mbali

Enhle Mbali Mlotshwa (born 3 March 1988), is a South African actress, TV presenter and fashion designer. She is known for her breakthrough role on the South African Television Series, Tshisa. She launched the maternity wear range SE Preggoz in South Africa and New York in 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nimethibitisha ukikaa mbali na dhambi, unapata mafanikio maishani.....

    Maneno haya nayasema nikiwa na confidence kwa maana yake nimeyafanyia utafiti kwa miongo kadhaa. Nilichukua sample za watu tofauti nikiwemo mimi mwenyewe( kimsingi nilisha wahi kuishi maisha ya kihuni na matokeo yake nikayaona). Lakini baada ya kuamua kubadilika na kuishi kiungwana pia matokeo...
  2. JamiiForums Tanzania Je wajua , kwanini diaspora wengi toka Africa , wapo nnje ila wanafanya michongo ya pesa kutokea Africa !

    Je wajua , kwanini diaspora wengi toka Africa , wapo nnje ila wanafanya michongo ya pesa kutokea Africa !!! Na hawataki kutoka nnje kuja Africa ? Ukweli ni kwamba ukiwa nnje ya Africa unaona fursa nyingi na michongo ya pesa iliyopo Africa 😑 Ukishakuja Africa tu akili inaanza liwa na...
  3. JamiiForums Tanzania Uponyaji upo ndani mwako,ukifika level ya pili ya ufahamu magonjwa, umasikini, wachawi,tamaa ya ngono,ulevi na negative energy zote ukaa mbali na wewe

    Uponyaji upo ndani mwako,ukifika level ya pili ya ufahamu magonjwa, umasikini, wachawi,tamaa ya ngono,ulevi na negative energy zote ukaa mbali na wewe kwa sababu wewe ni adui.
  4. JamiiForums Tanzania Iran yawataka raia wa Israel kukaa mbali na kambi za jeshi kwa ajili ya usalama wao. Yasema shambulio la Israel nchini Lebanon haliwez kuachwa ivi ivi

    Niaje waungwana Iran inajiamini sana, ndio maana haiwezi kufanya shambulio bila kutoa taarifa mapema ili kuepusha maafa kwa kina mama na watoto kama Gaza na Lebanon. Ila sasa taarifa hizi za kuwaepusha raia na maafa, hutumiwa na viongozi wa Israel kukimbilia kujificha kwenye bunker ili kuepuka...
  5. JamiiForums Tanzania Melo aendelea kuonesha mfano kwa kukutana na watu mbalimbali, hapa kaamua waje school of law

    Anaandika Max Mello “Leo, Juni 11, 2026 nimepata ugeni wa vijana kutoka Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo Tanzania (Law School) Walionitembelea ofisini kutaka kujifunza masuala mbalimbali Tumekuwa na wakati mzuri na kushirikishana masuala Mbalimbali huku wakipata kujua shughuli...
  6. JamiiForums Tanzania Bora tufikishane mbali potelea pote. Lakini huwezi nitandika Mbele za watu kisa wewe kiongozi bila Sheria kufuatwa

    BORA TUFIKISHANE MBALI POTELEA POTE. LAKINI HUWEZI NITANDIKA MBELE ZA WATU. KISA WEWE KIONGOZI BILA SHERIA KUFUATWA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Watibeli sio kwamba Sisi ni wajeuri. Hapana. Sisi ni watu wa principles, watu wa kanuni. 2. Ukishakuwa mtu wa principles watu wengi...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Rostam na wafanyabiashara wengine kaeni mbali na CCM ! mtafilisiwa

    Rostam na wafanyabiashara wengine kaeni mbali na CCM ! mtafilisiwa. Msifikirie kuficha pesa uarabuni inasaidia wale ni vibaraka wa USA karibu wote. Mkihusishwa na CCM na majanga ya mauaji hakuna atakae taka kufanya biashara na ninyi
  8. JamiiForums Tanzania Mwanamke kanikimbia, akazae mbali

    Wakuu huyu mwanamke amenitegea mimba live live. Kaishika mimba ila kakimbia kabisa anapokea simu kunijulia hali tu but hataki kabisa kuniona. Yaani nimebembeleza nimelia hajali Wameshampumbaza hawa mbwa. Nampataje tena. Mimba kama yangu ni kweli anayo ila ndio hataki hata kusikia harufu...
  9. JamiiForums Tanzania Goli la Chama linaizidi kwa mbali Goli la Puskat 2025

    https://youtu.be/dytqapjk4Qw?si=8FYtt5wPiJNBozBu Kwa mujibu wa mitandao hilo ndio goal la Puskat kwa mwaka jaza. Ukilinganisha goal la Chama ni hatari kuliko hili https://youtu.be/YeFifs15d8I?si=oelqqxCQEKTT4cA0
  10. JamiiForums Tanzania CCM badilisheni mbinu. Hawa GenZ fikra zao zipo mbali na fikra za CCM(Conservativeness)

