mbaya

The Mbayá or Mbyá are an ethnic group, commonly called "Indians", which formerly ranged on both sides of the Paraguay River, on the north and northwestern Paraguay frontier, eastern Bolivia, and in the adjacent province of Mato Grosso do Sul, Brazil. They have also been called Caduveo. In the 16th century the Mbayá were called Guaycuru, a name later used generically for all the nomadic and semi-nomadic Indians of the Gran Chaco. The Kadiwéu people of Brazil are the surviving branch of the Mbayá.The Mbayá called themselves the Eyiguayegis 'people of the palm', a reference to the abundant palm trees in their home country. (The name Eyiguayegis is similar to that of Agaces or aigeis, a name more often applied to the related Payaguá. Possibly the two peoples were nearly the same in the 16th century.) The Mbayá spoke a Guaycuruan language. They were "formidable" fighters and "kept the Europeans – settlers and priests alike – at bay" for more than 300 years.The Mbayá were nomads. With horses captured from the Spanish, the Mbayá developed an equestrian culture by about 1600 and were a serious threat to Spanish and Portuguese settlers, missionaries, and governments in Paraguay, Bolivia, and Brazil until near the late 19th century. They also raided and subjugated other Indian groups, notably the Guana. They were generally friendly with the Payaguá, who lived along the Paraguay River and had a riverine culture.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Uhaba wa chakula mwaka 2023 utakuwa mbaya zaidi kuliko watu wengi wanavyodhani, tujiandae

    Published Oktoba 21, 2022  Najaribu kulizungumzia hili kwa sauti kubwa niwezavyo ili watu wanielewe.Ni kwamba mikakati imeshabuniwa na imeshawekwa ili uhaba wa chakula 2023 na kuendelea uwe mbaya zaidi kuliko wakati wowote katika Historia ya Wanadamu,kwa hiyo ni lazima tujiandae. Kwa wenye...
  2. JamiiForums Tanzania US may end aid to Ukraine after midterms – Axios

    The extensive assistance provided by Washington to Ukraine amid its conflict with Russia may be cut if the Republican Party takes control of Congress in the midterm elections on November 8, Axios has reported. Even the harshest critics of Vladimir Putin among the Republicans now acknowledge...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini wana Yanga SC wengi baada ya Msudani kuwafanya kitu mbaya wameangukia katika kauli hii ili kujifariji?

    "Sawa tumetolewa rasmi Klabu Bingwa, ila Jumapili ijayo tarehe 23 Oktoba 2022 Simba SC watatukoma kwa Mkapa" mashabiki wa Yanga SC. Nami GENTAMYCINE nawauliza wana Yanga SC je, mkiikamia hivi Simba SC na kuifunga hiyo tarehe 23 Oktoba, 2022 ndiyo mnatinga hatua ya Makundi ya Klabu Bingwa (CAFCL...
  4. JamiiForums Tanzania Bashe ebu ingilia kati mfumuko wa bei za vyakula la sivyo hali itakuwa mbaya zaidi

    Mchele kg 3000 Maharage kg 3000.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ana hali mbaya kuelekea 2025, Wana-CCM wanatamani wapinzani wapewe nchi. Anaweza asipate hata 30% ya kura

    Tangu nianze kufuatilia siass za nchi hii, sijawahi ona kiongozi wa CCM alie madarakani akikataliwa, kupingwa na kuongezewa vivyo sivyo kama Mama yetu wa leo. Kwanini hali hii? 1. Mama kulinganishwa na Mwendazake Mama kulinganishwa na Mwendazake na hapa ndipo hata baadhi ya wana-CCM...
  6. JamiiForums Tanzania Nitamjuza vipi rafiki yangu bila kumkwaza, kwamba akivua viatu chumba kinajaa harufu mbaya?

