mawakili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mawakili wa Serikali wanaficha nyuso zao kesi ya Lissu?

    Ni kama vile ingewezekana mawakili wa Serikali nao wangeomba kuendesha kesi dhidi ya Tundu Lissu kwa kificho. Kwenye video hii Kuna kila shaka kwamba mawakili wa serikali hawapendi sura zao kuonekana kideoni. 👇
  2. JamiiForums Tanzania Barua ya Mahakama Kuu Yazua Mjadala: Je, Katazo kwa Mawakili Linakiuka Uhuru wa Kujieleza Chini ya Ibara ya 18 na Kuvunja Ibara nyinginezo za Katiba?

    Mahakama Kuu ya Tanzania, kupitia barua iliyotolewa na Msajili wake C.M. Tengwa tarehe 12 Agosti 2026, imewaelekeza mawakili nchini kuepuka kuzungumza na vyombo vya habari katika maeneo ya mahakama mara baada ya mashauri kuahirishwa. Maelekezo hayo, yanayotegemea Kanuni ya 137 ya Kanuni za...
  3. JamiiForums Tanzania Barua ya Mahakama Kuu Yazua Mjadala: Je, Katazo kwa Mawakili Linakiuka Uhuru wa Kujieleza Chini ya Ibara ya 18 na Kuvunja Ibara nyinginezo za Katiba?

    Mahakama Kuu ya Tanzania, kupitia barua iliyotolewa na Msajili wake C.M. Tengwa tarehe 12 Agosti 2026, imewaelekeza mawakili nchini kuepuka kuzungumza na vyombo vya habari katika maeneo ya mahakama mara baada ya mashauri kuahirishwa. Maelekezo hayo, yanayotegemea Kanuni ya 137 ya Kanuni za...
  4. JamiiForums Tanzania Mahakama zetu ni huru 100% Mawakili Wapigwa Stop Kuongea Kesi za Mahakamani!

    Katika hali ya kufurahisha, mawakili wamefurahia sana kwa kitendo cha Mahakama zilizokosa weledi hupenda kufurahisha anayewateua majaji na si kufurahisha sheria. Kanuni hiyo inakiuka ibara ya 18 ya katiba ya Jamhuri ya Muungano Watanzania. Hivyo kanuni hiyo haina uhalali wowote wakuendelea...
  5. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Besigye ashindwa Kesi ya kumrejeshea Martha Karua na Lukwago katika timu yake ya Mawakili

    Mahakama Kuu ya Kampala nchini Uganda imekataa ombi la Dkt. Kizza Besigye na Obeid Lutale la kurejesha mawakili Martha Karua na Erias Lukwago katika timu yao ya utetezi. Jaji Simon Peter Kinobe, katika uamuzi wa kurasa 42 uliotolewa Jumanne, amesema kuondolewa kwa Karua nchini Uganda na...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Wanaosingiziwa na kushitakiwa kwa ugaidi. Mawakili kuweni macho na forced confessions. Soma hii case imetoka juzi

    Walipigwa wakateswa wakaandika uongo kujinusuru. Angali kesi hii ilivyoamuliwa . Ni kesi ya kutupa Bomu kule Arusha kwenye uzinduzi wa parokia ya katoliki mwaka 2013
  7. JamiiForums Tanzania Ni ajabu!..Tundu Lissu apata nafasi adhimu ya uhuru wa kuzungumza na mawakili bila kuzungukwa na Mapolisi wa kininja mahakamani leo

    https://youtube.com/shorts/JwMVAUPBoPE?si=bofgw1NFolHE6WUi "....Waambieni wanachama wasikate tamaa, wasimame imara kukipambania chama. Waambieni wachangie chama, songeni mbele msinisubiri mimi. Nitatoka na nitawakuta huko mtakakokuwa. Nisiwakute nilipowaacha. Nikiwakuta palepale nilipowaacha...
  8. JamiiForums Tanzania Mawakili wa TID kufungua kesi kudai fidia ya 500ml kutoka Bar ya Kitambaa Cheupe kwa kumchafulia jina

    Mwanamuziki wa Bongofleva, T.I.D (Khalid Mohamed), kupitia ofisi ya mawakili wake wanaomsimamia masuala yake yote ya kisheria, ametoa notisi ya siku saba (7) akiidai Bar ya Kitambaa Cheupe, kupitia Mkurugenzi wake Jessica Kikumbi, kulipa fidia ya Sh500 milioni. Katika notisi hiyo, T.I.D pia...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania (TPBA), Rais Samia Suluhu

    Akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania (TPBA), Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alisema: “Tutasaidiwa kuiharibu nchi yetu, lakini hatutasaidiwa kuijenga tena. Tanzania ni yetu sote na tunapaswa kuilinda.”
  10. R

    JamiiForums Tanzania Adv. Madeleka: Hakuna Jaji anayeweza kuwa huru kama alikuwa msaidizi wa Rais. ~ 50% ya majaji walikuwa mawakili wa serikali. Hawawezi tenda haki

    Sikiliza shule ya haki with regard to our Judges. Huwezi kutenda haki kama uliteuliwa na Rais kuwa Jaji. Majaij duniani kote wanaomba kazi ya Ujaji kwa kupitia well regulated strict interview. Msikilize Peter Madeleka, Wakili
  11. JamiiForums Tanzania Mbunge Sigrada: Kufeli Shule ya Sheria ni mkakati wa kisiasa wa kutokuzalisha mawakili wengi

    Mbunge Sigrada: ‘Watu kufeli Shule ya Sheria Tanzania ni mkakati wa kisiasa wa kutokuzalisha mawakili wengi
  12. JamiiForums Tanzania Viongozi Wanajiita Wanasheria "Siyo Mawakili" Tanzania hawajui tofauti ya Wakili na mtu aliyesoma sheria!

