mbaya

The Mbayá or Mbyá are an ethnic group, commonly called "Indians", which formerly ranged on both sides of the Paraguay River, on the north and northwestern Paraguay frontier, eastern Bolivia, and in the adjacent province of Mato Grosso do Sul, Brazil. They have also been called Caduveo. In the 16th century the Mbayá were called Guaycuru, a name later used generically for all the nomadic and semi-nomadic Indians of the Gran Chaco. The Kadiwéu people of Brazil are the surviving branch of the Mbayá.The Mbayá called themselves the Eyiguayegis 'people of the palm', a reference to the abundant palm trees in their home country. (The name Eyiguayegis is similar to that of Agaces or aigeis, a name more often applied to the related Payaguá. Possibly the two peoples were nearly the same in the 16th century.) The Mbayá spoke a Guaycuruan language. They were "formidable" fighters and "kept the Europeans – settlers and priests alike – at bay" for more than 300 years.The Mbayá were nomads. With horses captured from the Spanish, the Mbayá developed an equestrian culture by about 1600 and were a serious threat to Spanish and Portuguese settlers, missionaries, and governments in Paraguay, Bolivia, and Brazil until near the late 19th century. They also raided and subjugated other Indian groups, notably the Guana. They were generally friendly with the Payaguá, who lived along the Paraguay River and had a riverine culture.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hizi ni ajali tatu zilizoniachia kumbukumbu mbaya zenye simanzi kwenye akili yangu

    Hizi ni ajali ambazo hadi leo zimeniachia simanzi na kumbukumbu mbaya kichwani mwangu. Sikupoteza ndugu wala mtu yeyote wa karibu ila ziliniumiza mno. 1. Ajali ya moto kwenye bweni la wasichana Shauritanga sec, Rombo Hii ajali ilitokea usiku wa tarehe 18 June 1994. Bweni lilishika moto na...
  2. JamiiForums Tanzania Kipi kinakupotezea pesa na kuharibu uchumi wako

    Najua kuna wahanga wa hizi mambo hebu weka kura yako halatu tusaidiane kujinasua
  3. JamiiForums Tanzania ATCL yaomba radhi kwa kuchelewesha safari ya Mwanza-Dar Februari 21, yasema hali ya hewa ilikuwa mbaya

    Wakuu, ATCL imeomba radhi (hata kama tunajua ni ya mchongo) lakini Msigwa kapata nguvu za kumwambia Zungu mwana ukome:BearLaugh::BearLaugh:. Ila Zungu itakuwa alisahau kuwa serikali/chama kikizingua inabidi useme mitano tena🤣🤣, katoka nje ya script😂😂. Ila ATCL tuambieni, hivi shida ni nini...
  4. JamiiForums Tanzania Tabia yako mbaya kwa mumeo ndio italeta mwanamke mwingine.. wanawake wa nje huondoa udhaifu wa wanawake wa ndani

    SHALOM WANA WA MUNGU ALIE HAI TABIA MBAYA KWA MUMEO NDIO INALETA MWANAMKE MWINGINE KWENYE NYUMBA YAKO MPENDWA ULIEOLEWA MUMEO AKITOKA NJE SHETANI ATAITUMIA KUPATA MWANAMKE AMBAE HANA HIO TABIA UNAYOMFANYIA MUMEO NDANI eg Mwanamke anaemtukana mumewe shetani anamfanya kumkutanisha na mwanamke...
  5. JamiiForums Tanzania Ukimkuta mwanamke ana roho mbaya, ni anayo mbaya kwelikweli

    Muombe Mungu sana katika vitu vya kuhitaji msaada usikutane na mwanamke katili Maana wanakuaga makatili kwelikweli Mwanamke anaweza akakufanyia jambo la ajabu mpaka wewe mwenyewe ukawa unashangaa ground ya jambo hilo Haswa akiwa na gari anaweza hata kukugonga Fanya research fupi Kama ukiwa...
  6. JamiiForums Tanzania Mtu unapataje nguvu kusema Wachaga ni wabinafsi na wana roho mbaya?

    Napata shida kuwaelewa watu au ni chuki tu kwa hawa wachaga au nini utakuta mtu anasema au anadiriki kuzungumza kwamba wachaga ni wabinafsi na wachoyo wanapendeleana wao kwa wao how kivipi? Kiukweli nimefanya kazi na wachaga kiukweli wachaga ni watu poa sana kuliko wale watu kanda ya ziwa mimi...
  7. JamiiForums Tanzania Kama sio roho mbaya na chuki za watawala, Jamii forum ingekuwa platform kubwa sana kusini mwa afrika

    Yeah, ni chuki tu za watawala wetu na Roho mbaya ,ila Jamii forum ingekuwa ipo mbali zaidi ya hapa . Ila ndio hivyo tuna watu kwenye viti vya mamlaka wana fantasize na ku wish jamiiforum isingekuwepo... Hii platform ingekuwa bidhaa ya watu karibia million 300 kwa nchi zote zinazoonhea...
  8. JamiiForums Tanzania Uuzaji wa Akiba ya Dhahabu ni dalili mbaya ya kushindwa kwa dola

    Katika uchumi wa dunia akiba ya dhahabu ya nchi (National Gold Reserves) inatazamwa kama ngao ya mwisho ya uhuru wa kiuchumi. Taarifa kuwa nchi yangu Tanzania inapanga kuuza sehemu ya hazina yake ya dhahabu ili kufadhili miradi ya miundombinu imenistua sana. Ni jambo linalopaswa kutafakariwa...
  9. JamiiForums Tanzania Niliwahi tumia chumvi kuzungushia katika kila angle ya kitanda, usiku nilihangaika sana kulala, ndoto mbaya na taflani kubwa ambayo sijawahi ona

