mbalimbali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Aina mbalimbali za mapaa ya nyumba

    Hizi ni aina mbalimbali za mapaa/miezeko ya nyumba, je ipi ni chaguo lako pendwa? mimi nimependa butterfly:)
  2. JamiiForums Tanzania Picha: Maeneo mbalimbali ya Tanzania

    Wakuu, kama kuna picha za maeneo mbalimbali za Tanzania naomba tuje kushare hapa tupate kuona mandhari mbalimbali ya Tanzania Post kuanzia miji, vijiji hadi vitongoji. Naanza 1. ARUSHA Hapo ndio Chuga 2. MWANZA Jiji safi kabisa kutoka kanda ya ziwa 3. MBEYA Jiji zuri la nyanda za juu...
  3. JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Wakatoliki kupitia TEC wametoa nyaraka mbalimbali lakini hazifanyiwi kazi. Je watapiga kura?

    Wakuu,
  4. JamiiForums Tanzania Wakatoliki na mafundisho: Simulizi mbalimbali za maisha ya watakatifu

    Mtakatifu MARIA GORETTI Maria Goretti alizaliwa tarehe 16 Oktoba 1890 katika kijiji kidogo huko Corinaldo, Italia. Familia yake ilikuwa maskini sana, lakini ilijulikana kwa imani na mshikamano wa kifamilia. Maria alikuwa mtoto wa pili kati ya watoto sita. Baba yake, Luigi, alifariki akiwa...
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 Videos: Vurugu za wanaCCM kwenye zoezi la uteuzi wa wagombea ubunge sehemu mbalimbali nchini

    Chama kimekatika na hakuna wa kukemea. Tararibu zimekiukwa kila mahali Kuna uwezekano wa watu zaidi kuumizwa na mali zaidi kuharibiwa.
  6. JamiiForums Tanzania Profile za Wana JamiiForums mbalimbali kwa mujibu wa akili mnemba/ akili unde/ akili kinyanyamshenzi

    Mshana Jr ni msanii wa Tanzania anayejulikana kwa kazi za ujuzi wa uigizaji wa vichekesho, hasa kupitia mitandao ya kijamii kama YouTube, TikTok na Instagram. Anajulikana kwa ucheshi wa kipekee, lugha ya Kiswahili yenye lafudhi ya mtaani, na uwasilishaji wa maisha ya kawaida kwa njia ya...
  7. JamiiForums Tanzania Aina za gia za magari mbalimbali (car transmission)

  8. JamiiForums Tanzania War zone: Chambuzi mbalimbali za silaha na vifaa vita

    Tuzichambue hizi ndege mashuhuli na maalum kwa kazi maalum katika uwanja wa vita. Nazileta kwenu BOMBERS: Tu-160M & B-2 Spirit. ~( Bila ushabiki wala upendeleo wa upande wowote) lets beginning. KATEGORI Tu-160M B-2 Spirit KASI mach 2+ (over supersonic) mach 0.9 ( subsupersonic)...
  9. JamiiForums Tanzania Matoleo mbalimbali ya simu za Nokia katika picha

  10. JamiiForums Tanzania Nimechoka kuigiza, mara kadhaa nimekua nikiona matumizi ya neno "KOBAZI" kwenye nyuzi mbalimbali humu jamvini. Naomba anaejua anisaidie maana yake

    Wanajamvi kama nilivyotangiliza heading, mara kadhaa nimekua nikikutana na neno KOBAZI kwenye comment mbalimbali humu jamvini, nimejaribu kufuatilia bila mafanikio. Juzi nimeuliza nikaambiwa ni viatu lakini kila nikiangalia uhusiano kati ya viatu na comment za watu jamvini nakua sielewi kabisa...
  11. JamiiForums Tanzania Vitabu vya Mafunzo ya Kutengeneza vitu mbalimbali vya Biaashara

    🍞 JE, UNATAKA KUTENGENEZA VITAFUNWA VYA BIASHARA? Kitabu hiki kinakuonesha hatua kwa hatua jinsi ya kutengeneza vitafunwa vitamu vinavyouzwa sana kama: βœ… Maandazi βœ… Chapati βœ… Vitumbua βœ… Halfcake βœ… Kababu za mayai na vingine vingi! πŸ“˜ Softcopy PDF – Toleo la 1 πŸ’° Bei: TZS 15,000 πŸ“± WhatsApp: 0612...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Geita: Kamati mbalimbali zaundwa kusimamia utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo

