mazoezi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Je, ni sawa kutumia viagra ili kukusaidia kwenye mazoezi?

    Wakuu nimeona mtandaoni jambo la kushangaza kidogo nikaona niwashirikishe ili tupeane uzoefu. Majuzi huko Insta niliona body builder mmoja wa Kenya akisema hutumia viagra kabla ya kuingia Gym ili imsaidie kuwa fit zaidi mazoezini. Mwenyewe anasema hakuna madhara kwa upande wake. Binafsi...
  2. JamiiForums Tanzania Chama mkataba unaisha. Aongeza juhudi ya mazoezi

    Ni kawaida ya Chama mkataba unapokaribia kuisha huongeza sana juhudi ya mazoezi. Na hili jambo kwa kweli humbadilisha Chama na kumfanya mpambanaji sana uwanjani. Ila tena matches ngumu zikianza huanza kucheza kwa woga akiogopa kuumia maana umri nao si haba. Chama akutane na Dodoma Jiji...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanangu aende kuitikisa Talent Show tutayohudhuria wazazi, Aimbe wimbo gani wa kiingereza Hiphop usio na matusi tuanze mazoezi ?

    Nina mtoto wa kiume yupo darasa la 6, Nimepewa barua kuna Talent show itafanyika shule zitapofungwa mwezi wa sita, Shule imetuasa wazazi tuwasaidie watoto kushiriki. Kitu anachokiweza zaidi ni kuimba Nimejaribu kumpa mkwaju wa kihenga kama I know i can - Nas, kabaki kunishangaa na akaniuliza...
  4. JamiiForums Tanzania Huu mtindo wa wana jogging kufanya mazoezi kwenye barabara umekuwa kelo sana.

    Habari wana familia wa JF, Aisee leo kuna tukio moja nimeliona asubuhi ya leo nikiwa naenda kwenye mishe mishe zangu umenikwaza sana. Kuna jamaa mmoja alikuwa ana drive, yule jamaa alikuwa mbele yangu. Mbele ya yule jamaa kulikuwa nakikundi kama cha watu 80 hivi watu wa jogging. Mbele ya icho...
  5. JamiiForums Tanzania Mazoezi kwaajili ya Mialiko niliyoipata

    Angalia hapa jinsi ninavyochukua mazoezi adhimu kwajili ya mialiko niliyoipata.
  6. JamiiForums Tanzania Wale wale wahuni waliovuruga mazoezi ya Simba ndio hao hao sasa wanamtisha Hersi saidi kama atakubali mechi dhidi ya Simba...

    Hersi saidi yupo kwenye mtanziko mkubwa sana kuhusu maamuzi ya kukubali kucheza mechi ya marudiano baada ile ya march 8 kuota mbawa...ukisikiliza anachosema anaonyesha dalili za woga na kuna kitu hakipo sawa anaogopa dhidi ya washabiki wake wahuni wasio na adabu...Hersi ana zunguuka anaogopa...
  7. JamiiForums Tanzania PICHA: Kipa wa Simba, Aishi Manula arejea kikosini. Afanya mazoezi kuelekea mechi ya Shirikisho

    Air Manula mazoezini kujiandaa na mechi ya Kombe la Shirikisho la CRDB Machi 27 na Big Man FC (zamani Mwadui FC). Mechi hiyo ya Kufuzu robo fainali CRDB Bank Federation Cup, Mnyama Simba SC atakuwa KMC Stadium majira ya saa 10:00 Jioni kukipiga na Bigman.
  8. JamiiForums Tanzania Nataka nifanye mazoezi ya kukimbia

    Nataka kufanya mazoezi ya kukimbia ili nisiende kuchangia damu,nipeni na njia nyengine nitumie ambayo ntapunguza wingi wa damu mie naogopa kwenda kuchangia damu
  9. JamiiForums Tanzania Ni aina gani nzuri ya Baiskeli kwa Ajili ya Mazoezi ili kuimarisha Afya

    Salamu Wakuu, Habari za weekend. Nina plan ya kuanza mazoezi kwa ajili ya kuimarisha Afya, huu mwili naona siuelewi, nahitaji kuuweka sawa hasa kuimarisha misuli ya viungo. Nataka niwe na ka bike cha kimtindo cha kufanyia mazoezi kwa kurid huko barabarani badala ya kufuata bike za gym ambazo...
  10. JamiiForums Tanzania Je, kama Simba wangeruhusiwa kufanya mazoezi, TPLB Ingeahirisha mchezo kisa usalama na rushwa?

