Hello wakuu,.
Nahitaji maafisa mauzo (Mawakala wa mauzo) kwenye bidhaa ya mikopo kwa dhamana ya gari,.
Awe ni mchangamfu na mwenye uzoefu kwenye mauzo na kukutana na wateja wapya. Awe anaekaa mkoa wa Dar es salaam.
Kwa mawasiliano anaweza tuma CV au kupiga simu 0757962335
Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 nchini Tanzania umepita, Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya Urais, Dkt. Samia Suluhu Hassan alitangazwa Mshindi kwa kupata Kura Milioni 31 sawa na takribani 98% ya Kura zote zilizodaiwa kupigwa kwa mujibu wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC).
INEC pia...
Nawaona masheikh uchwala wapo busy kupambana na TEC taasisi ambayo imejipambanua kwa kuusimamia ukweli bila unafiki
Hawa wanao jiita masheikh wana ajenda yao kuu, na wana mipango yao dhidi ya ukristo nachelea kusema hayo na naamini hivyo kutokana na harakati zao ambazo naona wana hangaika...
🎯 TENDA YA MAWAKALA - HORIZON INSTITUTE 🎯
📍Chuo Kipo Zanzibar 📍
💰 FURSA YA KUPATA MAPATO KILA SIKU! 💰
---
📋 JINSI YA KUFANYA KAZI:
1️⃣ JIUNGA KWENYE MFUMO WA WAKALA:
👉Ingia hapa kujiunga: Horizon Institutes
📝JISAJILI kwenye mfumo wa wakala
🔐PATA NAMBA YAKO YA WAKALA baada ya kujisajili...
Mgombea Ubunge jimbo la Temeke kwa tiketi ya Chama cha ACT Sheikh Issa Ponda akielezea mchakato mzima wa usahili wa mawakala huku akisema kwenye zoezi hilo amefanikiwa kuweka mawakala wengi, licha ya mawakala 35 kuzuiwa, lakini bado yupo kwenye maongezi na tume kuhusu suala hilo.
Shirikisho la soka nchini Tanzania (TFF) leo limetoa orodha ya mawakala 12 wa wachezaji waliofaulu na kupata leseni ya kufanya shughuli za uwakala wa wachezaji ya Shirikisho la soka duniani (FIFA).
Mapema mwaka huu, Amos Mlandali maarufu kama Sizo alikuwa mmoja kati ya walifaulu mtihani wa...
Kwakuwa Tume ya Uchaguzi ya watu wa Malawi ni Huru , basi hakuna sababu ya kuzuia mawakala kupata nakala ya matokeo waliyoshuhudia.
Kunyima nakala ni uhuni, uwazi unahitaji kila chama kuthibitisha takwimu... Tume Huru haipaswi kuogopa ushahidi, kwani ukweli hudumu kupitia uwazi na usawa.
Ila...
Biteko, “Mimi sitaweka mawakala katika vituo vya kupigia kura kwa sababu sina mashaka na nyinyi watu wema wa Bukombe bali mawakala wangu mtakuwa ninyi wananchi wenyewe wa Bukombe”.
Doto Biteko ambaye pia ni mbunge wa Bukombe aliyemaliza muda wake na Naibu waziri mkuu, amesema hayo leo Agosti 3...
Tume ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imesema imezifanyia kazi changamoto mbalimbali mawakala katika chaguzi zilizopita na kuwa hazitatokea kwenye Uchaguzi Mkuu wa Jumatano, Oktoba 29, 2025.
Hakikisho hilo limetolewa na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa INEC, Kailima Ramadhani leo Ijumaa...
Kazi ya jeshi la polisi ni usalama wa raia na mali zao. Sasa hii kuwakamata mawakala wa forodha wasiovaa sare inahusikaje kwenye majukumu yao? Mbaya zaidi ni raia wa nchi jirani ambayo hiyo sheria ya clearing agents kuvaa sare eneo la forodha haiwahusu. Hawa wazambia walikuwa na vitambulisho cha...
