mawakili wa serikali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu: Mawakili wa serikali tendeni haki. Mlitaka ahirisho la wiki mbili mkakataliwa, leo mmeleta shahidi. Mlitaka ateseke jela?

    Mtendeeni Lisu haki. Mliomba wiki mbili ili kumkomoa akae jela. Hili si agizo na wakubwa zenu. Mmeshakuwa indoctrinated na roho mbaya wa wakubwa zenu kumtesa Lissu. Tendeni haki! KUNA SIKU YA HUKUMU INAKUJA, MTAULIZWA NA MUNGU WA HAKI.
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Olengurumwa akosoa tamko la Mawakili wa Serikali kwa Kupinga Uamuzi wa TLS Kuhusu Maandamano ya Mawakili

    Mratibu Kitaifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Wakili Onesmo Olengurumwa, amekosoa tamko la Chama cha Mawakili wa Serikali (PBA) lililopinga uamuzi wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) kuwataka wanachama wake kuandamana nchi nzima kulaani tukio la kukamatwa kwa...
  3. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa Serikali walaani Azimio la TLS

    Chama cha Mawakili wa Serikali (PBA) kimesema hatua zilizochukuliwa na viongozi wa Chama Cha Wanasheria Tanganyika (TLS) cha kuwataka mawakili wa kujitegemea kutoshiriki kwenye shughuli za utoaji wa msaada wa kisheria kwa wananchi ni kinyume cha sheria za nchi na miiko ya kazi za wanasheria...
  4. Inside10

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Chama Cha Wanasheria wa Serikali: Hakuna Anayeijua Sheria Kuliko Wakili wa Serikali

    Rais wa Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania (TPBA), Bavoo Junus, amewaonya wananchi kuepuka kujadili masuala ya kisheria bila kuwa na uelewa wa kutosha, akisema kitendo hicho kinasababisha upotoshaji unaoweza kudhoofisha imani ya jamii kwa taasisi za sheria. Akizungumza leo Ijumaa, Septemba...
  5. H

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwanini Serikali huwa inawaajiri Mawakili wenye uwezo mdogo sana?

    Ukifuatilia kesi bandia ya Serikali dhidi ya Tundu Lissu, unapata ujumbe mmoja ulio dhahiri kabisa kuwa, "Mawakili wa Serikali wana uwezo mdogo sana wa akili na Taaluma! Maswali Muhimu ya kujiuliza: 1. Ni kweli mawakili wa Serikali ni watu wenye akili na weledi mdogo sana? Kama ndivyo, kwa...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini kila wanachoomba mawakili wa serikali kwenye kesi za Lissu wanakubaliwa lakini yeye maombi yake yanakataliwa?

    Swali hili kauliza Hancy Machemba huko tweeter. Nimepitia responses karibu zote. Wanasema ni maagizo! Mmoja kasema jibu liko wenye series ya Kikorea iitwayo Bad Prosecutor jibu liko humo! Ukisoma particulars of the offence, huyu katamka hadharani maneno. Sasa hao mashaidi wa kificho...
  7. sanalii

    JamiiForums Tanzania Kwa michezo ya hawa mawakili wa serikali, sio ajabu Tanzania inashindwa kesi za kimataifa mara kwa mara.

    Wako kisiasa zaidi huku wakicheza na mfumo bila ya kua professional. Kwa mtindo huu, wakienda kwenye chemba za kimataifa ambako watu wako serious na hawapendi kupoteza muda basi hawawezi kutoboa kamwe. Kama lengo lilikua ni kumpotezea lisu muda, ni bora wangetumia njia nyingine ila si hii...
  8. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu na Mapambano ya Kikatiba: Tunapojifunza Sheria, si Kusikiliza Kejeli za Mawakili wa Serikali

    Leo hii, Tundu Antiphas Lissu, mwanasheria wa kiwango cha juu, anarejea katika chombo cha haki — mahakama — si kwa ajili ya maigizo ya kisiasa, bali kwa ajili ya kuitafuta na kuisimamia constitutional justice kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hususan Ibara ya 13(6)(a)...
  9. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa serikali awana uwezo ila wanabebwa na mahakama zetu kandamizi za ndani, ndio maana wanashindwa kwenye kesi za mahakama za nje

    Mawakili wa serikali wangekuwa wananajua Sheria, serikali isingekuwa inashindwa kwenye mahakama za kimataifa. Nitajie kesi mbili za kimataifa ambazo mawakili uchwara wa serikali wameshinda na Mimi nitakutajia kesi hamsini walizishindwa
  10. funaku

    JamiiForums Tanzania Wakili wa Serikali hana mihemko na amevimeza vifungu vya Sheria

    Leo tumejionea utofauti kati ya wapiga kelele na mawakili tulivu wa Serikali ambao wamevisoma vizuri vifungu vya sheria.
  11. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Serikali inatumia Mfumo gani kuwapata Mawakili wake? Au Mawakili Bora Huwa wanaamua kujiajiri wenyewe?