    Huku Serikali ikiwa inaendelea na juhudi za kuhakikisha huduma za kijamii zinawafikia wananchi haswa maeneo ya vijijini, kamati mbali mbali ambazo zimeundwa kusimamia utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo, hususani kwenye nyanja za Elimu na Afya, zimetakiwa kuhakikisha zinafuatilia hatua kwa hatua...
  13. JamiiForums Tanzania Special Thread: Uzi Maalumu kwa Ajili ya Kujifunza Jinsi Ya Kuandika Prompt mbalimbali kuziweka kwenye Akili Mnemba

    Kabla ya Yote Thread Hii inahusu Prompt zote, Maandishi Ramani,vitabu,tafsiri , barua,uandishi, Utengenezaji wa Kila Kitu haijajikita Kwenye picha Peke yake.., Kwahiyo nawaomba Mod Wasiunganishe na Uzi wowote.. Nimeona Wengi tukisumbuka Kutengeneza Prompt mbalimbali Kwa Ajili ya Matumizi ya...
  14. JamiiForums Tanzania Rockets zitakua zinatengenezwa hapa Tanzania, kwenye huu uzi ntaelezea namna ya ku-manufacture rockets za aina mbalimbali

    Rockets za aina mbalimbi zitakuwa zinatengenezwa hapa Tanzania na zitakuwa na sifa ya kipee Zifuatazo ni aina za rockets zitakazokuwa zinatengenezwa Tanzania Rockets itakayobeba wataalamu na abiria kutua kwenye sayari Rockets itakayobeba wataalamu na abiria kutua kwenye nyota ambazo zipo...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa haya yanayoendelea kuna umuhimu wa kuwepo Baraza la Dini mbalimbali Tanzania (Inter-Religious Council of Tanzania)?

    Habari wakuu Hili baraza liliundwa baada ya mashauriano kati ya taasisi za kidini kama BAKWATA, TEC, CCT, CPCT, pamoja na wawakilishi wa dini ya Hindu, Baha’i, na Budha. Malengo ya IRCPT ni pamoja na - Kuwezesha viongozi wa dini kushiriki katika utatuzi wa migogoro na kuzuia migogoro kabla...
  16. JamiiForums Tanzania Tangazo la ajira mbalimbali. Fungua Document hapo chini

    πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ» open document hapo chini upate maelekezo.
  17. JamiiForums Tanzania Paul Makonda:Arusha yapewa bilioni 42+ Kulipa fidia mbalimbali ili kuboresha miundombinu Arusha

    Mkuu wa mkoa wa Arusha Cristian Makonda ameainisha kuwa jumla ya Shilingi bilioni 42 na zaidi zimetolewa na Serikali kuu kuhakikisha fidia mbalimbali kwa ajili ya kuboresha miundombinu mkoani humo zimetolewa kuondoa malalamiko ya wananchi. Hili sio jambo dogo.
  18. JamiiForums Tanzania Serikali yangu itawawezesha wafanyabishara kununua mashine za kuchonga vipuri mbalimbali

    Mfano wa hizo mashine ni kama zifuatazo;- 1-Die Casting Machine β€’ CNC Wire EDM Machines: β€’ CNC Electric Discharge Machines (EDM) β€’ CNC Milling Machines: β€’ CNC Lathes: β€’ CNC Routers: β€’ CNC Plasma Cutters: β€’ CNC Laser Cutters β€’ CNC 3D Printers: β€’ CNC Electric Discharge Machines (EDM): 2-Extrusion...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Tabili mbalimbali kuelekea fainali ya Simba na RS Berkane 2025

    Nitakua nawaletea watu mbalimbali watakao kua wanatabili matokeo ya mchezo wa fainali kati ya Simba na RS Berkane utakaochezwa Tanzania. Hata wewe mwana JFS unaruhusiwa kutabili ili mwisho wa siku tuone nani ni mtabili Bora. Naanzia na huyu. https://vm.tiktok.com/ZMSLpW8Tq/
  20. JamiiForums Tanzania Kutakua na budget ya kati ya shilingi billion 20 na 50 kwa ajili ya kuhudumia academy za watoto kwa michezo mbalimbali

    Moja ya mambo yanayorudisha michezo nyuma ni academy za michezo mbalimbali kukabiliwa na ukata wa fedha za kujiendesha Lengo kuhakikisha Tanzania inakuwa dominant kwenye michezo karibia yote
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…