Habari, ukiona unafanyia biashara pazuri mazingira safi, hasa sisi wafanyabiashara wadogowadogo wa sokoni mshukuru mungu, ss huku sehemu tunaofanyia biashara s rafiki kabisa, soko la masakuroni- ushirombo.
Uchafu, n kawaida sjui hao bwana afya huwa wanakaguaga tu migahawa hv sisi tunaouza...