Mkuu wa mkoa wa Mbeya amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa kutoa mkono wa Eid El Fitri kwa watoto wenye uhitaji maalum kwenye makao ya watoto 23 mkoani humo,
Bidhaa mbalimbali zimetolewa ikiwemo mchele, unga, mbuzi, mafuta ya kupikia na vinywaji...