mawasiliano

The Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA), established by the TCRA Act No. 12 of 2003, is an independent Authority for the postal, broadcasting and electronic communications industries in the United Republic of Tanzania. It merged the former Tanzania Communications Commission and the Tanzania Broadcasting Commission. The TCRA is accountable to the Communications and Technology Ministry. The Information Communication and Technology (ICT) sector reform in Tanzania is notable in that development was influenced by regional, political (national) and technological factors. Tanzania is one of the few African countries to liberalise the communications sector whereby the Converged Licensing Framework (CLF) is used as a key strategy, in terms of the Tanzania Communications Regulations. Since inception in 2003, the TCRA has issued a number of regulations to administer the sector, but still faces a number of challenges such as the roll-out of services to under-serviced rural areas.

View More On Wikipedia.org
  1. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Pegasus yakutwa na hatia ya kudukua na kufuatilia mawasiliano ya watumiaji wa WhatsApp

    Kampuni ya META imeshinda kesi iliyofunguliwa mwaka 2019 iliyokuwa ikiituhumu kampuni ya NSO Group ya Israel kutumia Programu yake ya 'Pegasus' kudukua mawasiliano ya Watumiaji wa Mtandao wa WhatsApp. Uamuzi wa Mahakama umetokana na kubaini kuwa NSO ilikiuka Sheria za Mkataba wa Ulinzi wa...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Mvua yakata mawasiliano barabara ya Kizangaze

    Mawasiliano ya Barabara ya Kizangaze yanayounganisha kata za Maore, Ndungu, Kihuruo na Bendera wilayani Same Mkoa wa Kilimanjaro, yamekatika kwa muda baada ya kingo za Daraja la Kizangaze kuvunjwa na mafuriko. Daraja hilo limeharibiwa na mvua zilizonyesha usiku wa Desemba 20, 2024. Kamati ya...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Balozi Hoyce Temu (PhD) Ahitimu Shahada ya Uzamivu ya Mawasiliano ya Umma

    BALOZI HOYCE TEMU (PhD) AHITIMU SHAHADA YA UZAMIVU YA MAWASILIANO YA UMMA Aliyekuwa Miss Tanzania mwaka 1999 na ambaye kwa sasa ni Balozi na Naibu Mwakilishi wa Kudumu katika Mashirika ya Kimataifa Geneva Uswisi, Mhe. Balozi Dkt. Hoyce Anderson Temu (PhD) amehitimu Shahada ya Uzamivu katika...
  4. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wenje akiri kufahamiana na Abdul (Mtoto wa Rais) na ana mawasiliano naye

    Baada ya Miezi zaidi ya mitano Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu kutuhuma hadharani kwamba kuna hela za Mama Abdul na Abdul zilipelekwa kuvuruga uchaguzi wa Chadema. Lissu pia akaenda mbali zaidi na kuanza kutaja watu na miongoni mwao ni Mtu anaetajwa alikuwa ndiye Dalali wa kuunganisha...
  5. H

    JamiiForums Tanzania KERO Tume ya utumishi wa umma jirekebisheni kwenye mawasiliano

    Habarini, Imekuwa ni shida kuwasiliana na nyie kwani hamjibu baruapepe,simu na sms. Na hata hao watumishi wenu ambao wameweza kupata namba zao hawapokei simu zao. Huu ni utendaji mbaya na unakela sana kwani wananchi wenye shida wanahangaika sana kwa huduma zenu mbovu. Nashauri serikali...
  6. S

    JamiiForums Tanzania KERO Ukosefu wa mawasiliano katika Kijiji cha Msamba kata ya Ninde wilaya ya Nkasi Mkoani Rukwa

    Tunaomba wizara ya mawasiliano itusaidie kutatua changamoto ya mawasiliano.tunateseka,
  7. chiembe

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe alipotangaza kutogombea Urais, je alikuwa na mawasiliano ya karibu na Lissu?

    Ninaamini alikuwa na mawasiliano ya karibu sana na Lissu, kwamba atakuja kugombea kupitia ACT Wazalendo.
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bashungwa aitaka menejimenti ya wizara kuviwezesha vitengo vya mawasiliano kwa umma katika utoaji wa taarifa

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameitaka Menejimenti ya Wizara hiyo kusimamia na kuviwezesha vitengo vya Mawasiliano kwa Umma vilivyopo katika Vyombo vya Ulinzi ikiwemo Jeshi la Polisi, Magereza na Uhamiaji katika utoaji wa taarifa akiamini taarifa ni hitajio la msingi la...
  9. Goodluck Boaz

    JamiiForums Tanzania Nauza pikipiki npo moshi mjini, bei 1.5M maongez yapo kwa mawasiliano 0672901144

  10. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Twende tukaifahamu chemka hot springs kwa waliopo kilimanjaro na Arusha, Tangazo letu lipo hapo chini na mawasiliano yetu yapo kwenye Tangazo

    Habari! Karibu kwenye jukwaa la jamii yetu! Leo tungependa kujadili safari ya kutembelea Chemka Hot Springs. Kwa kufanya hivyo, wageni watajipatia fursa nyingi muhimu. Kwanza kabisa, kutembelea Chemka ni njia nzuri ya kupumzika na kujiondoa mbali na msongamano wa maisha ya kila siku. Pia, wageni...
  11. ricochetmarcus