    Nina rafiki yangu wa muda mrefu tu na wala hatujawahi kuwa na tatizo, isipokuwa tu akivua viatu yaani chumba huwa kinajaa harufu kali. Ila yeye wala haonagi noma! Nitawezaje kumjuza bila kumkwaza?
  7. JamiiForums Tanzania Nchi ambazo huwa zinabana polisi hali ya usalama huwa mbaya sana

    Wanasema barabara ya kuzimu imesakafiwa kwa nia njema. Watu wanaopinga mauaji yanayofanywa na polisi kwa washukiwa wa uhalifu wana nia njema sana. Na ni kweli kuna polisi waovu na wanatakiwa kudhibitiwa na kushughulikiwa. Lakini hili ni suala la kuangalia kwa makini sana. Ukishaanza kuwabana...
  8. JamiiForums Tanzania Waelezeni watoto hatari na uwezekano wa kufanyiwa vitendo viovu na watoto wenzao

    Nikiwa mdgo sikumbuki Umri lkn nakumbuka matendo waliokuwa wakifanyiana watoto. Sijui Kwa nini nilikubali kuvutwa na katoto lakini kalinizidi Umri kidogo akanivua bukta na kuanza kunilawiti Kwa kweli hakina kitu inaniuma kama Hii kumbukumbu. Uwa nakutana naye na ana watoto wa kike na amemuoa...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto aliyetutamanisha na Hotuba yake nzuri alipoapishwa ndiyo huyu anayelalamika hali mbaya Kenya?

    GENTAMYCINE ni Mtu ambaye huwa kwa 95% siziamini Hotuba za Marais pale wakiwa Wanaapishwa kwakuwa kwa Uzoefu wangu huwa ni Hotuba ya Asali Tamu kwa Kuiona ila Kimatumizi huwa ni Chungu na Mbaya kwa Mlaji / Walaji. Nimemsikiliza na Kumtizama Rais wa Kenya Ruto katika Mkutano wake wa IGAD na...
  10. JamiiForums Tanzania Kumbukumbu ya moja ya tarehe mbaya kutokea (Worse Date Ever)

    1. Binti alikuwa mwanachuo, chuo flani Mkoani. Nimeenda kikazi ndo bado kijana miaka hiyo. Katika kupita pita town nikakutana naye kwenye duka moja la vinywaji. Nikamtamani nikaomba namba ya simu. Akanipa. Baadaye tukawa tunachat na hatimaye nikamwambia kusudio langu na kumtaka aje tupate...
  11. JamiiForums Tanzania Nimeachana naye, najisikia faraja sana

    Huyu mwanadamu ni nyoka. Alinipendaga sana. Tukatoka sana tulibary Sana na kula bata na kudingana, mwenzie mie nikizama na yeye alioza. Wkt yeye akielezea Siri za ndani za Mr wake nikamuon hee huyu vipi ....? Mumewe ni ugonjwa na hali ya uchumi ya familia na kwakweli sikupendezewa na tabia...
  12. JamiiForums Tanzania Tabia mbaya makondakta daladala za Bunju kuja au kuelekea mjini

    Haina haja ya salamu. Hawa wavaa vibaya na wasema hovyo wanatabia nyingi mbovu. Hapa nielezee kidogo nauli. Wandugu kama hujui bei watakukanyaga watakutoza kiasi wanachotaka wao. Kabla mafuta hayajapanda Kwa sababu za vita ya Ukraine vs Russia nauli ilikuwa 750 kutoka pande zote za mbali. Hapa...
  13. JamiiForums Tanzania Ushahidi: Rais Samia unachonganishwa na Mawaziri wako uonekane Mbaya wajipange kwa Urais

    Mwigulu Nchemba ana ushetani mwingi sana. Hana utu hata kidogo,ana kiburi na mjivuni sana. Suala la kuwakata watu pesa zao zikiwa bank na wanapotoa huu watu wameuchukulia kama ni Unyang'anyi wa Serikali yako kwa wananchi maskini. Yaani mmeshindwa kukusanya kodi sasa mnachukua kwenye accounts za...
  14. JamiiForums Tanzania Afrika kila Rais akiingia madarakani anasema amekuta hali ya uchumi ni mbaya. Je, ni lini uchumi wetu utaimarika?