    Mpo salama! 1. CCM ni chama Dola, kikongwe na ambacho kimefanyia mambo mengi mazuri nchi yetu ikiwemo Umoja wa kitaifa tangu 1961 mpaka hivi karibuni ambapo kidogo mambo ndio yameanza kukorogana. Umoja wa kitaifa hapa tunazungumzia kiwango kidogo cha Ubaguzi wa kikabila na udini. Kwa hilo CCM...
  11. JamiiForums Tanzania Unafanyaje kukusanya kodi nyumba iliyo mbali? Nishachoka

    Wakuu, akili imezima Wapangaji hawalipi na niko mbali
  12. JamiiForums Tanzania Ukitaka kufanikiwa kibiashara, kaa mbali na walioajiriwa, hawawezi kukushauri kitu

    Biashara ni upambanaji, ukilala na biashara nayo inalala. Ila kwa mwajiriwa, ata akilala mwisho wa mwezi utasoma. Usitegemee mtu aliyeajiriwa akupe ushauri chanya kwa kitu ambacho yeye kimemshinda kufanya. Jenga urafiki na wafanya biashara wenzako, hawa walioajiriwa watakupoteza; wanakauli...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Maono ya jicho la tatu: Namuona Dkt. Asha-Rose Migiro mbali sana , akiwa Mwenyekiti wa bunge maalumu la katiba na baadae Rais wa Jamhuri yetu

    Jicho la tatu ambalo kikawaida linaona zaidi ya uono wa kawaida na mara nyingi linaona mbali kiasi kwamba anayeona anaweza kudhaniwa ni nabii. Wengine wamejaliwa karama ya matumizi sahihi ya jicho hili. Katika kuangazia mambo mbalimbali, Leo jicho langu la tatu linamuona Dkt.Asha.rose Migiro...
  14. JamiiForums Tanzania Kumbe hadi kwenye sekta hii wakenya wametuacha mbali? Imeniuma sana

    Baada ya kwenda home kusalimia kwenye moja ya mkoa wa kaskazini, nikasema nikatembee kwa siku 7 upande wa kenya, Nikaanzia taveta then nikaenda Voi,kimana then leitoktok. Nilichogundua wanawake wa kikenya wazuri sana, kuanzia ladha, muonekano,kuvaa na mengineyo. Kwanza hawapendi kujichubua...
  15. JamiiForums Tanzania Mwigulu amejipa umasihi wa kuponya mioyo na sasa nchi nzima wanaimba jina lake. Mungu amtangulie afike mbali

    Katika kipindi hiki ambacho watanzania wanahitaji majibu ya matatizo yao hasa dhuluma, unyanyasaji, unyang'anyi wa mfumo ,maonevu ya kijamii hasa ndugu Mungu amemuinua Mwigulu kuja kuwapa majibu ya haraka na yauhakika wa haki zao papo kwa hapo hapa Mungu anamtumia Mwigulu kuwa masihi wa taifa...
  16. JamiiForums Tanzania Voyager i ndo chombo kilicho mbali zaidi na dunia, kimebaba picha na ujumbe kutoka Duniani. NASA waliamini sikumoja labda kitapatikana na alliens

    Chombo cha anga cha Voyager 1 ni moja ya mafanikio makubwa zaidi ya binadamu katika historia ya sayansi. Hiki ndicho chombo kilicho mbali zaidi na Dunia kuliko chochote ambacho binadamu amewahi kutuma angani. Kilirushwa mwaka 1977 na NASA, kikiwa na lengo la kuchunguza sayari kubwa kama Jupiter...
  17. JamiiForums Tanzania Dunia inavoonekana Kwa mbali

    Habari zenu wakuu,, jinsi Dunia inavoonekana Kwa mbali Kwa kweli ni kitu Cha kustaajabisha Hua Nawaza kama Kuna sehemu ( sayari ) Kuna viumbe kama sisi basi siku wakija huku watakua wanashangaa sana Maana Kwa picha zinazoonekana Kwa mbali huwezi Dhania ndani ya hio Dunia ukifika Kuna...
  18. JamiiForums Tanzania Mwamposa anawaaminisha Waumini wake wamtazame yeye kama Mkombozi, huku akiwatenga mbali na Yesu

    Moja ya kitu alichofanyikiwa Jamaa ni kuwaamnisha Waumini wake wajinga wajinga kua Uponyaji Wokovu Utajiri Kufanikiwa Ni Matokeo ya kutumia Mafuta, Udongo, Keki, na blah blaaah Jamaa hafundishi kua "YESU Alikuja DUNIANI, akafa msalabani, na Kwamba KIFO chake kilitangaza uhuru dhidi ya Dhambi...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Kila kesi ni Mahakama Kuu imetupilia mbali kesi

    Ndiyo mwendo na siyo coincidence, ni deliberate move from the so called judiciary! Takataka
  20. A

    JamiiForums Tanzania Mbali na spika, mbongo aishiye uingereza amchangia milioni 20 mwenye uvimbe shingoni; mchango wafikia mil. 30, bado mil. 10 tu

    "Mungu ni mkubwa jamani! Mungu Anaweza nyiye! Mungu hashindwi na jambo lolote. Sikutegemea kama Watanzania wenzangu watachangia hadi sasa kupata shilingi milioni thelathini (30,000,000)... "Japokuwa niliamini kwa imani kwamba zitafika. Sasa Mungu yeye amefanya kwa vitendo," Ndivyo alivyosema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…