mawaziri

  1. JamiiForums Tanzania Siioni nafasi ya Lukuvi au mwingine aliyeachwa kwenye Baraza la Mawaziri kuwa Spika wa Bunge

    Ujumbe wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan, kabla ya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri, ulikuwa wazi. Ni kuwa mabadiliko ya Baraza yamefanyika ili 'kubaki' na wa kwenda nao pamoja 2025 na 'kuwapa nafasi' ya maandalizi wenye nia na 2025. Ndiyo kusema, waliotarajiwa kuachwa na Rais Samia ni wale ambao...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Zitto, baraza jipya la Mawaziri likufunze kwamba hakuna anayewaza tume Huru ya UCHAGUZI ,Watu wanawaza kupita bila kupingwa.

    Tulipoambiwa Kuna mabadiliko ya baraza kuwaruhusu wagombea Urais 2025 wakajiandae tulidhani wakitumbiliwa tutawaona Kwa sura zao na kusema hakika Hawa niwanamtandao wa Uchaguzi 2025. Lilipotangazwa baraza tumejikutwa tunashangaa Hawa ndio waliomkwamisha mama? Wakati tunàshangaa tukaona...
  3. JamiiForums Tanzania Kama kuna Mawaziri wana 'Wataalam' hasa wa 'Vilingeni' wanaowasaidia vyema Uongozini kwa Tanzania nzima ni Kassim, Ummy na Mwigulu

    Na nashauri hata Siku zingine ikitokea Mvua zikagoma Kunyesha tuwaombeni hawa Waandamizi Watatu tajwa katika 'Headline' yangu watusaidie Kuongea na hao 'Wataalam' wao kwani kwa muda mfupi tu huu wameshaonyesha kuwa hakika 'Ndumba' wanazijua na wanaweza. Kwa taarifa nilizonazo ni kwamba hakuna...
  4. JamiiForums Tanzania Katibu Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa Ndugu Victoria C. Mwanziva Anena Kuhusu Uteuzi wa Baraza la Mawaziri.

    UVCCM TAIFA - Katibu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi Ndugu Victoria C. Mwanziva Anena Kuhusu Uteuzi wa Baraza la Mawaziri. “Tunampongeza Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan kwa mabadiliko aliyoyafanya katika Baraza la...
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Haikuwa sahihi kwa Rais kutaja hadharani sababu ya kufanya mabadiliko kwenye Baraza la Mawaziri

    Rais alisema kuwa mawaziri atakaowaacha kwenye uteuzi ni wale wenye tamaa ya urais 2025. Baada ya kauli ile watu walitega masiko kuona ni akina nani wataachwa. Walioachwa pamoja na Ndugai ni Lukuvi, Palamagamba, Mwambe, Mkumbo na Waitara, ingawa mimi sio informer wake lkn sidhani kuwa...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Pwani watoa Mawaziri watano kwenye baraza jipya; ni bahati mbaya au ndiyo tuseme sasa zamu ya watu wa Pwani?

    1. Ridhiwani Kikwete Mbunge wa Chalinze 2. Mchengelwa Mbunge wa Rufiji 3. Jafo Mbunge wa Kisarawe 4. Kipanga Mbunge wa Mafia 5. Juma Ulega Mbunge wa Mkuranga Je, upi mchango wa mkoa wa Pwani kwenye uchumi wa Tanzania? Upi mchango wa Pwani kwenye kura za Uchaguzi Tanzania? Upi mchango wa...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Sijamuona Prof. Manya katika Baraza jipya la mawaziri

    Alikuwa naibu waziri madini. Ni Prof mwenye elimu bobezi ya madini. Anajua nje ndani kuhusu madini. Ila ndio hivyo uongozi ni kupokezana kijiti
  8. JamiiForums Tanzania Baraza la Mawaziri limepangwa na Kikwete! Tunashukuru kuwaondoa wote waliowekwa na Marehemu

    Haya maneno mnayatoa wapi? Kuwa baraza limepangwa na Kikwete na ameona amweke na mwanaye ndani? Acheni hizo... Rais samia naye ana weza chagua awatakao mwacheni jamani.
  9. JamiiForums Tanzania Kabudi, Lukuvi, Kitila, Waitara na Mwambe ndiyo walikuwa wanamkwamisha Rais Samia?

    Katika hotuba yake Rais SSH alisema atafanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri ili kumteuwa na kutengeneza safu ya watu wanaoweza kufanya naye kazi. Kwasababu wengine wanamkwamisha. Baraza jipya limetangazwa na Mawaziri walioachwa ni wanne. Kwahiyo tafsiri yake ni kwamba hawa wanna ndiyo...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia atangaza mabadiliko ya Baraza la Mawaziri, Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu

    Muda mfupi ujao Mabadiliko ya Baraza la mawaziri yanatarajiwa kutangazwa kutoka Ikulu Jijini Dar es salaam. ====== Rais Samia amebadilisha muundo wa Wizara Tatu, Ameunganisha Wizara ya Uwekezaji iliyokuwa chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu na Wizara ya Viwanda na Biashara kuwa Wizara Moja ambayo...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Ikiwa Baraza la Mawaziri litavunjwa, Napendekeza Mkuchika kwa Umri wake atamfaa Mama

    Tetesi zimezagaa kuwa Baraza lote litafumuliwa na kusukwa upya. Inadaiwa hata waziri Mkuu ataguswa. Mawaziri wakuu wengi wamekuwa na ndoto ya urais. Hivyo Mama asijitege kumteua kijana kwani atakuwa mwiba kwake. Amtafute Mzee mbunge asiye na Cha kupoteza tena aliyeshiba umri na kumteua waziri...
  12. JamiiForums Tanzania Utabiri wangu kuhusu Mkeka wa Baraza la Mawaziri!