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya huduma ya mawasiliano ya TTCL kata ya Kikio na Misughaa imetatuliwa

    Changamoto niliyoielezea hapa JamiiForums katika kata za misughaa na Kikio Singida imetatuliwa, kwa sasa mnara wa simu wa TTCL. Hauna kususua inaonekana mamlaka husika zimeshughulika nakutatua hii changamoto. Asante viongozi kwa uwajibikaji Pia, soma: KERO - TTCL iangalie huduma za...
  12. 3 Angels message

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya Mawasiliano mtandao wa Yas

    Salama wakuu Kuanzia mida ya jioni leo huu mtandao wa Yas naona unanipa shida kufanya mawasiliano kwenye kifaa changu Simu hazitoki, sms haziingii internet imekata ukiwatafuta huduma kwa wateja namba hazitoki Sijajua shida ipo kwenye simu yangu au na wale wanaoutumia mtandao huu wamepata...
  13. buffalo44

    JamiiForums Tanzania Naomba Msaada wa Mawasiliano ya DIT-ICT, VETA TEHAMA

    Hello wakuu Nina program ya mafunzo ya kutengeneza vitu mbalimbali vya umeme (Repair and Maintenance) Simu, Kompyuta kwa vijana waliokosa njia mbadala ya kujipatia kipato. Ninaomba kama kichwa cha habari kinavyojieleza msaada wa mtu yoyote mwenye mawasiliano ya wahusika wa Kitengo cha TEHAMA...
  14. M

    JamiiForums Tanzania TCRA ishirikiane na Shirika la Mawasiliano la Kenya kuwasaka matapeli hawa wa mitandaoni

    Ni wito kwa TCRA ishirikiane na Shirika la Mawasiliano la Kenya kuwasaka matapeli hawa wa mitandaoni. Huu utapeli wa mtandaoni umevuka mpaka kutoka kuwa wa Kitaifa sasa ni utapeli kimataifa. Namba za simu zifuatavyo ni baadhi ya zinazotumiwa na matapeli, +254794812691 (Alex Kairi), +254102269805...
  15. Donnie Charlie

    JamiiForums Tanzania Makosa 10 yanayofanywa zaidi katika mawasiliano ya simu

    Tunawasiliana na watu wengi ambao hatujaonana nao ana kwa ana, na kwa hivyo, ni muhimu kuhakikisha kwamba tunaacha hisia nzuri. Hapa kuna vidokezo muhimu vya mawasiliano bora kwa simu na jinsi ya kuvitumia ili kuwasiliana kwa njia ya heshima na yenye ufanisi. 1. Jitambulishe Unapopokea simu au...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Arusha: Waliotuhumiwa kuingilia Mifumo ya Mawasiliano wasomewa Mashtaka 195

    Washtakiwa 20 wakiwemo raia wanne wa kigeni kutoka mataifa ya Afrika Mashariki wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha jana na kusomewa mashtaka 195 ikihusisha kesi ya kuongoza genge la uhalifu pamoja na uhujumu uchumi, matumizi ya vifaa vya kielektroniki yaani simu box kuingilia mfumo wa...
  17. Amba Samedi

    JamiiForums Tanzania Boresha Mawasiliano Yako - Mbinu Hizi Zitakusaidia

    Habari wanajamvi, Natumaini sote tunaendelea vizuri na Mungu ametuwezesha kufika hapa salama. Kuelewa ujuzi wa mawasiliano ni kama kujifunza kuendesha gari. Huwezi tu kuketi kwenye kiti cha dereva na kuanza; kuna hatua za kufikia kiwango cha kujiamini na mwishowe kuzungusha usukani kwa ustadi...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Watuhumiwa 20 wakiwemo raia wa kigeni Wanne wakamatwa kwa kuingilia mifumo ya mawasiliano

    Timu maalumu ya kupambana na makosa ya mtandao kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha pamoja na Mamlaka ya Mawasiliano TCRA wamefanikiwa kuwakamata watuhumiwa 20 wakiwemo raia 04 wa Nchi jirani kwa makosa ya kuingilia mifumo ya mawasiliano. Akitoa taarifa hiyo leo Oktoba 29, 2024...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Mnaoichukia Israel msitumie Iphone, Google, Window, n.k. makapuni makubwa ya kompyuta na mawasiliano hutegemea zaidi Israel kuwabunia bidhaa na huduma

    Nimeona kuna movements za ku boycott / kugomea bidhaa zenye uhusiano na Israel, nimepata wazo nije kuwasapoti wadau kwenye huu mgomo kwa kuwashauri muweke mkazo zaidi kukaa mbali kwenye simu na computer kwasababu bidhaa na huduma hizi nyingi wanaozibuni ni wayahudi wa Israel. China ndipo vilipo...
  20. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Je, kwa sababu hizi Wizara ya Mawasiliano ilikuwa sahihi kumtimua Elon Musk na intaneti yake?

    Amani ya Bwana iwe nanyi. Tilionea Elon Musk alikusudia kutuletea intaneti ya bei rahisi ya setilaiti. Nimemfuatilia huyu Bwana licha ya wema wake ni kama mafia sana na anaingilia hadi mambo ya nchi husika kwa maslahi yake. 1: Rais wa Venezuela aliyeshinda amemtuhumu jamaa kutumia zaidi ya...
Back
Top Bottom