mazito

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    Member gani hapa JamiiForums ana makombora mazito ya maneno (matusi) ili niwe na tahadhari ninapojibazana naye?

    Nataka nijue nani anamakombora mazito humu ili nichukue tahadhari nyingi kabla sijamquote. namfahamu mmoja tu ambaye ni GENTAMYCINE Natanguliza shukrani.
  2. Sifi Leo

    Rais Samia angejua anamtuma Nchimbi kwenda kuongea na yakwake ambayo ni mazito kuliko yake hasingemtuma

    " Mimi uwa spendi hata maugomvi ya vyama ndio maana wakati nikiwa katibu mkuu nilikuwa nawakemea Wana CCM walioongea mambo ya OVYO dhidi ya wapinzania maana naonaga ni UPUMBAVU TU" Yule Mwenyekiti wa CCM Kagera sijui kajiskiaje maana yeye ndo aliwai kemewa na Dr nchimbi Kusema ukweli Nchimbi...
  3. Etwege

    Tetesi: Faustine Mafwele yamkuta mazito, Augustino Polepole amtaka ajitokeze hadharani

    Kaka wa Humphrey Polepole anaiyeitwa Augustino Polepole amejirekodi na kutuma video inayomtaka ZCO Faustine Mafwele ajitokeze hadharani na kuwaeleza watanzania walichomfanya. Ikumbukwe Faustine Mafwele ndiyo imekuwa mashine ya utekaji na mauaji kwenye utawala wa Rais Samia akitumika na Abdul...
  4. Mafyangula

    Padri awabana maswali mazito wanandoa katika kati ya ibada. Ukisikia kukabia juu ndio huku

    Huyu Padri ni kiboko amewabana maswali ya wanandoa hali iliwashangaza wengi huku wakijikuta wakisubiri majibu hayo, alinza kumuuliza bwana harusi je umemchagua huyo mke kati ya wanawake wangapi jamaana akajiuma lakini akasema ni watano, Naye bi harusi naye akasema watano. Hii nimeipenda sana...
  5. M

    Niffa kumbe ni muislamu?

    Mwanzo sikujua kama muislam. Baada ya kuachiwa akasoma Surat-Tin yaani sura ya 95 "Alaisallahu bi ahkamil hakimin" (أَلَيْسَ اللَّهُ بِأَحْكَمِ الْحَاكِمِينَ) Mafundisho wa aya hii 1. Allah ndiye Mwamuzi wa haki zaidi Hakuna mwanadamu au kiongozi duniani anayeweza kulinganisha uadilifu...
  6. stakehigh

    Usifanye mazoezi mazito baada ya miaka 35, Unajiua mapema

    Miili yetu hufika ukomo wa ukuaji unapofikisha miaka 35, kwa lugha rahisi mwili kua active kutengeneza cell mpya zenye ubora pia utimamu wa misuli na akili peak yake ni miaka 35, hivo basi kabla hujafika miaka 35 hakikisha unafanya mazoezi ya kutosha mbelen uko mazoezi hayana impact kubwa sana...
  7. Genius Man

    Kumeanza kuchangamka leo ni Gwajiboy kesho Polepole anamambo mazito ya kuteta

    Kumeanza kuchangamka leo ni gwajiboy kesho slow slow anamambo mazito ya kuteta. Sauti hizi za ndani kwa ndani ya CCM zina mchango mkubwa kwenye kushinikiza mabadiliko nchini. Ikumbukwe CCM ni chama cha kidemokrasia lazima kifanye siasa za kidemokrasia na niwatanzania ikitokea kikashindwa...
  8. Equation x

    Wanaume tuamke tusihonge sana kwa michepuko, mbele tuna majukumu mazito.

    Baba ni baba tu Baba ni kichwa cha familia, na mama ni shingo katika familia. Kichwa kazi yake ni kuongoza, na shingo kazi yake ni kuzungusha kichwa kutazama kulia, kushoto, mbele na nyuma. Kuwa na watoto katika familia ni jambo la muhimu sana, na linaimarisha uwepo wa uzao wako hapa duniani...
  9. B

    yamenikuta mazito, naombeo ushauri nifanyaje?

