Blaise Lelo Mbele (born 10 August 1987) is a retired Congolese footballer who last played for Al-Ahli Club. Lelo previously played for different professional clubs such as South African giants, Orlando Pirates FC and the Saudi Arabian club, Al-Hilal FC.
GT
Nishawahi kusema these Chadema people have big brain mara zote wanaona ambako CCM Hawaoni.
1. NRNE: CCM wakaja na mpango wa Oktoba Tunatiki
2. Tone Tone: CCM wakaja na harambee
3. Magwanda: CCM wakaanza kushona Magwanda ya kijani.
4. Kunyanyua Ngumi Juu: CCM wakajaribu kuiga ishara ya ngumi.
Kama mkewe angekuwa katika kongmano huko amsterdam, basi angewaambia wazungu kuwa mume wake alimuomba Mungu ili afike salama mahali pa kuchukulia gesi maana muda ulikuwa ni giza kali usiku na alifika salama.
Ila kwa sababu amekaa na wenzake ambao amezoea kula pesa zao kwa mazigaombwe basi acha...
Habari za majukumu na heri ya sikukuu ya wakulima
ya nanenane wakuu.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,kila taasisi,shirika na kampuni mbalimbali huwa na tarehe maalumu ya kuwalipa wafanyakazi wake.
Je kwa wale ambao tarehe yao ya mshahara ina angukia tarehe nane(8),maana yake kwa mwezi wa...
Wasalam tena ndugu mwana JF za ndani kabsa kutoka katika vyanzo vya karibu na rais wa Ukraine vinasema rais volodymir Zelensky anapanga kujisalimisha mbele ya putin ili kuepusha umwagaji damu wa raia wa ukraine.
Haya yanaripotiwa baada ya simu ya pamoja ya volodymir zelensky rais wa US Donald...
Akizungumza na waandishi wa habari kada wa CCM Salimu Nyomolelo, ameomba uchaguzi wa Wilaya ya Mufindi Kusini usifanyike usogezwe mbele ili uchunguzi ufanyike kwa mwenyekiti na Katibu, ikidaiwa mmoja wa Mgombea wa Jimbo la Mufindi Kusini alitoa Rushwa ya gari kwa Mwenyekiti na Katibu wa Chama...
Wagombea Ubunge na udiwani katika Jimbo la Segerea kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo Agosti 2, 2025 walipoitwa mbele ya wajumbe Kata ya Kiwalani kwa ajili ya kutambulishwa kabla ya kuwaomba kupigiwa kura Agosti 4, 2025. Jimbo hilo lina jumla ya wagombea saba.
No Reforms No Election inaonekana kutekelezwa vizuri na Chama cha Mapinduzi kuliko waasisi wenyewe ambao ni CHADEMA.
Kwa mwenendo unavyoonekana ndani ya CCM kuna hatari ya wao kuvurugana wenyewe kwa wenyewe na kusababisha mchakato wao kurudiwa na Uchaguzi Mkuu kusogezwa mbele, hivyo lengo la No...
Naibu waziri wa mawasiliano na teknolojia ya habari Mhandisi Maryprisca Mahundi amepiga goti mbele ya wajumbe wa mkuato mkuu wa umoja wa wanawake Tanzania UWT mkoa wa Mbeya akiwashukuru kwa kumuamini na kumchagua kwenye uchaguzi wa mwaka 2020, huku akiomba ridhaa kwa wajumbe hao kumuamini na...
Husika na mada tajwa hapo juu.
Hayo makundi yote hapo juu.
Kwa niaba yao nasema Asante Mh. Rais Dr. Samia Suluhu Hassan 🇹🇿
Umeyatendea haki makundi yote hapo juu na mengine ambayo sijayataja, hii ni ibada tosha kwako.
Mfano baada ya Mh Rais kuongeza mshahara nadhani ametajwa kwenye kila...
“Ogopa Mungu na teknolojia,” na tena: “Siku ya kufa nyani, miti yote huteleza.”
Katika mazingira ambayo upatikanaji wa intaneti si wa uhakika—hata simu za kawaida hupata shida ya mtandao.lengo liliikiwa kunyima haki ya mawazo mbadala na kuendeleza hofu ya watawala. Matokeo yake yamekuwa aibu...
Awali ulipangwa kufanyika tarehe 30 October 2005, Baadae ukasogezwa mbele hadi Tarehe 14 December 2005.
Hiyo ni baada ya aliyekuwa Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chadema Kufariki, Jumbe Mohamed Jumbe.
Kumbe Uchaguzi unaweza kusogezwa mbele.
Kuanzia mwezi huu wa saba mpaka wa kumi kila kona ya nchi yetu ukienda maeneo ya mjini ni vumbi kwa kwenda mbele sitaki kuongelea vijijini sababu huko ndo habari ñyingine
Mfano sehemu kama posta, kariakoo kunakuaje na vumbi, mji kama tunduma unakuaje na vumbi, mji kama makambako unakujae na...
Hii record imewahi kutokea lini katika historia ya nchi yetu? Hili si jambo la kawaida hata kidogo. Kama mtampa Moyo kwamba mama usiangalie nyuma songa mbele mnampoteza ndugu yenu.
Huko mbele meli inazama. Narudia meli inazama.
Hii record na trend si nzuri hata kidogo na ni taa kwamba hatari...
Kila jambo katika maisha ya mtu kwa kujua au kutokujua hupata nafasi katika maisha ya mtu kutokana na uchaguzi wa mtu huyo.
Maisha yako ni jumla ya matokeo ya uchaguzi wako.
Linda sana nguvu yako ya kufanya uchaguzi, hayupo anayependa uchague unachotaka.
Taratibu tu mada itaeleweka.
Dkt. Kimei Aingiwa na Hofu Vunjo: Enock Koola Atamng’oa Kwenye Tatu Bora za CCM mbele ya wajumbe?
Na mwandishi wetu Vunjo
Tarehe: 13 Julai 2025
Katika kile kinachotajwa kama moja ya michakato migumu zaidi ya ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa miaka ya karibuni, Jimbo la Vunjo limegeuka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.