    Nionanvyo mie Mawaziri wafuatao kuna uwezekano wa kutokuwepo kwenye Baraza la Mawaziri. 1.Prof.Palamagamba John Idani Mwaluko Kabudi-Waziri wa Sheria. 2.Prof.Aldof Mkenda-Waziri wa Kilimo 3.Dr.Dotto Biteko-Waziri wa Madini 4. George Mkuchika Nb. 1.Dr.Ashatu Kijaji Waziri wa habari,anaweza...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Serikali Mpya iko Mlangoni, Hata wa kujiuzuru Hamna?

    Mh. Job Ndugai kesha vunja ukimya. Majibu ya mama yamesikika. Wapi kasimama Ndugai kama yeye na washirika wake kinafahamika. Mama kasema kuna watuhumiwa wa uchaguzi wa 2025. Kwamba hao wote hawatakuwamo kwenye serikali yake mpya. Kutokuwepo kwa hata mmoja wa kujiuzuru ni dalili mbaya kisiasa...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tulikaa kikao na Katibu Mkuu Kiongozi na Waziri wa Fedha kujadili mkopo. Iko wapi nafasi ya Baraza la Mawaziri?

    Nikiendelea na uchambuzi wa hotuba ya juzi ya Rais Samia, kuna sehemu alisema walikaa kikao cha watu watatu, yaani yeye Rais, Katibu Mkuu Kiongozi na Waziri wa Fedha kuhusu kufanya maamuzi juu ya masuala mkopo na hali ya nchi kwenye ukopeshwaji! Kauli hiyo imenitia mashaka. Nimejiuliza iko wapi...
  15. JamiiForums Tanzania Watanzania tumepatikana, mawaziri watakaokwenda na Rais mpaka 2025 ni kama huyu aliyesaini mkataba wa bil 69 kufunga software Tanesco

    Kweli ndege wa rangi moja huruka pamoja. Hivyo mama kwa kauli yake kuwa lazima aunde baraza la mawaziri ambalo anahisi litamuunga mkono kuchapa kazi mpaka 2025 lazima liwe la vijana kama huyu aliyemteua kuwa waziri wa nishati. Waziri ambae alipoingia tu madarakani Tanesco ikapata mkandarasi wa...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Enyi mawaziri na wabunge nini maana ya makofi na kushangilia

    Imekuwa desturi yenu kila anapohutubia mmoja wa mhimili mnapiga makofi nakushangilia huku mkiimba Tunaimani na Fulani. Huwa mnachambua hotuba zao? Mmekuwa kama watoto kupiga makofi. Rais akimchamba Spika mnashangilia, mkiwa bungeni Spika akiongea ushenzi kwa serikali mnashangilia. Nyie ni ndege...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Rais utakapobadilisha Mawaziri, badilisha na Makatibu Wakuu wa Wizara husika

    Ni maoni yangu tu, maana hao makatibu wakuu ndio watendaji wakuu wa wizara. Kama waziri hayupo sawa, maana yake hata katibu wa wizara atakuwa hayupo sawa Ni mtazamo wangu tu
  18. JamiiForums Tanzania Baada ya kuweka koma kwenye orodha ya kwanza ya Mawaziri, Rais Samia asema atatangaza orodha mpya karibuni

    Rais Samia Suluhu Hassan ameeleza hayo Ikulu Dar es Salaam wakati akipokea taarifa ya utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya COVID-19 Amesema "Nataka niwaambie nitatoa list mpya [ya mawaziri] karibuni. Wale ninaohisi wanaweza kwenda na mimi...nitakwenda...
  19. JamiiForums Tanzania Salamu za Mwaka Mpya kwa Rais Samia; Wakumbushe Mawaziri kuandaa Mipango Mikakati ya miaka 5 na mwaka mmoja mmoja

    Picha ya Rais Samia Suuhu Hassan akihutubia Taifa usiku wa 31 Desemba 2021 Mheshmwa Rais Samia Suluhu Hassan, Hotuba yako kwa Taifa wakati tunauaga mwaka 2021 na kuingia mwaka Mpya wa 2022 nimeisoma yote. Ni nzuri, inaleta matumaini, kuondoa taharuki na kuonyesha ndoto yako kwa ajili ya...
  20. JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Wanasema Bunge Ovyo, Wabunge hawana maana, hawajui kanuni za Sheria zinatungwa na Mawaziri

    Spika Ndugai amewaasa watu waache kulishambulia bunhe kwamba Wanapitisha Sheria za Bunge zisizo faa. Amedai saa nyingine Kanuni za Sheria ndio zinakiwa na tatizo. Baadala ya kulaumu, leteni hizo Kanuni tuzibadilishe. "Wanasema Bunge Ovyo, Wabunge hawana maana, hawajui kanuni za Sheria zinatungwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…