    Naibu Rais, Rigathi Gachagua amesema Serikali ya Awamu ya 5 imerithi Uchumi mbaya kutoka awamu iliyopita na wanatafuta suluhu ya kudumu. Amewataka Wananchi kuwa na subira maana Ndani ya Siku 90 hadi 100 Uchumi utaimarika.
  15. JamiiForums Tanzania Tetesi: Inahisiwa China imemtengenezea tetemeko Taiwan hali mbaya

    Unaambiwa muda huu hakukariki huko Taiwan na hali ya hatari ilishatangazwa tayari. Inasemekana China kaunda Tetemeko la Sunami kuiangamiza Taiwan! Inasemekana lakini.
  16. JamiiForums Tanzania Watoto wengi wanakutwa na Saratani iliyofikia hatua mbaya

    Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Saratani na Damu kwa Watoto kutoka Hospitali ya Rufaa ya Bugando, Dkt. Heronima Kashaigil amesema kuwa watoto 5 hadi 7 wanahudhuria Kliniki ya matibabu ya Saratani kila siku, sawa na watoto 250 kwa mwezi. Utafiti uliofanywa na Shirika la ICCARE Tanzania ulibaini...
  17. JamiiForums Tanzania Kuendekeza "Undugulisation" kumeifanya serikali ya Awamu ya 6 imepwaya Mapema sana. Possibly, hali ikawa Mbaya zaidi.

    -Teuzi zimejaa Wakwe, mashemeji was Mitala kina Mchengerwa ambao hata waboronge vipi hawatatumbuliwa. - Teuzi za watoto was vigogo kina Nape, Makamba, ambao kiuhalisia hawanq jipya tRNA zaidi ya kutafuna nchi na kuumiza watu. - Mwugulu akili hana kabisa na hajawahi kuwa na jambo lolote LA...
  18. D

    JamiiForums Tanzania SoC02 Hakuna mtoto wa bahati mbaya, Anastahiki uwepo wako. Kila mtoto anapaswa kuzaliwa kwa wazazi waliotayari kuwa nae

    VIJANA TUNAWEKA AKILINI SANA MAANDALIZI YA TENDO LA NDOA YA KITANDANI TU ILA TUKUMBUKE MAANDALIZI YA TENDO LA NDOA YA NJE YA KITANDA NI MAKUBWA NA YANAHITAJI MUDA MREFU ZAIDI KULIKO YA KITANDANI SABABU DAIMA TENDO LA NDOA LINA ATHARI ZA DAIMA KWENU NA KWA WATOTO WENU. "Natamani nikipata mtoto...
  19. JamiiForums Tanzania Live satalite image, silaha mbaya inayomuangusha Russia

    Taarifa ni msingi mkubwa sana katika vita, ukijua audui yuko wapi anafanya nini, anavifaa gani ni rahisi sana kujipanga kujilinda na kupanga kushambulia. Live satalite image imeonesha mchango mkubwa katoka vita ya Russia-Ukraine. Nchi za magharibi zinatumia technolojia hiyo kum locate mrusi...
  20. JamiiForums Tanzania Urusi kuwapa msamaha wafungwa watakaojitolea kwenda kufa Ukraine, hali mbaya

    Urusi inajaribu kila mbinu kuficha aibu inayotokana na mapigo wanayopata kutoka kwa kataifa kadogo saizi ya mkoa wao mmoja, inapanga kuwapa msamaha wafungwa watakaojitolea kwenda kufa Ukraine, pia walinzi wa kwenye mageti wenye uwezo wa kufyatua bunduki. ================== WASHINGTON (Reuters)...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…