAUZWA – MBEZI MSAKUZI Eneo zuri lipo sehemu ya center. • Ardhi imenyooka, hakuna bonde. • Inafaa kwa makazi, biashara au uwekezaji. Bei: TSh Milioni 70 tu Wasiliana: 0675 065 906 Wahi sasa kabla halijapata mnunuzi.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta chumba na sebule maeneo ya Mwenge mpaka Mbezi Africana

    Wakuu, natafuta nyumba ya kupanga self-contained kiwe chumba kimoja na sebule. Maeneo ya Mbezi Africana kurudi mpaka Mwenge na Kawe. Isiwe mbali na barabara kuu. Meter ya maji na Luku ya umeme kujitegemea. Itapendeza ikiwa ndani ya geti na yenye sehemu ya kuegesha magari ndani. Budget...
  15. JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa, ipo Mbezi Msuguri, bei tsh 240m

    GHOROFA INAUZWA MBEZI KWA MSUGURI#### INA HATI YA WIZARA(CLEAN TITTLE DEED)#### INA VYUMBA 4 KULALA VYOTE MASTERS, SEBLE, JIKO, DINNING NA CHOO LUBLIC##### UKUBWA WA KIWANJA SQM 2000*****UMBALI KUTOKA LAMI KM 1### BARABARA NI LAMI#### BEI MILLION 240 MAONGEZI!!!! 🇹🇿Call/WhatsApp...
  16. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Viwanja Mbezi mpigi magoe-machimbo

    📢 VIWANJA VINAUZWA – MBEZI MPIGI MAGOE (MACHIMBO) 📢 🔥 Fursa ya kipekee ya kumiliki kiwanja eneo zuri na lenye maendeleo! 🏡 Viwanja vimebaki 7 tu 💰 Bei: Milioni 10 kwa kila kiwanja 📍 Eneo: Mbezi Mpigi Magoe – Machimbo ✨ Sehemu tambarare (flat land) 🚗 Barabara inafika hadi site 📞 Piga simu: 0675...
  17. A

    JamiiForums Tanzania RESOLVED KERO Waziri wa Ujenzi na RC wa Dar tusaidieni Wafanyakazi BCEG Mbezi Beach tunakatwa NSSF lakini hazipelekwi

    Kero yetu sisi wafanyakazi wa Kampuni ya BCEG Construction. Tunaomba Waziri wa Ujenzi au Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam afike kwenye mradi wetu uliopo Mbezi Beach, karibu na Ramada au Whitesands—ni mradi wa waste water treatment. Kuna mambo mengi yanayoendelea hapa ambayo siyo sahihi, na hatuna...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Daladala za Mbezi – Makumbusho zinaishia Magomeni, abiria tunateseka

    Tunapata changamoto Magari ya Mbezi To Makumbusho Via Kimara Hayapakii Ruti Ya Makumbusho yanaishia Magomeni Ni Kero Kwa Abiria Wengi Ndani ya Stendi ya Mbezi Luis. Pia soma ~ LATRA: Tumeanza kufunga ving'amuzi vya VTS kufuatilia Daladala zinazokatisha ruti na kuzidisha nauli
  19. JamiiForums Tanzania Mbezi Magufuli kuna gari za kwenda Mbweni Gen Isamuhyo?

    Tunaotaka kwenda kuangalia mpira tunaomba ramani sisi wageni yakufika uwanjani.
  20. P

    JamiiForums Tanzania KERO Hii foleni Mbezi Beach barabara ya chini ni kiboko, hadi bajaji na baiskeli zinakwama!

    Wakuu, ushaona foleni hadi bodaboda inakwama sehemu inabidi isubiri gari zisogee? Sasa huku ni hizo gari chache ambazo zinatoka Mbezi juu, hali ya huko si ndio italuwa balaa? Na hii si asubuhi wala jioni, hakuna afadhali, ukizingatia barabara ni ndogo. Yote haya ni kufanya ujenzi bila plan ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…