Waelezeni watoto hatari na uwezekano wa kufanyiwa vitendo viovu na watoto wenzao

Google Diggers

JF-Expert Member
Aug 29, 2015
940
1,123
Nikiwa mdgo sikumbuki Umri lkn nakumbuka matendo waliokuwa wakifanyiana watoto.

Sijui Kwa nini nilikubali kuvutwa na katoto lakini kalinizidi Umri kidogo akanivua bukta na kuanza kunilawiti Kwa kweli hakina kitu inaniuma kama Hii kumbukumbu.

Uwa nakutana naye na ana watoto wa kike na amemuoa ndg yangu. Kwahiyo Watoto wake ni ndugu zangu.

Hii tabia inanila moyoni hadi sasa. Na Umri wangu huu wa 52 years sikuwahi kumuambia mtu.

Nasema haya kutoa tahadhari Kwa wazazi na walezi na walimu kuwa karibu na watoto wanalawitiana. Wanaume waliobarekhe ni hatari sana kwa watoto wa jinsia zote me na ke.

Wazaz waelekezeni hatari ya watoto wenzao wanaowataka kuwafanya vibaya.
 
Duuu pole sana mkuu, haya mambo yapo sana.

Cha kufanya:
Wazazi wawe karibu saana na watoto, pia kama watoto wa kiume wanalala wengi, uwe na uataratibu wa kufanya ziara za kushtukiza usiku wakiwa wamelala, wakijua utaratibu huu itaounguza au kudhibiti
 
Nikiwa mdgo sikumbuki Umri lkn nakumbuka matendo waliokuwa wakifanyiana watoto.

Sijui Kwa nini nilikubali kuvutwa na katoto lakini kalinizidi Umri kidogo akanivua bukta na kuanza kunifi.lia Kwa kweli hakina kitu inaniuma kama Hii kumbukumbu.

Nakutana naye na anawatoto wa kike na amemuoa ndg yangu. Kwa hiyo Watoto wake my Ndugu zangu.

Hii tabia inanila moyoni hadi sasa. Na Umri wangu huu wa 52 years sikuwahi kumuambia mtu.

Nasema haya kutoa tahadhari Kwa wazazi walezi na walimu kuwa karibu na watoto wanalawitiana. Wanaume waliohbarekhe ni hatari sana Kwa watoto wa jinsia zote me na ke.

Kama Watoto Wana matako makubwa ama kama Wana baby face ya kuvutia waelekezeni hatari ya watoto wenzao wanaowataka kuwainamisha na kufanya vibaya
Pole sana kiongozi
 
Wazazi kuweni Makini kwenye hili Hawa watoto licha ya kufanyiwa Hivo lakini hata Wenyewe Kwa Wenyewe Huwa wanafi**na 2016 Nikiwa Bado Shule natoka shule mida ya Saa 12 jioni nafika mtaani kwenye Pagala hivi nikawa nasikia miguno Ebanae Nikasema Wacha Nichungulie nikakuta watoto Wenye Umri Kati ya miaka 8-12 Wako wanne wamejigawa wawili wawili Kila mmoja amemgeuza wa Kwake Dah na wote wakiume

Japokuwa Niliwapiga sana karibia masaa mawili ila sijui kama waliacha maana wanasema ndio mchezo wao mara Kwa mara

Wale watoto wote ni wale ambao mzazi anatoka asubuhi na Wenyewe wanatoka Sina uhakika kama.kuna Kupona pale
 
Kama umelawitiwa usiseme kabisa. Fanya iwe siri yako. Ungama akilini kwako. Confess it. Do not not confess it.
It is true. Vijana wa primary na sekondari wanahujumiana sana lakini sisi hofu yetu imeelekezwa kwa Papi Kocha,na Wakatekista na waalimu wa Madrassa.
 
Wazazi kuweni Makini kwenye hili Hawa watoto licha ya kufanyiwa Hivo lakini hata Wenyewe Kwa Wenyewe Huwa wanafi**na 2016 Nikiwa Bado Shule natoka shule mida ya Saa 12 jioni nafika mtaani kwenye Pagala hivi nikawa nasikia miguno Ebanae Nikasema Wacha Nichungulie nikakuta watoto Wenye Umri Kati ya miaka 8-12 Wako wanne wamejigawa wawili wawili Kila mmoja amemgeuza wa Kwake Dah na wote wakiume

Japokuwa Niliwapiga sana karibia masaa mawili ila sijui kama waliacha maana wanasema ndio mchezo wao mara Kwa mara

Wale watoto wote ni wale ambao mzazi anatoka asubuhi na Wenyewe wanatoka Sina uhakika kama.kuna Kupona pale
Ni hatari sana!! Kuna miaka flani ya 2018 kule Kikuyu Dodoma karibu watoto wote wa kiume wa ule mtaa walikuwa wanalawitiana aysee ni hatari sana
 
Ni hatari sana!! Kuna miaka flani ya 2018 kule Kikuyu Dodoma karibu watoto wote wa kiume wa ule mtaa walikuwa wanalawitiana..aysee ni hatari sana
Polee sana mkuu

Umuhimu wawazazi kukaa karibu na watoto na kuongea nao bado unahitajika sana

Ukaribu na mtoto ni muhimu sana

Muhimu kujua marafiki wa wanao, nani mbabe kwenye kundi lao, zijui shida za mwanao na matamanio yake
 
Nikiwa mdgo sikumbuki Umri lkn nakumbuka matendo waliokuwa wakifanyiana watoto.

Sijui Kwa nini nilikubali kuvutwa na katoto lakini kalinizidi Umri kidogo akanivua bukta na kuanza kunilawiti Kwa kweli hakina kitu inaniuma kama Hii kumbukumbu.

Uwa nakutana naye na ana watoto wa kike na amemuoa ndg yangu. Kwahiyo Watoto wake ni ndugu zangu.

Hii tabia inanila moyoni hadi sasa. Na Umri wangu huu wa 52 years sikuwahi kumuambia mtu.

Nasema haya kutoa tahadhari Kwa wazazi na walezi na walimu kuwa karibu na watoto wanalawitiana. Wanaume waliobarekhe ni hatari sana kwa watoto wa jinsia zote me na ke.

Wazaz waelekezeni hatari ya watoto wenzao wanaowataka kuwafanya vibaya.
Mkuu vipi jamaa nae anakumbuka vizuri Kama alikulawiti utotoni?

Kuwa makini asije akapasha kiporo..
 
Ungeweza kuionya na kuiasa jamii kulinda Watoto dhidi ya huo usheitwani bila kusema ulifanywa hivyo,na hivi umesema una miaka 52.
 
Back
Top Bottom