Usafiri wa mabasi ya mwendokasi upo taabani yawezekana Kuna wizi uliyokithiri na hii ndio huluka ya watanzania na kama ni wizi basi upo katika ukutishaji wa ticket
Ukienda kukata ticket unalikuta libaba ndio kinakatisha ticket uwaga najiuliza hivi kweli libaba kama hili mshahara pekee wa hapa...
Habari wakuu...!
Ndoto zangu ni kwenda duniani kutafuta maisha Bora nikawe muokota taka sweezeland au Norway kuliko kufanya KAZI za kizembe hapa bongo.
Je Kuna mtu anajua mawakala wa kusafirisha watu nje ya nchi
Nataka kuanza na Dubai commoro, Qatar Saudi Arabia etc
Kama ulikua hujui ni mtandao gani hulipa KAMISHENI ndogo zaidi wacha nikufahamishe;-
Mtandao unaolipa pesa ndogo zaidi kwa mawakala,
Baada ya kufanya biashara ya kutuma na kupokea pesa,
Kuliko mtandao wowote hapa TANZANIA ni AIRTEL,
Huu mtandao unalipa kiasi kidogo sana cha pesa...
Huu ni wizi mpya kwa kampuni ya Vodacom songesha, mtu hujawahi kopa unakuta deni eti ulipe
Ama kuna wanaotumia hiyo huduma lakini overdraft huenda ni laki moja wakala anakuta deni la laki moja na nusu huu ni wizi
Ukiwapigia wanakupiga kiswahili
Kumekua na tabia za kupigiwa simu na watu wanaojiita mawakala wa TRA wakitangaza biashara zao za kuuza electronic efd machines kwamba unaweza kutoa efd receipt kupitia simu ya mkononi. Natambua kwamba hilo linawezekana lakini, swali langu ni kwamba wanatoa wapi hizi namba zetu? na...
Nini hasa kinachowachochea watoa taarifa (informants) au mawakala (agents) kushirikiana na mashirika ya intelijensia?
Tunajua kuwa kazi ya intelijensia na upelelezi inategemea sana taarifa zinazokusanywa kutoka kwa vyanzo mbalimbali.
Ni sababu zipi zinazowafanya watu hawa kuwa tayari...
Sisi wakulima wa ukanda wa Pwani tunateseka sana na mbolea , hakuna mbolea yoyote ya Ruzuku kwa sasa ilipo kwa mawakala , toka mwezi wa 11 mwishoni, kila wakala anasema serikali haijalipa wasambazaji hivyo mawakala wakichukua mbolea na kuuza kwa ruzuku hawatalipwa .
Tunaomba Waziri wa Kilimo...
Inafika kipindi mtu akisikia pikipiki ya TVS au Hero, anachowaza ni zile za bodaboda.
Tunajua mnatoa vyuma vizuri tu kwa bei rafiki, lakini kwanini hamzileti Tanzania?
Mfano hii pikipiki ukiambiwa ni TVS unakataa, na ukaambiwa mpya ni $3,000 tu kabla ya usafiri na kodi.
Kwamba hatuwezi...
Wakuu,
Kumbe viongozi wa CCM upande wa serikali za mitaa walikuwa wanauza kiholela viwanja vya wananchi na mlikuwa hamsemi?
Naona CCM sasa wameanza kujiumbua wenyewe hadharani kwa kusema mambo ya hovyo ambayo walikuwa wanayafanya kipindi wako kwenye uongozi.
===========================
Mkuu...
Wakuu Nina Demu Mmoja Mwalimu ni mchepuko wangu wa miaka na miaka.
Demu huyu mwaka 2020, alikua msimamizi wa uchaguzi sehem Fulani Kituo Fulan.
Kwan so mnajua Mashine ikikolea? Mwanamke hutoa Siri?.
Sasa nawarudisha nyuma ya Mwaka 2020, na yaloendelea Serikali za mtaa, na yakayoendelea 2025...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.