    Kama wee ni mfatiliaji wa Kesi ya LISSU, utagundua kua Mawakili wa Serikali ni Vilaza Wakubwa ila wasomi . Kesi hii ya LISSU ,inaendelea kuonyesha kwanza, TUNA KATIBA MBOVU , pili ,Serikali ina wanasheria Vilaza. Silaha pekee ni Serikali kuingilia Mfumo wa Mahakama. Hii ndio Sababu Huwa...
  12. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kama ndo wale ni mawakili wa serikali wanaosimamia kesi shitaka upande wa serikali ni aibu.

    Nahisi ni mahakama hipo upande wa fulani wakubwa ila kwa kama mahakama zingekuwa uhuru hii kesi hata kituo cha polisi ingemalizika hapo. Yani wale mawakili wa serikali nimejaribu kutafakali yani ndio serikali inategemea wanaweza kushinda kesi kubwa za kutikisa taifa kwa mtindo huu kila muda...
  13. pombe kali

    JamiiForums Tanzania Hivi Mawakili wa serikali huwa wanasoma vyuo tofauti na hawa wa utetezi?

    Husika na somo tajwa, Kama ni mfuatiliaji wa mashauri mbali mbali utagundua kuwa wakati mawakili wana toa hoja zao au kupinga hoja upande wa jamuhuri unakuwa umelemewa huwa najiuliza kuwa kwa nini jamuhuri isiwaajiri hawa wakujitegemea ambao wanaonekana kuwa mahiri…au na wao wakienda upande wa...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Katika utawala wa Raisi Samia mawakili wanasheria wamekuwa na kazi nyingi sana; sababu ni haki na usawa kuongezeka au kuzidi kuporomoka?

    Ni jambo ambalo nimelishuhudia na sijui kama watu wengine wanaliona, kwamba katika awamu hii ya utawala wa Raisi Samia kumekuwa na masuala mengi sana yanayohusu wanasheria hawa mawakili wetu. Labda niseme wazi kwamba haijawahi kutokea katika jistria ya Tanzania mawakili wakawa busy kama hivi...
  15. Kalamu Nzito

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa Serikali walitumwa kuongeza nguvu uchaguzi TLS

    Nianze kwa kusema tu hii nchi ina pesa za mchezo. Maendeleo yanacheleweshwa kwa makusudi lakini fedha zipo. Ni Jambo lisilopingika kwamba Serikali inatamani sana kuviweka vyama vya kitaaluma mkononi mwake. Kwa wasiofahamu, Serikali ilituma mawakili wa Jamhuri kwenda kuongeza nguvu kwa mgombea...
  16. Mdude_Nyagali

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa serikali waomba wawe sehemu ya wajibu maombi katika kesi ya Mwabukusi dhidi ya TLS

    Tuliwaambia tangu mwanzo kwamba kuenguliwa kwa wakili Boniface Mwabukusi kulikuwa na mkono wa serikali kwa sababu kuna majizi huko serikalini ambayo hayataki Mwabukusi awe Rais wa TLS. Leo asubuhi mawakili wa serikali wanaomba ku-join kwenye kesi ya kuenguliwa kwa Mwabukusi. Kwenye kesi hiyo...
  17. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Binti atoa penzi siku 3 bila ridhaa yake, na kesi kashindwa

    Binti (Miaka 19) yupo kwa Basi, anatoka zake Dar kwenda Uyulo-Mbeya kumsalimu Shangazi yake, anawasiliana nae kwa Simu akiwa safari, lakini anafika Iringa Simu inakata Chaji. Binti anamuomba Simu Jamaa aliyekaa pembeni yake aitwaye MAPINDUZI NGALLA, lakini anapiga Simu Shangazi hapatikani...
  18. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Maadili na mamlaka zinazosimamia nidhamu ya Mawakili wa kujitegemea, Mawakili wa Serikali, Mahakimu na Majaji (Ethical Values and Disciplinary Authori

    Wanasheria au Mawakili, Mahakimu na Majaji hawako juu ya Sheria, nao pia wanaweza kuchukuliwa hatua za kinidhamu na hata kushtakiwa Mahakamani kama mtu mwingine yeyote. Makala hii inahusu jinsi ya kuwawajibisha waliotajwa hapo juu kwa makosa ya kimaadili (nidhamu) tu na sio kuwashtaki...
  19. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Sabaya katika mchuano mkali na mawakili wa Serikali

    Mawakili wanaomwakilisha aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya, Jana walichuana vikali na mawakili wa upande wa Jamhuri wakati wa usikilizwaji wa rufaa ya kupinga Sabaya kuachiliwa huru iliyokatwa na upande wa Jamhuri. Sabaya na wenzake walihukumiwa kifungo Cha miaka 30 jela na...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Hakuna kuingia Mikataba pasipo kumshirikisha Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili leo tarehe 29 Septemba, 2022 katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete. Prof. Ibrahim Juma - Jaji Mkuu Haitoshi kuwa na sheria nzuri ambayo haitimizi malengo ya kutungwa kwake. Zipo...
Back
Top Bottom