    Sina cha kufaidika kuwadanganya katika hili ila ndio hali ilionipata usiku huo. Wala sikulala na taharuki na wlaa sikulala katika mawazo ya kitanda changu kuwa chumvi ila nilipitia hali ngumu aisee Ningependa kupata elimu nzuri kuhusu chumvi hii ya mawe, ili tusaidiane namna nzuri ya kuitumia
  10. S

    JamiiForums Tanzania Msaada wa sehemu ya kujishikiza wakuu; Hali ni mbaya

    Habari wakuu Week kadhaa nyuma nilileta Uzi wa kumba Akira ya medical lab ila Hadi Leo bado sijafanikiwa kupata Leo nakuja tena kwenu kama kuna MTU ana sehemu hata yakupata nauli Tu kwa siku pia nipate hata Ile sabbu Tu yakunitoa nyumbani Elimu yangu NI diploma, Nina skills kadhaa kama...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania sijui tulimkosea nini Mungu, kutupa viongozi wenye roho mbaya isiyothamini uhai wa watu?

    Nchi yetu kuna kipindi huwa inapita kama kwenye tanuru la moto, yaani ni kama mfano wa Jehanamu la mateso ya watu Uchaguzi wa 2025, sitausahau mpaka nitakapoingia kaburini na sitawahi kutamka jema lolote juu yao wauwaji hawa Nchi yetu imejipata katika uongozi usiothamin hata uhai wa watu 29...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kuna harufu mbaya na kali katika Soko / Machinjio ya Kuku Shekilango (Dar es Salaam)

    Ukipita barabarani maeneo ya Shekilango unakutana na harufu kali sana ya uozo inayotoka machinjio ya kuku yaliyopo ndani ya Soko la Shekilango. Hivi Manispaa husika Ubungo / Kinondoni wameshindwa kudhibiti hali hii? Afya za walaji wanaoenda kununua na kuchinjiwa kitoweo cha kuku ikoje? HAPO...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Miaka 15 iliyopita: Nilitetea ukweli, familia ikaniona mbaya

    Wasalam, Miaka 15 iliyopita kuna uncle wangu mmoja ambaye hatukuwa tunapisha sana umri alifariki kwa ajali akiwa anatoka Dodoma kuja Dar. Labda nikupe historia kidogo ya huyu uncle ambaye pia alikuwa rafiki na mshikaji wa karibu sana. Huyu uncle alikuwa mtu wa mambo mengi sana kwenye kutafuta...
  14. JamiiForums Tanzania Gari zenye dashboard mbaya nikianza na vitz old model na rav4 old model nk

    “Gari zenye dashboard mbaya: Vitz vs RAV4 Old Models – Android haibadilishi look!” Ujumbe wa kuanzisha: Haya jamii nimekuwa nikitazama dashboard za baadhi ya magari ya zamani na nikajikuta nikishtuka. Angalia hizi picha: Toyota Vitz toleo la mwanzo. Pia Toyota Starlet (chini) dash imekaa...
  15. JamiiForums Tanzania Kila mwezi lazima mbunge mmoja afariki baada ya uchaguzi wa Oktoba 29,2025, hii ni ishara mbaya kiroho

    Sisi watu wa rohoni tunaona mengi mno, nadhani wataalam wenzangu wa ulimwengu wa roho mshagundua kuwa hii siyo ishara ya kawaida Baada ya kuapishwa bunge baada ya uchaguzi kila mwezi laZima mbunge mmoja afariki kutokana na sababu mbalimbali Mwezi December, Jenestha Mhagama RIP alipoteza maisha...
  16. JamiiForums Tanzania Dhahabu ya bei mbaya yamkwamisha Burna Boy uwanja wa ndege Morocco

    Mkudha: Rais wa CAF asema Burna Boy alizuiwa katika uwanja wa ndege wa Morocco kwa sababu ya thamani ya vito vyake vya dhahabu Rais wa CAF, Patrice Motsepe, anasema Burna Boy alizuiwa kwa muda mfupi katika uwanja wa ndege wa Morocco baada ya maafisa kuhoji kiasi cha vito vya dhahabu alichokuwa...
  17. JamiiForums Tanzania Mstaafu anayelalamikiwa na wanaCCM kuiharibu nchi hakemiwi. Mzee Warioba anayelitakia mema taifa anaonekana mbaya

    Eti kama anataka kutoa ushauri awe anaenda Ikulu. Je kama ushauri anaoutoa fargha unapuuzwa? Kwa nini asiyatoe yake ya moyoni Mzee Warioba. Vipi kuhusu mstaafu aliyepitisha mgombea kibabe mwezi Januari 2025 kiasi cha kuleta mpasuko ndani ya CCM? Kosa lake nini kuongea na Watanzania wenzake...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Kuna siku Lissu ataenda kumsalimia mbaya wake katika mahabusu ya ICC

    Hii naomba muichukue kama ilivyo kwani ni swala la muda tu. Itakuwa ni kama vile Lissu alipoenda kusalimiwa pale Nairobi baada ya kumiminiwa risasi na jeshi la Farao wa wakati ule. Muda utaongea.
  19. JamiiForums Tanzania Sentensi ikianza na maneno gani unajua inafuata taarifa mbaya?

    Naanza mimi! Nikiskia "Basi aina ya COTECH lilikuwa limetoka mkoani......... najua hapa kishasanuka tayari
  20. JamiiForums Tanzania Kama unadhani siku yako Mbaya, huyu ni zaidi

    Unaweza ukapiga yowe.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…