Sababu Kuu Zinazowavutia na Kuzalisha Mbu:
1. Maji yaliyotuama
Mabeseni, ndoo, madimbwi, matairi ya zamani, mitaro, chupa tupu au vifuniko vya plastiki vikiweka maji – haya ni mazalia ya mbu.
2. Taka zilizochakaa
Mbu hupenda kujificha sehemu zenye takataka nyingi hasa zilizo na unyevunyevu...