    Salaam members wote. Tafadhali kichwa cha ujumbe hapo juu chahusika. Ni hivI mimi niko America mwaka wa pili sasa, najitahidi sana kutuma pesa kwa wife ili asipate shida na watoto, kila mwezI na mara kwa mara lazima tuongee wassup call. Sasa juzI sijui ni Mungu tu alitaka kunionesha ...
  10. Waufukweni

    Watu wafupi nchini 'Wajukuu wa Samia' (Mr Pimbi, Tausi) watua Bungeni, wakaribishwa kwa makofi mazito

  11. Minjingu Jingu

    Video: Sakata la Elie Mpanzu lachukua sura Mpya. Ayaibua mengi mazito

    Hili limechafua hali ya hewa
  12. U

    Waasi wa kihusi wa Yemen waishambulia Kwa makombora mazito ya masafa marefu maji ya Jerusalem na Tel Aviv

    Wadau hamjamboni nyote? Hali ni mbaya Kwa Mayahudi tuwaombee sana IDF walidhani kupiga airport na kuharibu kiwanda cha mbolea wamemaliza kila kitu kumbe wenzao ni wajuzi zaidi yao Suluhu pekee ni ayahudi kuwarejeshea Wapalestina ardhi yao tukufu na kuondoa haraka majeshi yao huko Lebanon na...
  13. funaku

    James Mbowe:Amesema mazito ambayo wana JF hatujajuzwa!

    Katika pitapita zangu mitandaoni nimekutana na clip ya mahojiano inayomhusu mtoto wa aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema ndugu Freeman Mbowe. Nimeshangaa hadi sasa wafia chadema kama Erythrocyte hawajatuletea mahojiano hayo humu jamvini. kama vile mbuni anavyoficha kichwa na kuacha mwili. hebu...
  14. Waufukweni

    Kiboko ya Ali Kamwe, RC Paulo Chacha alitikisa bunge, Wabunge wapagawa na kumpigia makofi mazito

    Akitambulishwa bungeni na Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paulo Chacha anayepewa sifa ya kuwa 'kiboko ya Ali Kamwe' amelitikisa Bunge baada ya kusimama, ambapo Wabunge walipagawa kwa furaha na kumpigia makofi mazito, ishara ya kukumbuka tukio lake na Msemaji wa Yanga...
  15. Setfree

    Unyakuo ni nini? Je, watakaoachwa duniani baada ya unyakuo, watapatwa na nini?

    Unyakuo ni tafsiri ya Kiswahili ya neno la Kiingereza "rapture." Unyakuo ni tukio litakalotokea siku Yesu atakapokuja kuwachukua watakatifu, yaani watu waliookoka, na kuwapeleka mbinguni. Ni tukio litakalofanyika ghafla(kufumba na kufumbua)! Maana itatolewa amri, sauti ya malaika mkuu, sauti ya...
  16. Setfree

    Yajue mambo mazito yatakayotokea wakati Yesu atakapokuja

    Heshima zenu wakuu. Leo nawaletea mpangilio(timeline) au mtiririko wa mambo mazito sana yatakayotokea Yesu atakapokuja. Maandalizi yanayofanyika nchini Israeli, ya kujenga hekalu la tatu, ni ushahidi wa wazi kuwa Yesu amekaribia kuja...
  17. peno hasegawa

    Kilio cha Wananchi: Hatari ya Malori Mazito zaidi ya tani 40 kuingia kati kati ya Mji wa Moshi, Kilimanjaro

    Katika mji wa Moshi, kumekuwa na hali inayotia wasiwasi kutokana na kuingia kwa malori mazito yenye uzito wa zaidi ya tani 10 hadi 40 katikati ya manispaa. Hali hii imesababisha uharibifu mkubwa wa barabara na miundo mbinu ya maji taka, ambapo mji umejaa mashimo na hali mbaya ya miundombinu...
  18. Bams

    Israel yafanya Mashambulizi Mazito Lebanon, Jeshi la Lebanon Laangamiza Vituo vya Kurushia Makombora vya Hezbollah.

    Kufuatia kitendo cha makombora kurushwa tokea Lebanon kuelekea Israel, Israel imeshambulia targets mbalimbali za Hezbollah kusini mwa Lebanon. Hezbollah hawajasema kuwa ni wao ndio waliorusha, lakini Israel inaamini ni Hezbollah. Netanyahu ameahidi kufanya mashambulizi makubwa zaidi dhidi ya...
  19. Waufukweni

    PreGE2025 VIDEO: Viongozi wa dini wamfanyia maombi mazito ya ulinzi Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, John Heche

    Akiwa nyumbani kwao Tarime, John Heche Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Viongozi wa dini wamfanyia maombi mazito ya ulinzi pamoja na familia yake
  20. U

    Rais Biden aidhinisha msaada wa kijeshi kwa Israel wenye thamani ya Dola billion 8, yapo makombora hatari na droni za kisasa na mabomu mazito

    Wadau hamjamboni nyote? Rais Biden amebakiwa wiki 2 tu kabla ya kukabidhi madaraka kwa Rais Trump Ameamua kuidhinisha msaada wa Mwisho Kwa taifa takatifu kabla ya kuondoka Mungu ibariki Israel Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Biden administration prepping $8 billion arms package...
Back
Top Bottom