    Kwa mujibu wa maelezo ya Bodi ya Ligi, Kwamba mchezo uliahirishwa kwa sababu za kiusalama na rushwa, Mbali na kwamba taarifa za kiusalama zilipaswa kutolewa mapema zaidi, Lakini mpaka kufikia masaa kadhaa kabla ya mchezo, Bodi ilisisitiza kwamba mchezo upo palepale, Kisha baada ya saa kadhaa...
  11. JamiiForums Tanzania Tetesi: Press ya Haji Manara kumshambulia Wallace Karia imelipiwa na uongozi wa yanga..dhahiri makomandoo walitumwa kuizuia simba..kama uongozi utakaa kimya

    Ukimuona kobe juu ya mti ujue kapandishwa..Manara anapata wapi ujasiri wa kuisemaea yanga..Manara ni nani kwenye uongozi wa yanga...Manara ndio mratibu mkubwa wa mambo ya kitoto kwa kisingizio cha utani wa jadi...Manara anasahau kama anadhalilisha watu....juzi kati alimdhalilisha askari...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Supplement za mazoezi zinapatikana

    Zinapatikana supplement zifuatazo kwa wale wanaofanya mazoezi PRE WORKOUT C4 30 servings Bei Tsh 60,000 Flavor: Fruit punch, Pink lemonade, Straewberry Margarita, Watermelon, Icy Blue Razz All Black Everything (ABE) 30 servings Bei Tsh 70,000 Flavor: Strawberry Mojito, Tropical Vibez, Icy...
  13. D

    JamiiForums Tanzania SIRI isiyo julikana na watu wengi ya Kupunguza Uzito Bila Kupambana na Lishe na Mazoezi!

    Watu wengi wanapambana na kupunguza uzito kwa miaka, wakihangaika na lishe kali na mazoezi makali… lakini bado hawapati matokeo ya kudumu. Kwa nini?... 👉 Tatizo si mwili wako—tatizo ni akili yako ya ndani (subconscious mind). 👉 Lishe na mazoezi ni 30% ya mafanikio, lakini akili yako ya ndani...
  14. JamiiForums Tanzania Video: Dodoma Jiji Wasusia mchezo dhidi ya Simba baada ya kuzuiwa mazoezi getini

    Wakuu Siku ya jana Dodoma Jiji walisikika wakisema kesho (ambayo ni leo) hawapeleki timu uwanjani baada ya kuzuiliwa katika geti la Uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam kufanya mazoezi ya mwisho. Mchezo wa Dodoma Jiji dhidi ya Simba unapigwa leo Machi 14,2025 saa kumi jioni na itakuwa LIVE...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Usipoamua kufanya mazoezi utaendelea kuwa msukule wa hawa wanaharakati wa afya

    Wakuu lazima tukubaliane kuwa maisha yamebadilika sana kuanzia vijijini hadi mijini. Na mabadiliko yametokea ghafla. Ujio wa bodaboda na mabadiliko makubwa ya teknolojia kama uwepo wa mitandao ya kijamii na mobile money umepunguza ugumu wa kazi nyingi. Urahisi wa kufanya kazi nyingi pia nao...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Simba kuzuiwa kufanya mazoezi, Je inamfanya kutofika uwanja kucheza mechi? Kanuni ya 31.

    Baada ya Mashabiki wengi wa soka kuumizwa na usitishwaji wa derby wamekuwa wakitaka kujua, Je hata kama simba angekuwa alikosewa kikanuni, tukio hilo linampa fursa ya kugomea mchezo! JIBU NI NDIYO. Kanuni ya 31 ya Tff/tplb inasomeka hivi; "Timu yoyote itakayo kosa kufika uwanjani bila ya...
  17. JamiiForums Tanzania Mwanasheria wa Yanga asema waliinyima Simba haki ya kufanya mazoezi kwa kuwa nao walinyimwa mechi ya kwanza

    Ataka busara itumike, kanuni zikae kando kwanza Adhihirisha kuwa mabaunsa walitumwa na uongozi Tuendelee kuhifadhi post walizoweka mwanzo mwanzo, zitasaidia kujua kilichopangwa na kilichofanywa.
  18. JamiiForums Tanzania Sheria au kanuni inajieleza yenyewe miaka na miaka yakwamba timu mgeni itafanya mazoezi kwenye uwanja husika kwa muda ambao match husika itachezwa

    Hapo vip!! Ukitafakari na kuchambua kisheria hili dai la yanga yakwamba hawakupata taarifa..unaona wameamua kuingiza siasa kwenye mpira wetu. Hivi kati ya sheria au kanuni na taarifa ipi yenye nguvu...Simba amebase kwenye sheria na kanuni,yanga amebase kwenye utaratibu wa kisiasa. Na je kwenye...
  19. M

    JamiiForums Tanzania TFF, najua Simba itapokwa pointi kwa kutoingiza timu uwanjani na Yanga mtawaadhibu kwa kuwazuia Simba wasifanye maamuzi ila Haji Manara msimuachie

    Mm nawaza hili jambo lazima litatokea tu maana mpira wa bongo una changamoto za mda mrefu sana, yote kwa yote kwa vile wao wameshasema hawatacheza tena najua mtawapa pointi 3, lkn kubalansi mambo Yanga mtawaadhibu kwa kuwazuia simba wasifanye mazoezi ila Haji Manara amewadhalilisha sana na...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Kesho Jumatatu Iran itafanya mazoezi makubwa sana ya kijeshi na Urusi na China ikiwa ni maandalizi ya utayari

    Wadau hamjamboni nyote? Joint naval drills organized annually between Iran, Russia and China will start tomorrow in the southeastern Iranian port of Chabahar, Iran’s Tasnim news agency reports.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…