    Lowasaa alisema Elimu Elimu Elimu! Waziri mmoja amesema ana mamlaka kikatiba, akaulizwa tutajie kifungu , akakimbia kusema watakutana mahakamani. Ifahamike, Watu waliosoma Sheria kwa hapa Tanzani mpaka sasa ni zaidi ya Laki tano 500,000 lakini mawakili ni 14,000 tu Tangu waanze kusajiliwa...
  13. R

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mawakili 40 waungana kumtetea Besigye baada ya Martha Karua kuzuiliwa kuingia Uganda

    Mawakili 40 kutoka Taasisi 12 za uwakili nchini Uganda wameungana kumtetea kiongozi wa upinzani, Dkt. Kizza Besigye na Hajj Obeid Lutale ambao wamewekwa kizuizini kwa muda sasa. Wamewasilisha maombi mapya Mahakama Kuu kupinga hatua za serikali wanazodai kuwa zinakiuka haki ya kikatiba ya...
  14. JamiiForums Tanzania Mawakili Wahujumiana: TLS Yaziba Masikio:Nao Waamua kuwa Madalali!

    Mawakili wa Tanzania wamekuwa hawana maana tena , wanahujumiana wao kwa wao, wamekuwa hawaheshimika hata na mamlaka nyingine na wakionekna bora hata wauza pipi kuliko mawakili! SWALI NI KIPI KIMEWASIBU?- Hapa ilianza chuki , pale mwaka 2014 chaguzi za TLS walipojitokeza machawa waliopandikizwa...
  15. JamiiForums Tanzania Wakili Mwambukusi: Tundu Lissu siyo mhaini, WAMTOE, hatutakubali mwenzetu aendelee kuonewa

    Rais wa TLS, Wakili Boniface Mwabukusi amesema hayo tarehe 30 Aprili 2026 wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kwenye Ukumbi wa AICC jijini Arusha.
  16. M

    JamiiForums Tanzania Lema: Nina wasiwasi na Wakili Kisabo juu ya maneno aliyosema yamesemwa na Lissu. Watanzania tusubiri kauli ya Lissu mwenyewe

    Nina wasiwasi na baadhi ya maneno uliyoandika mtandaoni kuhusu kauli ya Lissu baada ya wewe kutoka mahabusu. Msimamo wa Mkti Lissu mara zote kuhusu uhuru wake umekuwa wazi, kwamba kesi inayomkabili ni ya uongo na anapaswa kuachiwa huru bila masharti yoyote. Hajawahi, wakati wowote, kuweka...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Ni vema Mahakama na Chama cha Mawakili wamfungie Katuga na genge lake kutoa huduma za Uwakili kutokana na uhuni walioifanyia Mahakama

    Mahakama ina kanuni, taratibu na miongozo katika kuendesha kesi. Na katika taratibu hizo, mawakili wote huhesabika kama ni maafisa wa mahakama wanaotakiwa kuwa mfano katika kuzingatia na kuheshimu taratibu zote za mahakama. Leo mawakili wa Serikali kwenye kesi bandia dhidi ya Lisu, wakili wa...
  18. JamiiForums Tanzania Mawakili wa JF naomba tusaidiane kuikomboa JF

    Ni muda mrefu sasa (yapata miezi 3) tangu kifungo cha JF kifike tamati lakini bado wahusika hawajaiachia 💯 %. Tukumbuke kuwa JF ilipigwa ban ya miezi 3 tangu September 2025 na hiyo ban ilipaswa kuwa lifted by December 2025. Ndugu wanaJF, an attack to JF is an attack to all JF members...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa serikali na mashahidi dhidi ya Lissu

    Nawashauri tu, mnafanya dhidi ya Lissu iwe kweli. Sio kukaa vikao vya siri mkajadiliana dhidi ya kumkwamisha Lissu na kufarihisha wengine. Helo hapa duniani mnaweza mkajiona wajanja lkn siku ukifumba jicho utaona madhara yake. Mtendeni haki Lissu bila kumuonea huruma lkn bila vikao vya siri...
  20. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Heche: CHADEMA imetoa mawakili nchi nzima kwa watu wote wenye kesi za uhaini, hakuna kurudi nyuma hadi ukombozi upatikane

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara John Wegesa Heche amesema chama hicho kwa kitatoa mawakili kwa wote walioshtakiwa kesi za uhaini nchi nzima Akizungumza nje ya viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar es Salaam leo Novemba 12, 2025 baada ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…