Rolls Royce na Lamborghini!
Sijawahi kuyaona kwa macho (live) sembuse kuyagusa, lakini yashafika Tanzania.
Nimeyaona mtandaoni. Yapo Dar Es Salaam. Japo ni mtumba lakini bei yake si haba!
Rolls Royce inauzwa Tsh 1,500,000,000/= na Lamborghini Tsh 1,450,000,000/=.
Kama used ni ghali hivi...